Ripoti ya CAG 2021-2022: CAG apendekeza iundwe Tume Huru kuchunguza ukiukwaji kwenye Plea Bargain

Ripoti ya CAG 2021-2022: CAG apendekeza iundwe Tume Huru kuchunguza ukiukwaji kwenye Plea Bargain

Siku tume ikija na majibu ndio tutajua mwendazake huwa anasingiziwa sana
 
Hizi tume Ni kupoteza muda na fedha, Serikali ina mkono mrefu na kila kitu kinafahamika.
Kama Serikali haina ushahidi wa kuwatia hatiani waliotuhumiwa kuhujumu uchumi.warejeshe fedha kwa wenyewe bila masharti yoyote.
 
Huyu bibi aache usengelema, mpaka sasa ni mwaka 2023 bado tu anahangaika na kumchafua marehemu. Wachunguze wanachunguza nini? Plea bargaining mwaka 2021 kurudi huko nyuma ndio ichunguzwe leo? Ufisadi wa kutisha unaofanyika katika serikali inayojiita awamu ya 6 utachunguzwa lini? Yeye si alisema anafahamu pesa za plea bargain ziko benki China sasa wanachunguza nini tena? Si awakamate wahusika kama kweli?
Duh sio kwa povu hilo!
Yaani hamtaki kabisa watu wataje wizi wa Magufuli
 
Duh sio kwa povu hilo!
Yaani hamtaki kabisa watu wataje wizi wa Magufuli
Hapana, wengine tuna akili timamu. Magufuli mwizi kawajibishwa nani? Wezi ni wao wanahamisha magoli tu. Bibi alisema anafahamu pesa zimefichwa China na account anaijua, sasa kwanini hawajibishi mtu yoyote kama ni kweli?
 
Hapana, wengine tuna akili timamu. Magufuli mwizi kawajibishwa nani? Wezi ni wao wanahamisha magoli tu. Bibi alisema anafahamu pesa zimefichwa China na account anaijua, sasa kwanini hawajibishi mtu yoyote kama ni kweli?
Tuambie huyu Ngosha wenu aliwahi kumwajibisha nani serikalini kwa ufisadi
 
Angalia kina zitto wanakomalia bilioni 3 za plea bagain wakati kuna watu wamechota mabilioni awamu hii!

Huu ndio upumbavu ninao sema mimi
Ripoti itatoka kuwa mpole
 
Uko serious na hilo swali? Umeanza kufuatilia siasa za Tz jana nini?
We jibu tu ni kina nani?
Mbona kwa Jk tunajua Yona na Mramba walishtakiwa!
Pamoja na Jiwe kuanzisha mahakama ya mafisadi hebu tuambie ni viongozi gani walishtakiwa?
 
Ngoja tuone...
FB_IMG_1680779212749.jpg
 
Katika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa" Mwisho wa kunukuu.

Mimi binafsi naunga mkono hoja hii na ninaamini wapenda haki wote Tanzania wataunga mkono jambo hili.

Halafu Tume hii ikiundwa haitakuwa na kazi ngumu sana, wahusika wote wa jambo hili bado wako hai na wanapatikana kirahisi tu, wengine ni hawa mnawaona pichani, hawa wote wako hai na wangali maofisini.

--
Pia soma > Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

View attachment 2570026
CAG Charles Kichere​
Kwa nini iundwe tume tuendelee kupoteza hela kwani kazi yake ni nini si kasha maliza yote ifanyiwe tu kazi wausika wote wanajulikana kwa nini mlolongo mrefu
 
Bwana jiwe angekuwepo, two things would have been involved;
1. Eidha ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, bwana Kichere yangemkuta ya Assad
Nonsense, huyu bibi ajiuzulu tu.
 
Back
Top Bottom