Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

Chini ya serikali sikivu na imara ya Dr.SSH.ni imani ya waTanzania walio wengi kwamba,
hakuna muhuusika hata moja alie tajwa kwenye report ya CAG na kulalamikiwa na waheshimiwa wabunge atasalimika na mkono wa Sheria, wote watawajibika na kuwajibishwa kulingana na makosa yao...
 
Attachments

  • IMG-20231019-WA0005.jpg
    IMG-20231019-WA0005.jpg
    26.6 KB · Views: 4
Mimi nanshauri Kama hawawezi kuchukua hatua hiyo ripoti isiwe inasomwa au waisome wenyewe huko ikulu. Sio kutusomea figures za wizi halafu wezi mnawachekea.
 
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG).

Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge wamesikika hata wakishauri adhabu kali wapewe wahusika.

Bunge limehitimisha mjadala wa Ripoti husika. Nini kitafuata? Wahusika wa ufisadi na ubadhirifu huo mkubwa watafanywa nini na ni nani hasa mchukua hatua hizo?

Kiukweli, sisi walipa kodi wa nchi hii tungependa kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya mafisadi na wabadhirifu waliotajwa au kuhusishwa na mambo hayo ndani ya Ripoti ya CAG.

Tunalipa kodi kwa maendeleo yetu. Kutumiwa isivyo kwa kodi na wale tuliowapa dhamana ya matumizi ya kimaendeleo ya kodi zetu kunaumiza sana. Tunatamani na kutaka hatua zichukuliwe. Wabunge wameona na kusema; wachukua hatua wafanye hivyo.
Hakuna kitu, yale yalikuwa ni maigizo tu
 
Mbona Serikali imeshaeleza hatua zikishaanza kuchukuliwa? Sema labda Kwa wenye Vyeo kama kina Kadogosa hakuna kitu watafanya Kwa sababu wamewekwa hapo kimkakati na CCM
 
Ngoja tuone,kama kuna usikivu upande wa Serikali,kwasababu sauti ya bunge ni sauti ya wananchi,kudharau maoni ya bunge ni kutudharau sisi wananchi
Sauti ipi ya wananchi, hayo majizi ya kura ndio sauti ya wananchi? Hakuna hatua yoyote itachukuliwa, hapo ndio mwisho ww hilo igizo la kudanganyia wananchi kuwa wana watetezi.
 
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG).

Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge wamesikika hata wakishauri adhabu kali wapewe wahusika.

Bunge limehitimisha mjadala wa Ripoti husika. Nini kitafuata? Wahusika wa ufisadi na ubadhirifu huo mkubwa watafanywa nini na ni nani hasa mchukua hatua hizo?

Kiukweli, sisi walipa kodi wa nchi hii tungependa kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya mafisadi na wabadhirifu waliotajwa au kuhusishwa na mambo hayo ndani ya Ripoti ya CAG.

Tunalipa kodi kwa maendeleo yetu. Kutumiwa isivyo kwa kodi na wale tuliowapa dhamana ya matumizi ya kimaendeleo ya kodi zetu kunaumiza sana. Tunatamani na kutaka hatua zichukuliwe. Wabunge wameona na kusema; wachukua hatua wafanye hivyo.
Kabla ya wahusika kufanywa chochote sisi raia ndio tunaopaswa kufanya chochote maana wizi unaoendelea serikalini inaonekana kuwa na baraka za ofisi kuu ya mwajiri.
Moja na la haraka ni kukataa katu katu kulipa kodi japo kuna baadhi ya kodi hatulipi kihiari ila kuporwa kinguvu kupitia huduma.
Pili kuwaindoa ccm madarakani katika uchaguzi ujao na yeyote atakae thubutu kuiba kura ili atutawale kinguvu bila kujali ni wa chama gani tumalizane nae nje ya mahakama kwa kumpopoa mawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG).

Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge wamesikika hata wakishauri adhabu kali wapewe wahusika.

Bunge limehitimisha mjadala wa Ripoti husika. Nini kitafuata? Wahusika wa ufisadi na ubadhirifu huo mkubwa watafanywa nini na ni nani hasa mchukua hatua hizo?

Kiukweli, sisi walipa kodi wa nchi hii tungependa kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya mafisadi na wabadhirifu waliotajwa au kuhusishwa na mambo hayo ndani ya Ripoti ya CAG.

Tunalipa kodi kwa maendeleo yetu. Kutumiwa isivyo kwa kodi na wale tuliowapa dhamana ya matumizi ya kimaendeleo ya kodi zetu kunaumiza sana. Tunatamani na kutaka hatua zichukuliwe. Wabunge wameona na kusema; wachukua hatua wafanye hivyo.
Nimekaa palee....
 
CCM na wizi ni kama Binadamu na uwepo wa hewa ya Oxygeni. Katika uhai huwezi tenganisha. Kama wanaweza kuiba haki yangu ya kura sembuse Fedha??
 
Ile bungeni ni zuga

Hakuna bunge pale

Bunge la wapiga kelele tu na mipasho

Ova
 
Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG).

Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge wamesikika hata wakishauri adhabu kali wapewe wahusika.

Bunge limehitimisha mjadala wa Ripoti husika. Nini kitafuata? Wahusika wa ufisadi na ubadhirifu huo mkubwa watafanywa nini na ni nani hasa mchukua hatua hizo?

Kiukweli, sisi walipa kodi wa nchi hii tungependa kuona hatua kali zinachukuliwa dhidi ya mafisadi na wabadhirifu waliotajwa au kuhusishwa na mambo hayo ndani ya Ripoti ya CAG.

Tunalipa kodi kwa maendeleo yetu. Kutumiwa isivyo kwa kodi na wale tuliowapa dhamana ya matumizi ya kimaendeleo ya kodi zetu kunaumiza sana. Tunatamani na kutaka hatua zichukuliwe. Wabunge wameona na kusema; wachukua hatua wafanye hivyo.
Bunge hili lililopitisha mkataba wa DP bila kuusoma ...hakuna bunge hapo ni comedy tupu hko ccm kila mtu ni jambazi wa pesa za umma
 
...Kuna mmoja amesema atawataja mafisafi jumatatu!😁😁😁
Washamba sana hao
Mtu kama huyo unaanza nae kumchunguza utakuta ni walewale tu
Uchaguzi ukikaribia wanajadili waje na mbinu gani ili wananchi wawakubali

Eti wanyongwe
Kwanza huo ni unafiki mkubwa wakijua dhahiri kuwa hakuna kunyongwa kwa wizi
Hata wauwaji waliohukumiwa kunyongwa bado mnawalipia ugali wao jela sembuse majambazi

Mtu unaficha hela China
Kuna jamaa nilikutana nae airport Kampala akaniambia nchi maskini ukitoa rushwa unaweza kupewa nchi yote ikawa yako
 
Back
Top Bottom