DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Lengo ni kumchafua fulani ......ili ajihisi vibaya na ili uamuzi fulani ufanyike na ili kupata popularity..skiza,
Uwajibikaji wa viongozi wa kitaifa siku zote hokea kwa mipango Mahiri na mahususi ya kisiasa, kinyume cha hapo ni mbinyo au mgandamizo kutoka chini kwenda juu na kusalitiani kisiasa....
Lakini ninachokiona hivi sasa bungeni na kwenye mitanda ya kijamii ni ni mipasho na sarakasi za siasa kwamba nani anajua nini kuhusu fulani, whether ni kweli au si kweli, as results hili nalo litapita kama ilivyopita issue ya katiba mpya, tume huru na Bandari .......
Political statements never work, it remain political statements
Best points Ever umeongea vyema sana..
Na hili litapita..