mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Haki itendeke na ionekane inatendeka !Chini ya serikali sikivu na imara ya Dr.SSH.ni imani ya waTanzania walio wengi kwamba,
hakuna muhuusika hata moja alie tajwa kwenye report ya CAG na kulalamikiwa na waheshimiwa wabunge atasalimika na mkono wa Sheria, wote watawajibika na kuwajibishwa kulingana na makosa yao...
Wanasemaga !!