Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Yule anapotezwa na mushumbus. Jimama lake lileMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.
My take: Njaa ni mbaya sana.
hahha hapa tayari umeshapanic.Waulize CHADEMA Kama bado wanapambana na ufisadi
Huyu Mzee mwisho wake utakuwa mbovu; tamaa na dhambi ya usaliti vitamfuata popote aendapo!!Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.
My take: Njaa ni mbaya sana.
Josephine Mshumbusi kamkataza mzee slaa asijiingize kwenye maswala yoyote ya kupambana na ufisadi.😆😆😆😆
Hata mimi naunga mkono kwamba kuuliza kama Chadema bado wanapambana na ufisadi ni hoja ya kijinga, maana kila mtu anajua Chadema waliiacha hiyo hoja toka mwaka 2015. Au sio Erythrocyte?Hoja ya kijinga isiyohusiana na uzi huu
nenda kale chakula cha mchana hata makande ya buku yale ya kwenye ndoo alafu urudi usome hii thread upya.
Hili jimama lipo ki maslahi zaidi...Dr. wa watu anaweza aishie shimo la tewa asipofanya juhudi za kujinasua mapema!!Yule anapotezwa na mushumbus. Jimama lake lile
Kula yako integemea mke wa lema ndio umshauri slaa.endelea kufua nguo za shemejioShetani hana rafiki , Dr Slaa tulimuonya sana lakini akatupuuza , atavuna alichopanda
punguza jazba za kike.Ulimuonya kama nani!acha ujuaji we popoma
Jika la makengeza linajibu.Hata mimi naunga mkono kwamba kuuliza kama Chadema bado wanapambana na ufisadi ni hoja ya kijinga, maana kila mtu anajua Chadema waliiacha hiyo hoja toka mwaka 2015. Au sio Erythrocyte?
Kama hela ya kukodi nyumba ilikuwepo kwanini wasingeitumia kukarabati hizo nyumba za ubalozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijiunga CCM lazima uwe fisasi, muuaji,mchawi na mambo yanayofanana na hayoMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.
My take: Njaa ni mbaya sana.
Sema maccm wengi ni wapumbavuAcheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Very soon Babu Slaa atarudi Mbulu kula kwantee.Hii ni style ya kumpumzisha mzee. Ameshatumika sasa uelekeo jalalani. Condom style.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti ya Balozi husika ipo chini yake ila Balozi huyo hajaonesha intention ya kufanya ukarabati anasubiri miujiza, kazi yake kulala tu 5 star hotel.Kipindi Wanafanya Ukarabati wangekuwa wamekaa wapi? Wao wawape fedha za Ukarabati, wakarabati basi.
Kupanga bado hakuepukiki Kama Makazi yanahitaji kukarabatiwa. Ukikarabati lazima upishe Ukarabati.
Kama nimepanga kutokana na ubovu wa miundombinu, na hujaniwezesha fedha za kukarabati hiyo miundombinu yenyewe nitapanga tu. We karabati, nikiendelea kupanga nilime hoja. Lakini bila kukarabati afu unanilima hoja, ni upishi wa hoja.
Hicho ni kiashiria Cha hoja, ambacho serikali inatakiwa kukiondoa kwa kutoa fedha za Ukarabati. Basi.
Labda ingekuw hivi, "Pamoja na Nchi yetu kutumia fedha kadhaa kukarabati nyumba za ubalozi wa Tanzania nchini A, B, C lakn bado Mabalozi katika nchi hizo wameendelea kuishi katika nyumba za kupanga. Jambo hilo limeiingizia serikali hasara ya kiasi Cha shilingi ......!". Hiyo ndo hoja.
Lakn Kama hoja iko Kama alivyoiwasilisha, inaibana Serikali na siyo Dr. Slaa!
Lugumya.
Sent using Jamii Forums mobile app