Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Huyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
And watakaa kimya kama hawaoni kituHuyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
View attachment 3285908View attachment 3285910
View attachment 3285915
Mlimpinga sana MZALENDO JPM ...LEO MNAJIDAI KUSHANGAA UFISADI 🤮🤮Aisee!! Bado kuna Goli la mama, kuwachangia milioni kadhaa mitume na manabii, kuchangai milioni za kutosha ujenzi wa misikiti na makanisa, kumpa zawadi ya milioni kadhaa Askofu, Sheikh fulani! Kufanya matamasha ya Kizimkazi, .......!!!
Dogo acha kuvuta bangi kabla ya kula. Hata huyo JPM wako naye alikuwa mwizi tu. Na kama ulikuwa hujui, shida ya haya madudu yote ni uwepo wa katiba mbovu ya ccm, ya mwaka 1977!W
Wapumbavu mlimpinga sana MZALENDO JPM ...LEO MNAJIDAI KUSHANGAA UFISADI 🤮🤮
Hata ulaya kwa waxungu ni wezi hakuna mtakatifu bali tunataka kiongozi hata akiwa mwizi awe mzalendo mpenda maendeleo kwa wananchi wake ....sasa nyinyi kwa upumbavu wenu mnatazamia malaika kuja kuwa kiongozi mtangoja sana ...hata akiwa dictator na mwizi ila awe na UZALENDO KWA TAIFA NA WATU WAKE NA MPENDA MAENDELEO HUYO ANATUFAA SANA ....NI MPUMBAVU TU ANAYE TAZAMIA KUPATA KIONGOZI MALAIKADogo acha kuvuta bangi kabla ya kula. Hata huyo JPM wako naye alikuwa mwizi tu. Na kama ulikuwa hujui, shida ya haya madudu yote ni uwepo wa katiba mbovu ya ccm, ya mwaka 1977!
JPM ALIKUWA NA SIFA KAMILI ZINAZO TAKIWA KWA MTU KUWA KIONGOZI NAZO NIDogo acha kuvuta bangi kabla ya kula. Hata huyo JPM wako naye alikuwa mwizi tu. Na kama ulikuwa hujui, shida ya haya madudu yote ni uwepo wa katiba mbovu ya ccm, ya mwaka 1977!
Ni mara 2 hadi 3Nahiyo value/number /kiwango atakuw ame minimize 🍋🟩🤢
Magoli ya mama, hela wanazokula Mama ongea na mwanao na Samia queensHuyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
View attachment 3285908View attachment 3285910
View attachment 3285915
Baada ya mitano tena, haya matumizi yatafiika Bil 600. Viongozi vipofu wanaliangamiza hili taifa. Shame on you CCMHuyu ndiye anaomba kurudi tena ikulu kwa miaka mingine mitano
View attachment 3285908View attachment 3285910
View attachment 3285915
Dogo anajiona Bora sana Huyu!Dogo acha kuvuta bangi kabla ya kula. Hata huyo JPM wako naye alikuwa mwizi tu. Na kama ulikuwa hujui, shida ya haya madudu yote ni uwepo wa katiba mbovu ya ccm, ya mwaka 1977!
Wataketa vitenge,kanga, kofiaWatendaji kwenye taasisi zenye kupata hasara ya mabilioni wajitafakari ikiwa wanastahili kuendelea na nafasi zao au wanastahili hata kutia nia ya kugombea nafasi Za kisiasa (Ubunge,udiwani,etc)..
Kimsingi wafanye maamuzi ya kujiuzulu pasipo kusubiri kutenguliwa,Kuvuliwa nafasi au kutumbuliwa..
Aisee!! Bado kuna Goli la mama, kuwachangia milioni kadhaa mitume na manabii, kuchangai milioni za kutosha ujenzi wa misikiti na makanisa, kumpa zawadi ya milioni kadhaa Askofu, Sheikh fulani! Kufanya matamasha ya Kizimkazi, .......!!!