Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Hii nchi nilishaikatiaga tamaa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote sawaYanaweza kuwa mawazo mazuri yenye sintofahamu iloyoandaliwa vema.Watumishi wa umma hawaaminiki kwa kuteteana.Njia njema ya kusafishana na kuwaacha blow-whistlers midomo wazi.Usiamini kila ukionacho.
MIPANGO NI ILE ILE KUMCHAFUA ALIYEPITA...ASUBIRI NA YEYE HUYU AKISHATOKA...TUTAJUA MAZITO NA MAKUBWA KULIKO YOTE...
Kama CAG kagundua hivyo ulitaka akae kimya? Ukinijibu hili swali sawasawa, nami nitakuunga mkono ktk hoja yako hiyo.MIPANGO NI ILE ILE KUMCHAFUA ALIYEPITA...ASUBIRI NA YEYE HUYU AKISHATOKA...TUTAJUA MAZITO NA MAKUBWA KULIKO YOTE...
Mitaani watu waendelee kukamata wezi wa kuku na kufumaniana.Wakiona wananchi hawazungumzii masuala yanayowagusa moja kwa moja,wanaanzisha isssues za ushoga ili kuwaondoa umakini.Puzzles!Tutaishia na kuona,kusoma ya (PESA ZA UMMA ZIMEIBIWA,ZIMEYEYUKA)
lakini mwisho wa siku hakuna hatua inayochukuliwa
Ova
Sang'udi pana wito kamili hukuBwana jiwe angekuwepo, two things would have been involved;
1. Eidha ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, bwana Kichere yangemkuta ya Assad
Duh!MIPANGO NI ILE ILE KUMCHAFUA ALIYEPITA...ASUBIRI NA YEYE HUYU AKISHATOKA...TUTAJUA MAZITO NA MAKUBWA KULIKO YOTE...
Kwani hii ripoti iliyosomwa ni ya mwaka gani? Mbona hizo maswala ya plea bargain na ndege ni masuala ya mwaka 2021/22...Kama CAG kagundua hivyo ulitaka akae kimya? Ukinijibu hili swali sawasawa, nami nitakuunga mkono ktk hoja yako hiyo.
Mwaka wa fedha wa 2022/2023 haujakamilika. Ripoti yake inatoka mwakani. Kumbe tatizo lako ni uelewa. Mahaba yako kwa mtu yasifunike uhalisia.Kwani hii ripoti iliyosomwa ni ya mwaka gani? Mbona hizo maswala ya plea bargain na ndege ni masuala ya mwaka 2021/22...
Mbona hajasoma ripoti ya madudu ya mwaka 2022/2023...si ndio ya mwaka husika wa fedha..?
Siasa tu...hamna lolote...
Haya madudu ni ya 2021/2022Mwaka wa fedha wa 2022/2023 haujakamilika. Ripoti yake inatoka mwakani. Kumbe tatizo lako ni uelewa. Mahaba yako kwa mtu yasifunike uhalisia.