Ripoti ya CAG 2021-2022: CAG apendekeza iundwe Tume Huru kuchunguza ukiukwaji kwenye Plea Bargain

Siku tume ikija na majibu ndio tutajua mwendazake huwa anasingiziwa sana
 
Hizi tume Ni kupoteza muda na fedha, Serikali ina mkono mrefu na kila kitu kinafahamika.
Kama Serikali haina ushahidi wa kuwatia hatiani waliotuhumiwa kuhujumu uchumi.warejeshe fedha kwa wenyewe bila masharti yoyote.
 
Duh sio kwa povu hilo!
Yaani hamtaki kabisa watu wataje wizi wa Magufuli
 
Duh sio kwa povu hilo!
Yaani hamtaki kabisa watu wataje wizi wa Magufuli
Hapana, wengine tuna akili timamu. Magufuli mwizi kawajibishwa nani? Wezi ni wao wanahamisha magoli tu. Bibi alisema anafahamu pesa zimefichwa China na account anaijua, sasa kwanini hawajibishi mtu yoyote kama ni kweli?
 
Hapana, wengine tuna akili timamu. Magufuli mwizi kawajibishwa nani? Wezi ni wao wanahamisha magoli tu. Bibi alisema anafahamu pesa zimefichwa China na account anaijua, sasa kwanini hawajibishi mtu yoyote kama ni kweli?
Tuambie huyu Ngosha wenu aliwahi kumwajibisha nani serikalini kwa ufisadi
 
Angalia kina zitto wanakomalia bilioni 3 za plea bagain wakati kuna watu wamechota mabilioni awamu hii!

Huu ndio upumbavu ninao sema mimi
Ripoti itatoka kuwa mpole
 
Uko serious na hilo swali? Umeanza kufuatilia siasa za Tz jana nini?
We jibu tu ni kina nani?
Mbona kwa Jk tunajua Yona na Mramba walishtakiwa!
Pamoja na Jiwe kuanzisha mahakama ya mafisadi hebu tuambie ni viongozi gani walishtakiwa?
 
Kwa nini iundwe tume tuendelee kupoteza hela kwani kazi yake ni nini si kasha maliza yote ifanyiwe tu kazi wausika wote wanajulikana kwa nini mlolongo mrefu
 
Bwana jiwe angekuwepo, two things would have been involved;
1. Eidha ripoti isingesomwa au ingeletwa nyingine;
2. Kama ingesomwa kama ilivyosomwa, bwana Kichere yangemkuta ya Assad
Nonsense, huyu bibi ajiuzulu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…