Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mkuu.Wapo upenuni wanatunga majibu.Subiri uone.Watu wanaenda kuumbuka. Mtakimbiliq wapi
Acha kupoteza watu target.Unajadiliwa wizi waliofanya vimbwenerehi wenzio.Mambo ya Lissu marefu kwako kama mkojo wa asubuhi.Hauyawezi!Na zile billion 7 za wabunge wa chadema
Juzi walisema zipo China. Leo wanasema zilikusanywa 6.1 na zilizopo hazina ni 1.3.Hawa Jamaa walikusnaya 6.1 b wakapeleka 1.3 B tuu zingine 3.7 zote wamepiga
Uwe unaelewa hicho kiasi ambacho hakikupelekwa Serikalini ndio wameficha maeneo mbalimbaliJuzi walisema zipo China. Leo wanasema zilikusanywa 6.1 na zilizopo hazina ni 1.3.
Swali, zilitoka lini huko China na kuletwa hazina?
Ziliingia akaunti gani wakati wa ukusanyaji kabla ya kuja hazina 1.3?
Nani controler wa huo mfuko/akaunti zilipoingia hizo 6.1.?
Nani aliruhusu iingie hazina 1.3?
Hakuna mwaka ripoti ya CAG imewahi kuwa nafuu na hakuna improvement licha ya ripoti za Kila mwaka.Haya madudu ni ya 2021/2022
Ya 2022/2023 yatakuja tu subiri
Hii ni ripoti ya mama enu. Mnadhani mnamshambulia Magu kumbe ni mama yenu.Hii italeta tafrani kubwa sana kutoka kwa mataga walinda legasi
Uzuri wa mama Huwa anachukua hatua, Mwendazake alikuwa anafukiza CAG,Hadi Leo hii 1.5T hazina maelezo na wamekaa kimya Kwa vile waligawana huko ccm.Hii ni ripoti ya mama enu. Mnadhani mnamshambulia Magu kumbe ni mama yenu.
Juzi alisema pesa zipo china. Kumbe alijua jamaa zake wamepiga. Leo kaumbuliwa kuwa pesa zilikuwepo ila wajanja wake wamezipiga.
Unajua hesabu vzr??..Hawa Jamaa walikusnaya 6.1 b wakapeleka 1.3 B tuu zingine 3.7 zote wamepiga
4.8 Wametafuna hao mbwa wa Sukuma gangUnajua hesabu vzr??..
Na ipo haja gani kuunda tume huru eti ya kuchunguza plea bargaining ilihali waliohusika karibu wote wapo na pesa inasemekana wanajua zilipo??!! Mbona wezi wengine hawaundiwi tume ??! Evidence ipo wapelekeni mahakamani na wachina ni marafiki zetu waombeni zile pesa zirudishwe !! Kinyume na hapo hizi ni Abracadabra tu !! Ndio maana Wanasemaga Haters gonna hate hata iweje !!Hakuna kitu hapo
1.3+3.7= 5 yeye anasema ni = 6 ! Haters gonna hate hata iweje !Unajua hesabu vzr??..
Hivi bado hawajakimbia hawa ?Sasa yule Dotto,DPP wa Magufuli itakuwaje ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyu bibi aache usengelema, mpaka sasa ni mwaka 2023 bado tu anahangaika na kumchafua marehemu. Wachunguze wanachunguza nini? Plea bargaining mwaka 2021 kurudi huko nyuma ndio ichunguzwe leo? Ufisadi wa kutisha unaofanyika katika serikali inayojiita awamu ya 6 utachunguzwa lini? Yeye si alisema anafahamu pesa za plea bargain ziko benki China sasa wanachunguza nini tena? Si awakamate wahusika kama kweli?
Kuna watu/mtu wanaomiliki mabasi yenye jina la kike, wameagiza 200 kwa mpigoKatika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa" Mwisho wa kunukuu.
Mimi binafsi naunga mkono hoja hii na ninaamini wapenda haki wote Tanzania wataunga mkono jambo hili.
Halafu Tume hii ikiundwa haitakuwa na kazi ngumu sana, wahusika wote wa jambo hili bado wako hai na wanapatikana kirahisi tu, wengine ni hawa mnawaona pichani, hawa wote wako hai na wangali maofisini.
--
Pia soma > Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China
View attachment 2570026
CAG Charles Kichere
Team magufuri watapingaKatika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa" Mwisho wa kunukuu.
Mimi binafsi naunga mkono hoja hii na ninaamini wapenda haki wote Tanzania wataunga mkono jambo hili.
Halafu Tume hii ikiundwa haitakuwa na kazi ngumu sana, wahusika wote wa jambo hili bado wako hai na wanapatikana kirahisi tu, wengine ni hawa mnawaona pichani, hawa wote wako hai na wangali maofisini.
--
Pia soma > Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China
View attachment 2570026
CAG Charles Kichere
Wacha weeeee !!!Kuna watu/mtu wanaomiliki mabasi yenye jina la kike, wameagiza 200 kwa mpigo