Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

skiza,
Uwajibikaji wa viongozi wa kitaifa siku zote hokea kwa mipango Mahiri na mahususi ya kisiasa, kinyume cha hapo ni mbinyo au mgandamizo kutoka chini kwenda juu na kusalitiani kisiasa....

Lakini ninachokiona hivi sasa bungeni na kwenye mitanda ya kijamii ni ni mipasho na sarakasi za siasa kwamba nani anajua nini kuhusu fulani, whether ni kweli au si kweli, as results hili nalo litapita kama ilivyopita issue ya katiba mpya, tume huru na Bandari .......

Political statements never work, it remain political statements
Lengo ni kumchafua fulani ......ili ajihisi vibaya na ili uamuzi fulani ufanyike na ili kupata popularity..

Best points Ever umeongea vyema sana..
Na hili litapita..
 
Lengo ni kumchafua fulani ......ili ajihisi vibaya na ili uamuzi fulani ufanyike na ili kupata popularity..

Best points Ever umeongea vyema sana..
Na hili litapita..
😂 sure litapita vizuri kabisa....

you know kuna kitu inaitwa hadaa...

hii hutumiwa sana na wanasiasa Mahiri na wajanja majukwaani kuvuka mto wenye mamba wakali (critics) au makelele ya vilio na lawama kutoka kwa Raia,
kwahiyo wanaweza kuwahadaa au kuwapumbaza hayo makundi kwa wao sasa viongozi kuwa wakali kama mbogo kwa kusikitika pamoja na raia Lakini pia na wao kutoa wito hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wabadhilifu...

Create a suddenly problem and resolve it immediately you became a hero politically speaking
 
Siku ya mjadala huu niligundua kwamba tuna wabunge dhaifu sana na waoga sana mbele ya mawaziri. Ni kwamba kipindi cha bajeti mawaziri wanawanyenyekea sana wabunge ila siku ya mjadala wa ripoti ya CAG mawaziri wanawajibu shit wabunge.

Mara WAZIRI wa mambo ya ndani amjibu mbunge wa Makunduchi eti unasinzia.
Mara Madelu anamjibu TABASAMU wewe nae kamunyesooo

Aseee kila mkubwa na mkubwa mwenzie.
Tuna bunge dhaifu sana
 
Mkuu Hii kitu nailewa inavyoenda kilichofanyika kwanza ni kufanya strategies kama machiavellien Politics Strategies kama Divide and rule Strategies Walivyokuwa Wapinzani wanafnya mikutano yao Iliwatisha sana chama pinzani maaan watu wengi walianza kurudisha kadi na CCM ikaanza kuloose popularity so walichofanya ni kumchonganisha mwenyekiti na mwenyekiti msaidizi ili wasisikilizane halafu wazidi kupenyeza mada zao na hoja zao zisiwe tena z kimaendeleo bali kusutana

(Hili wamefanikiw maana namuona mwenyemiti wa wapinzani kila siku anaongelea marekani akitoa vijembe tu)

Na kinachiendelea mkuu trust me Its political Manipulation na wanaweza wakaextend zaidi ya hapo walipofanya na unaweza ukasikia fulani katumbuliwa lakini hii imafanywa ili kuziba baadhi ya Vitu na kuregain tena Citizen trust..

Mkuu hii inaitwa kitaalamu Propaganda and public opinion yaani wanadeal na kile kitu ambacho wananchi wanataka kusikia na wao ndo wanacheza nacho na wananchi wasivyo na ujuz mkubwa wanavutwa na kujenga tena imani bila ya kuhoji..

Ila kama nchi tuna safafi ndefu sana
 
Siku ya mjadala huu niligundua kwamba tuna wabunge dhaifu sana na waoga sana mbele ya mawaziri. Ni kwamba kipindi cha bajeti mawaziri wanawanyenyekea sana wabunge ila siku ya mjadala wa ripoti ya CAG mawaziri wanawajibu shit wabunge.

Mara WAZIRI wa mambo ya ndani amjibu mbunge wa Makunduchi eti unasinzia.
Mara Madelu anamjibu TABASAMU wewe nae kamunyesooo

Aseee kila mkubwa na mkubwa mwenzie.
Tuna bunge dhaifu sana
Tuna mawaziri wa hovyo sn
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nimecheka km chizii.
 
Mkuu Hii kitu nailewa inavyoenda kilichofanyika kwanza ni kufanya strategies kama machiavellien Politics Strategies kama Divide and rule Strategies Walivyokuwa Wapinzani wanafnya mikutano yao Iliwatisha sana chama pinzani maaan watu wengi walianza kurudisha kadi na CCM ikaanza kuloose popurarity so walichofanya ni kumchonganisha mwenyekiti na mwenyekiti msaidizi ili wasisikilizane halafu wazidi kupenyeza mada zao na hoja zao zisiwe tena z kimaendeleo bali kusutana

(Hili wamefanikiw maana namuona mwenyemiti wa wapinzani kila siku anaongelea marekani akitoa vijembe tu)

Na kinachiendelea mkuu trust me Its political Manipulation na wanaweza wakaextend zaidi ya hapo walipofanya na unaweza ukasikia fulani katumbuliwa lakini hii imafanywa ili kuziba baadhi ya Vitu na kuregain tena Citizen trust..

Mkuu hii inaitwa kitaalamu Propaganda and public opinion yaani wanadeal na kile kitu ambacho wananchi wanataka kusikia na wao ndo wanacheza nacho na wananchi wasivyo na ujuz mkubwa wanavutwa na kujenga tena imani bila ya kuhoji..

Ila kama nchi tuna safafi ndefu sana
🐒umeona mbali kama Tai kudrraadrraadreekiiii umpewe 🌹🌷 yako kwakweliThakYuu
 
Back
Top Bottom