Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Zuieni mipaka haraka , watakimbia hawaHapa Magufuli na watu wake hawachomoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuieni mipaka haraka , watakimbia hawaHapa Magufuli na watu wake hawachomoki
Mkuu wala hawaogopi lolote maana. Hakuna hatua zozote watachukuliwa.Hapa Magufuli na watu wake hawachomoki
Msaliti anaishi lakini fisadi yuko Chato amepumzika.Magufuli alisema msaliti wa nchi hatakiwi kuishi na baada ya masaa machache nikapigwa risasi ~~~~~ Lisu.
Kumbe anajijua kabisa ni msaliti
Kachukueni pesa China!Magumashi alikuwa mpigaji kuliko wote waliomtangulia, waongeze kuni huko jehanam
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wakusanyaji wa jiwe hao.Hakika hii NCHI Umdhaniea Ndio kumbe sio na Umdhaniae SIO kumbe NDIO
REPORT ya MKUGUZI MKUU wa HESABU za SERIKALI CAG kaikabidhi REPORT yake ya MAHESABU ya SERIKALI kwa MH.RAIS kwa MUJIBU ws KATIBA.MADUDU tumeyasikia hakika Hii NCHI INAIBIWA sana na WATU waliopewa MAJUKUMU ya KUKUSANYA na KUTUNZA FEDHA za SERIKALI.
Inasikitisha sana kuona WATU WACHACHE wanaiba FEDHA nyingi ambazo zingewanufaisha WANANCHI WENGI lakini SERIKALI imekaa KIMYA kama vile HAKUNA KILICHOIBIWA.MDHIBITI na MKAGUZI MKUU wa FEDHA za SERIKALI CAG kafanya UCHUNGUZI wake na KUBAINI WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAING ulivyofanyika .Zinakusanywa BIL.6 lakini BIL.1 ndio inapelekwa HAZINA
Kuna kipindi MH.RAIS alisema kuna AKAUNTI ya Fedha hizo imefunguliwa Nchini CHINA ukweli UCHUNGUZI ufanyike ili UKWELI wa FEDHA hizo UJULIKANE.
Pia CAG kazungumzia BIL.11 zilivyoyeyuka ktk HALMASHAURI ZETU huko nako UCHUNGUZI Ufanyike WAHUSIKA Wafikisgwe kwenye MAHAKAMA za UFISADI.
Kuna Mashirika kama ATCL TANESCO na TTCL kila siku NI HASARA TU binafsi naamini ni WIZI ndio MKUBWA kwenye MASHIRIKA HAYO
OMBI kwa VYAMA vya UPINZANI kwa Kuwa BUNGE letu limeshindwa KUIBANA SERIKALI juu ya UFISADI MKUBWA kama huu Tunawaomba WAPINZANI MPAZE SAUTI ZENU ili UCHUNGUZI UFANYIKE na WAHUSIKA Wafikishwe Kwenye MAHAKAMA ya MAFISADI ili Mafisadi wengine WAOGOPE kuiba FEDHA za UMMA.View attachment 2570005View attachment 2570006View attachment 2570008
Hesabu Gani hiiHawa Jamaa walikusnaya 6.1 b wakapeleka 1.3 B tuu zingine 3.7 zote wamepiga
Usikariri wapi kwa kudandia..!! Utakufa bure..!! Kama behewa linakwenda mbele unadandia nyuma, na kama linarudi nyuma unadandia mbele..!! So, inategemea uelekeo..!!tuliza mzigo huo mtoto wa juzi, unadandia behewa kwa mbele una pumzi? Mnachunguza nini wakati mlituambia pesa ziko china na account mnaijua? Hamjazichukua mnangoja nini? Chunguzeni tuone mtamfunga nani
Nafikiri 3.7B sio kubwa kama hawa waliobadili deal mwishoni kabisa kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo wametupiga 49B mkuu alafu wameambiwa eti wajitathimini waachie nafasi zao nafikiri wanapaswa kufukuzwa haraka sana then wapewe kesi ya uhujumu uchumi.Hawa Jamaa walikusnaya 6.1 b wakapeleka 1.3 B tuu zingine 3.7 zote wamepiga
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni bilioni 3 tu
Kelele zote kumbe ni bilioni 3?
Bilioni 3 mbona awamu hii huo ni ufisadi wa afisa elimu pekee?
Waache upumbavu
CC TikTok2021, Oxpower, KimpaGhasha, MISULI, johnthebaptist, Mayor Quimby, PakiJinja et elKatika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa" Mwisho wa kunukuu.
Mimi binafsi naunga mkono hoja hii na ninaamini wapenda haki wote Tanzania wataunga mkono jambo hili.
Halafu Tume hii ikiundwa haitakuwa na kazi ngumu sana, wahusika wote wa jambo hili bado wako hai na wanapatikana kirahisi tu, wengine ni hawa mnawaona pichani, hawa wote wako hai na wangali maofisini.
--
Pia soma > Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China
View attachment 2570026
CAG Charles Kichere
CAG amekagua karatasi za DPPAngetaja hiyo account sijui ya china na walisema Kuna pesa ndefu mbona CAG anataja pesa tofauti Kuna walakini hapa ...Wako sahihi kuunda tume
Kuna ule Uzi waliweka kiwango kilifichwa huko sijui china sasa nataka kujua kipo sawa na alichtaja CAGCAG amekagua karatasi za DPP
Serikali imefatilia barua za Plea
Ukweli utajulikana Mwezi wa 5
Nimekaa nasubiri hatua zitazochukuliwaHizi ripoti imekuwa ni kama za kufurahisha genge, maana hakuna hatua zozote za maana zitachukuliwa dhidi ya wezi.