Ripoti ya CAG haina wizi, ina ukiukaji wa taratibu

Hawawezi kukuelewa mkuu
 
Na kwanini taratibu zikiukwe!?, Kama sio kuandaa mazingira ya wizi Nini!? Ukiukwaji wa utaratibu ni kuandaa mazingira ya wizi.. kiufupi wameiba
Kwanini iwe baada ya kukubali kuwa wizi haupo ila utaratibu kutotumika ndiyo hoja
 
Kwani mtu ataamua kukiuka taratibu ili alenge kufanyaje?
 
Miradi mingi inakuwa chini ya kiwango sababu ya kuwabana wakandarasi wa-quote gharama za chini ili wapate tenda Kama kigezo halafu badae tena wawakatie 10% [emoji848][emoji848]

Wataenda ku-promise na quality of the work.

Tupende uadilifu jamani kwa manufaa ya watanzania na vizazi vyao.
 
Kazi za miradi zinakuwa sub-standard sababu ya kulazimishwa kutoa 10%
 

Hata kipindi kile cha JPM, wakasema amekwapua 1.7 trilioni. Wakati CAG alisema ni non compliance.
 
CAG anatumika kisiasa hana lolote , kuja kupanikisha tu watu , ndo mana Maghufuli alikuwa anawafukuza kibabe , Weledi wa kazi ya CAG unapimwaje? Wote sio maboya kama anavyofikri
Naunga mkono

Kila siku wanaiba halafu wanaweka sherehe(CAG report) ya kujisema, wanatu enjoy sana
 
Wewe mgonjwa kweli kweli:
Rais kasema: Original Invoice ilikuwa USD 37 million, baadaye wanaleta invoice ya 87 million USD

Sasa hapo hata Rais haelewi ati wewe unaelewa? cretin

Hapo napo ni non compliance. Maana kuna kitu kinaitwa contract management hakikuzingatiwa.
 
Sijasoma takataka zilizomo humo ndani, ila nimesoma kichwa cha mada.

"Taratibu zinakikwa" ili iweje, kwa sababu zipi?

Wizi hauwezi kutokea wakati taratibu zinapokiukwa?

Unaleta mada hapa kutetea upumbavu?

Samahani kwa kutumia lugha isiyostahili, lakini huwa sina uvumilivu na watu wa aina yako mnaotafuta visababu kuhalalisha maovu.
Nipo tayari kukabiliana nawe.
 
Your browser is not able to display this video.

Jizi la Ushetu limekuja humu kujitetea. Ulishindwa kumpa majibu CAG unakuja humu kujamba jamba
 
Vinginevyo kila mwaka tutakuwa tunazalisha hoja zisizojibika Kwa kuacha professionalism
Toka nimesikia ruumazi kuwa Kuna taasisi imeandikiwa "hati chafu"/pewa onyo eti kwa kukiuka taratibu ya kununua gari moja la bei kubwa na la gharama kubwa kulitunza na halidumu na badala yake taasisi hiyo ikanunua magari mawili yenye kufanya kazi hiyo hiyo ya gari la gharama kubwa kwa bei Rahisi na utunzaji wake ni Rahisi na linadumu ndipo niliwaza sana juu mission, vision ya Ofisi ya CAG juu ya maslahi ya Taifa.

Kumradhi kwa urefu wa sentensi!
 
Ripoti ya CAG inasema kuna upotevu wa kiasi fulani cha fedha, au hazijulikani zilipo, wewe unasema huo sio wizi, ni ukiukaji wa taratibu.!!.

Hapo sioni cha maana ulichoandika zaidi ya kulipaka mafuta neno wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…