Duh Aisee JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 1,297 Reaction score 860 Oct 23, 2026 #21 Huyu na mwenzie wametuuza sana, haki ya Mungu bandari chamtoto. Wameuza vitu vingi sana na vile umeme mdogo kichwani yeye anasaini tu
Huyu na mwenzie wametuuza sana, haki ya Mungu bandari chamtoto. Wameuza vitu vingi sana na vile umeme mdogo kichwani yeye anasaini tu
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Oct 23, 2026 #22 Hizi ripoti za CAG Kama vile hazina umuhinu ni ujinga wahusika hawafanywi chochote sasa maana yake nini kama sio kuwapa presa wananchi.
Hizi ripoti za CAG Kama vile hazina umuhinu ni ujinga wahusika hawafanywi chochote sasa maana yake nini kama sio kuwapa presa wananchi.