Ripoti ya CAG haina wizi, ina ukiukaji wa taratibu

Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Mtizamo wangu NI kwamba; CAG ripoti zake zinajikita zaidi kwenye sheria na endapo sheria ilikiukwa basi kiasi kilichohusika ndicho utumika kama wizi Jambo ambalo ni kosa.

Mfano; CAG anasema kuna changamoto ya taasisi inayosimamia manunuzi, Mhe. Rais anasema iangaliwe kama ina umuhimu kuwepo. Lakini tatizo kumbe siyo taasisi tatizo ni sheria ya manunuzi ambayo imejaa urasimu. Katika mazingira haya hasara inayotokana na urasimu WA kisheria tunaweza kusema NI wizi?Nani aliyeibiwa? Watendaji wakiuke sheria? Wakikiuka nayo haitaleta hoja ya ukaguzi?

Shirika la ndege linatangazwa kupata hasara, najiuliza ni lini lilimaliza kulipa madeni Hadi lianze kuhesabiwa linapata hasara? Return on investment imefanyika? Business plan ya shirika IPO? Kwanini CAG asituambie NI lini shrika kama ATCL lilianza kupata faida?

Shirika la TTCL linapolaumiwa kufanya vibaya tunaona tunatenda Haki? Kama TTCL pesa zake zote biashara wanazokusanya zinakwenda hazina nakupangiwa KAZI nyingine unategemea lipate faida? Lini shirika litaacha kuendesha Kwa hisani ya wizara ya fedha? Kila activity lazima wakaombe fedha hazina, hata ukimweka malkia lazima litafeli tu! Nilitegemea CAG hatupe mapungufu ya wizara ya fedha katika kutoa fedha lakini sijamsikia. Tusubirie kwenye bajeti tuone kitakachotokea.

Lakini pia TTCL itapataje faida wakati Airtel wapo ndani? Lini tumesikia Airtel wakipata hasara? Means watendaji awana makosa Bali wamiliki wa makampuni ya simu ambao NI viongozi WA chama ndiyo wanahujumu TTCL nakulifanya life wao waendelee kuneemeka. Lazima tukubali kuwa na shrika la mawasiliano lililo imari kama ilivyokuwa vision ya Magu. Tusipokubali kuwa na taasisi na mashirika ya serikali imara hakuna uchumi imara.

Nenda nchi za ulimwengu wa kwanza zote, serikali ndiyo yenye giant companies siyo watu.....Sisi tunatengeneza watu giant mwisho watakuja kutuamulia tulale muda gani na tuamke muda gani.

Tuachane na riport za mis- compliance tuje na riport zakuonyesha wizi na kuthibitisha huo wizi with evidences

Vinginevyo kila mwaka tutakuwa tunazalisha hoja zisizojibika Kwa kuacha professionalism kwenye auditing na kuweka siasa kuwafurahisha wanannchi
CAG anatumika kisiasa hana lolote , kuja kupanikisha tu watu , ndo mana Maghufuli alikuwa anawafukuza kibabe , Weledi wa kazi ya CAG unapimwaje? Wote sio maboya kama anavyofikri
 
Sikuzote huwa tunasema CAG ni watch dog ananusa na law inforcement zingine ndio huwa zinachunguza ukweli. Kitu ambacho pia ni ujinga sana, ingekuwa report inasomwa baada ya taasisi nyingine kukamilisha uchunguzi...

Ila kwa style hii ni kuja hoja ambazo mwisho wa siku hazina maana... mfano CAG anasema halmashauri A imefanya manunuzi ya bidhaa hewa za mil 26 kumbe tatizo ni makosa ya kiuhasibu kwenye balance sheet Takukuru wanaingia hesabu zinapitiwa inabainika ni shida ya rekodi za kihasibu hakuna wizi...

Huku taarifa inapambwa "26mil zaliwa taarifa ya CAG yaibua madudu" tunaanza kusubilia walaji wachukuliwe hatua kimya.
 
Sahihi kusema baadhi ya maeneo tatizo nitaratibu kutofatwa,kwingine uzembe na matumizi mabaya ya ofisi na kwingine niwizi wa kificho na wawazi!!
Usitetee chochote hapo maana vyoote ni makosa na nchi inaingia hasara kubwa!
Rais anasema kuna mambo ya hovyo na mikataba mibovu wewe unatetea tuseme wewe unaelewa utendaji serikalini kuliko Rais na ofisi yake?? Saa nyingine tufiche ujinga wetu sivizuri kujitukana...
 
Tukiangazia TTCL kuna maeneo inawafikia watu ambako kampuni zingine za simu haziwezi kuwafikia watu.

Iko hivi,ili makampuni ya simu yapeleke huduma sehemu ni lazima kuwe na idadi fulani ya watu ambayo wanajua watapata faida.kama idadi isipotimia basi hawapeleki huduma.

Na maeneo yote hayo ttcl inalazimika kupeleka huduma ,haijalishi kuna faida au hakuna kibiashara.
Hivyo sababu ni nyingi pia zipo nyingine nyingi.

Japo usimamizi nao unaweza badirishwa ili kuleta tija
Hivi kuna eneo gani hapa nchini Tanzania ambalo halina huduma ya mitandao mingine ya Simu isipokuwa TTCL ndio ipo kule pekee inatoa huduma?
 
Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Mtizamo wangu NI kwamba; CAG ripoti zake zinajikita zaidi kwenye sheria na endapo sheria ilikiukwa basi kiasi kilichohusika ndicho utumika kama wizi Jambo ambalo ni kosa.

Mfano; CAG anasema kuna changamoto ya taasisi inayosimamia manunuzi, Mhe. Rais anasema iangaliwe kama ina umuhimu kuwepo. Lakini tatizo kumbe siyo taasisi tatizo ni sheria ya manunuzi ambayo imejaa urasimu. Katika mazingira haya hasara inayotokana na urasimu WA kisheria tunaweza kusema NI wizi?Nani aliyeibiwa? Watendaji wakiuke sheria? Wakikiuka nayo haitaleta hoja ya ukaguzi?

Shirika la ndege linatangazwa kupata hasara, najiuliza ni lini lilimaliza kulipa madeni Hadi lianze kuhesabiwa linapata hasara? Return on investment imefanyika? Business plan ya shirika IPO? Kwanini CAG asituambie NI lini shrika kama ATCL lilianza kupata faida?

Shirika la TTCL linapolaumiwa kufanya vibaya tunaona tunatenda Haki? Kama TTCL pesa zake zote biashara wanazokusanya zinakwenda hazina nakupangiwa KAZI nyingine unategemea lipate faida? Lini shirika litaacha kuendesha Kwa hisani ya wizara ya fedha? Kila activity lazima wakaombe fedha hazina, hata ukimweka malkia lazima litafeli tu! Nilitegemea CAG hatupe mapungufu ya wizara ya fedha katika kutoa fedha lakini sijamsikia. Tusubirie kwenye bajeti tuone kitakachotokea.

Lakini pia TTCL itapataje faida wakati Airtel wapo ndani? Lini tumesikia Airtel wakipata hasara? Means watendaji awana makosa Bali wamiliki wa makampuni ya simu ambao NI viongozi WA chama ndiyo wanahujumu TTCL nakulifanya life wao waendelee kuneemeka. Lazima tukubali kuwa na shrika la mawasiliano lililo imari kama ilivyokuwa vision ya Magu. Tusipokubali kuwa na taasisi na mashirika ya serikali imara hakuna uchumi imara.

Nenda nchi za ulimwengu wa kwanza zote, serikali ndiyo yenye giant companies siyo watu.....Sisi tunatengeneza watu giant mwisho watakuja kutuamulia tulale muda gani na tuamke muda gani.

Tuachane na riport za mis- compliance tuje na riport zakuonyesha wizi na kuthibitisha huo wizi with evidences

Vinginevyo kila mwaka tutakuwa tunazalisha hoja zisizojibika Kwa kuacha professionalism kwenye auditing na kuweka siasa kuwafurahisha wanannchi
Kweli kabisa Mkuu, CAG na timu yake huwa wanaendesha ukaguzi wao katika kipindi husika na kisha kuonyesha maeneo yenye mapungufu kutokana na sera, sheria na tararibu zilizowekwa. Kasoro walizozikuta hupaswa kutolewa maelezo na wahusika.

Kwa hiyo basi zile ambazo hupatiwa vielelezo huondolewa na kuhesabika kama mapungufu ya kawaida katika uwekaji sawa wa kumbukumbu. Lakini zile kasoro ambazo hukosa maelezo ya kuridhisha, huainishwa kama maeneo "risky" katika uendeshaji wa shughuli za kila siku za serikali.

Lazima tutambue kazi ya "auditing," ni ya kiuweledi katika kutafuta "fair view" na wala siyo ya uchunguzi kama ile ya uchunguzi wa kipolisi ili kupeleleza na kutafuta jinai. Ndio maana Mkaguzi huja na 'entry meeting' ili kumtayarisha mkaguliwa na kumuonyesha maeneo anayokusudia kuyakagua, na hatimaye humalizia kwa "exit meeting" na mkaguliwa ili amuonyeshe kwa uwazi zile kasoro zote alizozikuta kuendana na vigezo vilivyowekwa, kwa malengo zipate kutolewa maelezo ili kuweka kumbukumbu za kihasibu sawa.

Hii lugha sijui ya kukutwa madudu, wizi, upigaji uliokithiri n.k. haipaswi kutolewa pale ripoti inapokabidhiwa. Ni jukumu la Bunge na Serikali kuhakikisha majibu yenye afya yaantolewa na wahusika, ili hatua nyingine za kiuchunguzi zemye kuendana na makosa ya jinai zichukuliwe endapo kasoro hizo hazitajibiwa kwa kukidhi matakwa ya kitaalamu.
 
Nakubaliana na wewe Wilaya ya ushetu wameshaambiwa watachukuliwa hatua na Mkoa wakati hata taarifa rasmi (Management letter)haijatoka unaweza kukuta kilichosabisha hati chafu ni uandishi wa kitabu cha hesabu wala sio wizi ila mwanasiasa kashaingilia kutafuta kiki tu.
 
Screenshot_20230401-082456_Samsung Internet.jpg

Huyu ni kati ya wezi, asikupotezee muda
 
Kama kweli kuna wizi kwanini the same report inasema serikali imefanikiwa kufunga hoja zilizoibuliwa kipindi kilichopita? Kwanini Mhe. Rais aseme serikali ijitahidi kufunga hoja zilizoibuliwa kipindi cha nyuma na anaongeza zile ambazo hazina majibu wakae na CAG waone namna ya kuzifuta?

Narudia tena hizi ni hoja za ukaguzi siyo wizi; hakuna wizi wenye ushahidi ambao hata Rais akielekeza wahusika wachukuliwe hatua hakuna anayechukua hatua..

Vyombo vyetu vya habari vinapaswa kuripoti haya mambo kitaalam siyo kuandika kama vile awajasoma.............mwizi gani anaandikiwa Hadi report inawasilishwa Kwa Mhe. Rais bado yupo ofisini? Tukubaliane kwamba hizi ni hoja na kama tukisema huu ni wizi lazima tukubali Makatibu wakuu wa wizara HUSIKA wote wanapaswa kuwajibishwa Kwa Sababu wao ndio washika fedha za serikali kwenye wizara, Mawaziri wanapaswa kuwajibishwa Kwa Sababu wao ndio wanaenda bungeni na kwenye kamati za bunge kutetea wizi ili hoja zifutwe...........
 
Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Mtizamo wangu NI kwamba; CAG ripoti zake zinajikita zaidi kwenye sheria na endapo sheria ilikiukwa basi kiasi kilichohusika ndicho utumika kama wizi Jambo ambalo ni kosa.

Mfano; CAG anasema kuna changamoto ya taasisi inayosimamia manunuzi, Mhe. Rais anasema iangaliwe kama ina umuhimu kuwepo. Lakini tatizo kumbe siyo taasisi tatizo ni sheria ya manunuzi ambayo imejaa urasimu. Katika mazingira haya hasara inayotokana na urasimu WA kisheria tunaweza kusema NI wizi?Nani aliyeibiwa? Watendaji wakiuke sheria? Wakikiuka nayo haitaleta hoja ya ukaguzi?

Shirika la ndege linatangazwa kupata hasara, najiuliza ni lini lilimaliza kulipa madeni Hadi lianze kuhesabiwa linapata hasara? Return on investment imefanyika? Business plan ya shirika IPO? Kwanini CAG asituambie NI lini shrika kama ATCL lilianza kupata faida?

Shirika la TTCL linapolaumiwa kufanya vibaya tunaona tunatenda Haki? Kama TTCL pesa zake zote biashara wanazokusanya zinakwenda hazina nakupangiwa KAZI nyingine unategemea lipate faida? Lini shirika litaacha kuendesha Kwa hisani ya wizara ya fedha? Kila activity lazima wakaombe fedha hazina, hata ukimweka malkia lazima litafeli tu! Nilitegemea CAG hatupe mapungufu ya wizara ya fedha katika kutoa fedha lakini sijamsikia. Tusubirie kwenye bajeti tuone kitakachotokea.

Lakini pia TTCL itapataje faida wakati Airtel wapo ndani? Lini tumesikia Airtel wakipata hasara? Means watendaji awana makosa Bali wamiliki wa makampuni ya simu ambao NI viongozi WA chama ndiyo wanahujumu TTCL nakulifanya life wao waendelee kuneemeka. Lazima tukubali kuwa na shrika la mawasiliano lililo imari kama ilivyokuwa vision ya Magu. Tusipokubali kuwa na taasisi na mashirika ya serikali imara hakuna uchumi imara.

Nenda nchi za ulimwengu wa kwanza zote, serikali ndiyo yenye giant companies siyo watu.....Sisi tunatengeneza watu giant mwisho watakuja kutuamulia tulale muda gani na tuamke muda gani.

Tuachane na riport za mis- compliance tuje na riport zakuonyesha wizi na kuthibitisha huo wizi with evidences

Vinginevyo kila mwaka tutakuwa tunazalisha hoja zisizojibika Kwa kuacha professionalism kwenye auditing na kuweka siasa kuwafurahisha wanannchi
Hivi 4.8bn zilizopotea Police za mfuko wa kuzikana ni Miscompliance??
 
Kiufupi ndivyo ilivyo lakini kutofuata taratibu ndiko kunasabanisha upotevu wa mabilioni..

Mfano Kwa kesi ya TRC kumuacha mkandarasi wa bei chini na kumchukua wa bei Juu ni kwamba ni rahisi sana kujitetea hapo Kwa sababu unasema tuu wa bei ya chini hakuwa na uwezo na kama tungemchukua asinge deliver in time na kuja kuvunja mkataba kuanza tena upya so mpaka hapo hiyo lowest bidder hana maana na wahusika wanakuwa wamejinasua..

Kwa hiyo CAG sio hukumu kwamba ndivyo ilivyo 100%
 
Unaamini watumishi WA umma walifanya haya Bila Mawaziri WA kisekta na Mwenye nchi kujua? Kwamba taarifa ya mshindi wa tender kubwa kama hii haikupita kwenye Baraza la Mawaziri? Kwamba hakuna mwanasiasa aliyehusika kwenye mchakato? Kwamba haya mabehewa Mhe. Magu alidanganywa?

Tukubali Kwamba huuu inaoitwa wizi Una mambo makuu mawili
1. Non compliance
2. Maelekezo kutoka juu

At this level hakuna kuwajibishana Kwa Haki Kwa Sababu anayeamua sheria ifuatwe au isifuatwe ni mwanasiasa Kwa kutafuta political milage
 
Wanaweza kujua kujua ila Sina shaka kama anaweza sema hii ni kubwa sana Kwa sababu Wataalamu ndio hufanya evaluation na kutoa mapendekezo ya Kwa nini achukukiwe x badala ya y..

Mwisho CAG yeye ana rely kwenye Sheria ya manunuzi inayotaka lowest bidder ndio awe awardee jambo ambalo ni nzuri lakini pia Huwa inaleta Changamoto kama za kuja kuvunja mkataba sababu ya lowest bidder kushindwa kuonesha ufanisi inakuwa gharama zingine za pesa na muda pia..

Sie Huwa tunafanya evaluation nafahamu sana hii,unakuta lowest bidder Kwa vigezo kapita ila kwenye uhalisia unajua kabisa huyu itatukata tunamchinjia baharini.
 
Kama kweli kuna wizi kwanini the same report inasema serikali imefanikiwa kufunga hoja zilizoibuliwa kipindi kilichopita? Kwanini Mhe. Rais aseme serikali ijitahidi kufunga hoja zilizoibuliwa kipindi cha nyuma na anaongeza zile ambazo hazina majibu wakae na CAG waone namna ya kuzifuta?

Narudia tena hizi ni hoja za ukaguzi siyo wizi; hakuna wizi wenye ushahidi ambao hata Rais akielekeza wahusika wachukuliwe hatua hakuna anayechukua hatua..

Vyombo vyetu vya habari vinapaswa kuripoti haya mambo kitaalam siyo kuandika kama vile awajasoma.............mwizi gani anaandikiwa Hadi report inawasilishwa Kwa Mhe. Rais bado yupo ofisini? Tukubaliane kwamba hizi ni hoja na kama tukisema huu ni wizi lazima tukubali Makatibu wakuu wa wizara HUSIKA wote wanapaswa kuwajibishwa Kwa Sababu wao ndio washika fedha za serikali kwenye wizara, Mawaziri wanapaswa kuwajibishwa Kwa Sababu wao ndio wanaenda bungeni na kwenye kamati za bunge kutetea wizi ili hoja zifutwe...........
Wewe ni mpotoshaji mjinga. Report nzima haiwezi kujaa wizi kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho. Mle kuna internal controls irregularities, kuna non-compliance issues, kuna fraud indicators ambazo PCCB huzichukua, kuna financial statements opinions ambayo ndio basic objective ya auditing na kuna clear fraud.
 
Ukiukwaji wa taratibu ndio wizi wenyewe.Kinachokosekana kwetu ni chombo makini chakuchunguza hizo kasoro ili kuleta majibu sahihi na yakweli ili hatua stahiki zichukuliwe.Mambo mengine hayapati majibu sahihi kwasababu tunatabia ya kulindana.Hatuna uadilifu kiasi hicho chakusema taarifa ya CAg hakuna wizi.labda kama nawewe uko kwa ajili yakuficha madudu ili muendelee kula kwa usawa wa kamba.
 
Unaweza tumia sheria ukaiumiza zaidi serikali...na mwingine asitumie sheria hiyo akahukumiwa kukiuka sheria lakini akasaidia mno Taifa...

Nikupe mfano kama Tanesco wanataka kununua transfoma...sheria zinataka watangaze tenda ...atakaeshinda hiyo tenda ata supply hizo transfoma hata kama ni kutoka nje na bei ni juu kidogo...

Lakini Tanesco wakisema hatutangazi tender tunawapa upendeleo Tanelec watakuwa Wana supply transfoma Kwa bei nafuu ...watakiuka sheria lakini umeona faida yake ilivyo kubwa?.. Tanelec ataongeza production...ataajiri zaidi ...kuliko kuacha supplier alete transfoma kutoka popote hata nje ya nchi
To each their own
Ila kwenye hio kupeana ndio watu wanapitisha yao

And btw i thought the lowest bidder wins..ama?
Sijui taratibu za manunuzi to bits
 
Sikuzote huwa tunasema CAG ni watch dog ananusa na law inforcement zingine ndio huwa zinachunguza ukweli. Kitu ambacho pia ni ujinga sana, ingekuwa report inasomwa baada ya taasisi nyingine kukamilisha uchunguzi...

Ila kwa style hii ni kuja hoja ambazo mwisho wa siku hazina maana... mfano CAG anasema halmashauri A imefanya manunuzi ya bidhaa hewa za mil 26 kumbe tatizo ni makosa ya kiuhasibu kwenye balance sheet Takukuru wanaingia hesabu zinapitiwa inabainika ni shida ya rekodi za kihasibu hakuna wizi...

Huku taarifa inapambwa "26mil zaliwa taarifa ya CAG yaibua madudu" tunaanza kusubilia walaji wachukuliwe hatua kimya.
Balance sheet na manunuzi hewa vina uhusiano gani?

Manunuzi si yanathibitishwa na Invoice,delv note,grn na kuangalia kama hio bidhaa ipo?

Inahitaji takukuru kubaini manunuzi hewa?
Its not rocket science hata wewe waweza bainisha
 
Kila siku CAG anakuja na report kuhusu upotevu wa mabilioni kwenye secta ya umma lakini hakuna hatua zinazochukuliwa. Wakati CAG akija na hoja hizo mara nyingi PCCB hakuna sehemu anakuja na hoja zakuthibitisha huo wizi badala yake kesi nyingi uisha Kwa matumizi mabaya ya Ofisi.

Mtizamo wangu NI kwamba; CAG ripoti zake zinajikita zaidi kwenye sheria na endapo sheria ilikiukwa basi kiasi kilichohusika ndicho utumika kama wizi Jambo ambalo ni kosa.

Mfano; CAG anasema kuna changamoto ya taasisi inayosimamia manunuzi, Mhe. Rais anasema iangaliwe kama ina umuhimu kuwepo. Lakini tatizo kumbe siyo taasisi tatizo ni sheria ya manunuzi ambayo imejaa urasimu. Katika mazingira haya hasara inayotokana na urasimu WA kisheria tunaweza kusema NI wizi?Nani aliyeibiwa? Watendaji wakiuke sheria? Wakikiuka nayo haitaleta hoja ya ukaguzi?

Shirika la ndege linatangazwa kupata hasara, najiuliza ni lini lilimaliza kulipa madeni Hadi lianze kuhesabiwa linapata hasara? Return on investment imefanyika? Business plan ya shirika IPO? Kwanini CAG asituambie NI lini shrika kama ATCL lilianza kupata faida?

Shirika la TTCL linapolaumiwa kufanya vibaya tunaona tunatenda Haki? Kama TTCL pesa zake zote biashara wanazokusanya zinakwenda hazina nakupangiwa KAZI nyingine unategemea lipate faida? Lini shirika litaacha kuendesha Kwa hisani ya wizara ya fedha? Kila activity lazima wakaombe fedha hazina, hata ukimweka malkia lazima litafeli tu! Nilitegemea CAG hatupe mapungufu ya wizara ya fedha katika kutoa fedha lakini sijamsikia. Tusubirie kwenye bajeti tuone kitakachotokea.

Lakini pia TTCL itapataje faida wakati Airtel wapo ndani? Lini tumesikia Airtel wakipata hasara? Means watendaji awana makosa Bali wamiliki wa makampuni ya simu ambao NI viongozi WA chama ndiyo wanahujumu TTCL nakulifanya life wao waendelee kuneemeka. Lazima tukubali kuwa na shrika la mawasiliano lililo imari kama ilivyokuwa vision ya Magu. Tusipokubali kuwa na taasisi na mashirika ya serikali imara hakuna uchumi imara.

Nenda nchi za ulimwengu wa kwanza zote, serikali ndiyo yenye giant companies siyo watu.....Sisi tunatengeneza watu giant mwisho watakuja kutuamulia tulale muda gani na tuamke muda gani.

Tuachane na riport za mis- compliance tuje na riport zakuonyesha wizi na kuthibitisha huo wizi with evidences

Vinginevyo kila mwaka tutakuwa tunazalisha hoja zisizojibika Kwa kuacha professionalism kwenye auditing na kuweka siasa kuwafurahisha wanannchi
Na kwanini taratibu zikiukwe!?, Kama sio kuandaa mazingira ya wizi Nini!? Ukiukwaji wa utaratibu ni kuandaa mazingira ya wizi.. kiufupi wameiba
 
Naungana na wew ila usidanganye kusema nchi za watu serikali ndo yenye giant companies, kwa reason yeyote m naona ni wakati sasa wa serikali kuondoka kwenye sekta ya mawasiliano,
Serikali iwe inawekeza kwenye sekta ambazo sekta binafsi either zinasita au za kimkakati na wakishakuja bas serikali itoke iende kwingine,
Kwa sasa nashauri TTCL iuzwe pesa itayopatikana tushirikiane na makampuni ya dawa na vifaa tiba tujaze viwanda vya dawa na vifaa tiba vingi nchini.

Ni mtazamo tu m sio SSH

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom