Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

Hawawezi wakawa wameiba pesa zote hizo. Huwa tunakosea tafsiri ya lugha ya CAG.
Unadhani yaliyoko kwenye gazeti hapo ni uongo ndugu?



Kwani wewe ni mtuhumiwa kwenye hili sakata ndugu?

Fikiria wale wa ndege. Unadhani haukuwa upigaji ule? Vipi wale wa SGR na vichwa vya treni na mabehewa?

Vipi hawa hapa?








Na kadhalika hadi chefu. Kwa kweli ni "stupid."

Huu ni wizi taslimu usiokuwa na jina lolote zuri la kuupa!
 
Alafu wanakuja kutukamua wavuja kasho tozo Mara leseni ya biashara Mara makadirio ya biashara yaani navyojibana nalipa Kodi alafu watu wanazipigia chapuo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Daa siasi ni hatree, sijui tukaishi mapori yepi ambayoo hayana makodii
 
Karibu Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…