ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Shida ya Mitanzania Huwa hailalamiki.kwa sababu Ina uchungu Bali ni Kwa sababu wivu kiasi kwamba nalo.likiwekwa kinafanya hayo hayo,bila Sheria Kali Mbongo haendi.Mkuu waza ukipewa 3 billions unakula wewe na mke na wanao hadi mnakufa. Leo hii mtu anaiba 400Billions. Kweli???
Ndo maana huwa tunauliza mikopo yote ya samia huwa inaenda wapi .ukiangalia hiyo sindicate ni mnyororo wa upigaji .na kuna siku raisi alisema ukishindwa bid kubali tu ili miradi isikwameHii taarifa kubwa kabisa na ya kusikitisha iliyotolewa na CAG leo tarehe 29.03.2023 mbele ya Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania DR.Samia suluhu hassani kwamba ununuzi wa mabehewa kuna ubadhilifu mkubwa ulifanyika ambapo zaidi ya mabilion ya fedha yamekwapuliwa.
Mimi kwa maoni yangu ni vizuri raisi pamoja kwamba amesema wampishe basi watu hao kunakila sababu ya kukamatwa na kuhojiwa kuhusiana na ubadhilifu huo , pesa zaumma haziwezi kuwa zinakwapuliwa halafu watu wapo na wanaona sawa kwa waliyoyafanya. hii haikubaliki hata kidogo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2570240
Do nyie mnashida sana wallahi mwendzake ndo alitoa zabuni akiwa kaburiniHuo ni mchongo wa Kadogosa na Mwendazake
Lakini hatufuatilii mambo kabisa .samia mwenyewe ndo alitoa haya maelekezo kuwa biding process ni za haki na mtu akishindwa awe anakubali tu maana miradi inakwama kabisaBil 600 to Tril 1
Personal Interest
SKM Gang?Huo ni mchongo wa Kadogosa na Mwendazake
Huyu wa 616.4 hakutoa rushwa ya maanaCAG: TRC ilimkataa mzabuni wa tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi
Haya madudu haya alafu watu wamechukua chubuu maana wanajua hakuna watakachofanywa yataishia mdomoni tu alafu imetoka hio pesa wanazila, sitaki kutukana ila pumbavu stupid haiwezekani
Hata hii hairuhusu mkuu ni uwajibikaji magufuli alipoingia kulikuwa na tenda dar moro akafutilia mbali na sababu za msingi ni mchakato kugubikwa na rushwa kwa kiwango cha juuKatiba ijayo lazma tuweke kipengele cha Raisi kutowalinda wezi. Kama akishindwa kumchukulia hatua mtuhumiwa yeyote yule ama kumuwajibisha aliyefanya ufisadi basi nae atoke hatufai. Hatuitaji tume wala ushuzi ni fasta mtu akasomewe mashitaka kesi iishe. Hatuwezi kuendelea kulipa kodi halafu zinapokusanywa zinaenda kuchezewa na wahuni wachache walio kwenye mamlaka za serikali.
Mahakama zipo, wasimamia haki wapo na wakamataji wapo. Tatizo ni lipi Raisi ashindwe kusema flani out. Hii ndio adha ya kuweka madarakani kwa ushkaji.

Yeah huo ndio ukweli. Mtu analalamika akiwa nje ya mfumo akialikwa tu mesi anasahau kabisa kwamba hilo linalofanyika sio sahihi ila as long as ananufaika atakaa kimya akiwasengenya mnaolalamika nje ya mesi.Shida ya Mitanzania Huwa hailalamiki.kwa sababu Ina uchungu Bali ni Kwa sababu wivu kiasi kwamba nalo.likiwekwa kinafanya hayo hayo,bila Sheria Kali Mbongo haendi.
Hatuna raisi tunachokiona kuwa ni rais is myth something which doesnt exist evenWakibainika Rais asiwachekee,Fukuza wote hao na TAKUKURU wafanye kazi Yao.
Wataanza kwanza kumsifia raisi halafu wanalalamika wakati wanayemsifia ndo chanzo cha matatizoShida ya Mitanzania Huwa hailalamiki.kwa sababu Ina uchungu Bali ni Kwa sababu wivu kiasi kwamba nalo.likiwekwa kinafanya hayo hayo,bila Sheria Kali Mbongo haendi.
CAG: TRC ilimkataa mzabuni wa tsh bilion 616.4 na kumpa mzabuni wa tsh trilion 1.119 bila sababu za msingi
Haya madudu haya alafu watu wamechukua chubuu maana wanajua hakuna watakachofanywa yataishia mdomoni tu alafu imetoka hio pesa wanazila, sitaki kutukana ila pumbavu stupid haiwezekani