Hii taarifa kubwa kabisa na ya kusikitisha iliyotolewa na CAG leo tarehe 29.03.2023 mbele ya Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.Samia suluhu hassani kwamba ununuzi wa mabehewa kuna ubadhilifu mkubwa ulifanyika ambapo zaidi ya mabilion ya fedha yamekwapuliwa.
Mimi kwa maoni yangu ni vizuri raisi pamoja kwamba amesema wampishe basi watu hao kunakila sababu ya kukamatwa na kuhojiwa kuhusiana na ubadhilifu huo , pesa zaumma haziwezi kuwa zinakwapuliwa halafu watu wapo na wanaona sawa kwa waliyoyafanya. hii haikubaliki hata kidogo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2570240