Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Tumesomewa ripoti ya ukaguzi wa matumzi ya 2018/19, unataka kusema imehusisha na bajeti ya 2010/11?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Acha kupanic basi
Ni ukaguzi wa kuanzia julai 2018 hadi juni 2019
Maana yake hizo hela zilitumika u zilibajetiwa katika mwaka huo wa fedha
Sasa hiyo miaka mitatu nyuma umeiokotea wapi!!!
 
Ulimuonya kama nani!acha ujuaji we popoma
Mtanzania yeyote, kwa mujibu wa katiba yetu hii mbovu ya 1977 na marekebisho yake, ana uhuru wa kutoa maoni, maonyo, mapendekezo au tahadhari kwa kiongozi au taasisi yoyote ya umma, kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo mbalimbali. Slaa alikuwa kiongozi wa CHADEMA, Hivyo mpaka wakati anajiuzulu, wanachama na watanzania wengine walikuwa na haki ya kutoa maoni yao: kumsifu, kumpongeza, kumkosoa, kumuonya, nk. CHADEMA ni taasisi ya umma inayopokea ruzuku ya serikali, ambayo. Ni fedha ya walipa kodi.

Slaa naye kwa upande wake ana uhuru wa kutoa maoni, maonyo na hata kukosoa lolote, hata huko alikohama, CHADEMA. Na amefanya hivyo mara nyingi sana. Mara baada ya kujitoa CHADEMA, akisaidiwa na CCM, Slaa alitoa hotuba kali ya kuushambulia CHADEMA, hotuba iliyotangazwa Mubashara na Chaneli 5 za televisheni, bila shaka kwa gharama na udhamini wa CCM, lengo likiwa kuisambaratisha CHADEMA, Na katika hilo alishindwa vibaya. Slaa ameendelea kutoa maoni yake kuhusu upinzani kwa ujumla, na CHADEMA pia, maoni ambayo daima ni kukejeli na kukosoa, ikiwa ni kulipa fadhila kwa mabosi wake wapya.

Kwa hiyo acha woga usio na sababu, acha ujinga. Elimika.
 
Msimsahau mama Slaa na posh life anayopenda kuishi... Zile B2 zimeshakata
Jr[emoji769]
 
Zimetajwa Balozi tatu, kwa nini mnavalia njuga Ubalozi ulio chini ya Dk.Silaa - kuna kitu gani kinaedelea nyuma ya pazia, je, kuna watu wsmepania kumchafua Dk.Slaa ili atimuliwe kazi - najuwa kuna baadhi ya wana CCM hawakupendezwa Dk.Silaa kiteuliwa kama Balozi wetu huko Sweden
 
Mkakati uliopo na unaosukwa ni kuwatimua mamluki wote waliojiuza , kwa hoja kwamba walilipwa hela tasilimu waliponunuliwa , kwanini wamepewa tena vyeo ?
 
Mahakama ya mafisadi ni ya nini mlianzisha
 
Usaliti kanisani (upadri) useja (ukaoa)usaliti chama hadi wananchi jamani yote hayo karma ikuache? No
 
Mkuu mtoa post hajaelewa. Anafikiri Dk. Slaa alipewa kukarabati badala yake akakodi.
Nyie ndio hamjamuelewa CAG kwenye hiyo hoja alisema matumizi yasiyo na tija kwamba ubalozi ungezitumia kwa tija hizo hela kukarabati nyumba ambayo ipo baada ya ukarabati nyumba ingetumika for more than 3 or 5 years na wasingekuwa na gharama za kulipa kodi.Manake unakuta gharama za kukarabati nyumba ni ndogo tu ila mtu anaamua kupanga mwaka mzima halafu ukarabati unaweza chukua hata mwezi 1 tu
Mara nyingi watu wa serikali wanaamua kuishi nyumba za kupanga ili wewe wanapata 10% kutoka kwa ma landlord
 
Kama hela ya kukodi nyumba ilikuwepo kwanini wasingeitumia kukarabati hizo nyumba za ubalozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hela ya serikali inayotumika pasipo bajeti, na bajeti za balozi zipo katika bajeti ya wizara ya mambo ya nje ambayo inapitishwa na bunge la JMT.

Hakuna hoja ya maana hapo maana fedha hiyo, matumizi yake yalibarikiwa na serikali, ila kutakuwa na hoja kama kilicgopitishwa ilikuwa ni kukarabati halafu balozi zikaamua kukodi.
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Yawezekana wewe ndiye mpumbavu kuliko hao unao wananga. Hii ni Ripoti ya Hesabu ya CAG inayoishia 30/ 06/ 2019. Utajiuliza Dr Slaa aliingia lini Sweeden ndiyo utajua mpumbavu wa kweli ni nani
 
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Unajua hiyo ripoti inatoka kila baada ya muda gani?
 
Msiingize siasa kwenye hili. Kwanza inabidi mfahamu kuwa mjini Stockholm tuna jengo la ubalozi ambalo limechakaa kiasi cha kuathiri hadhi ya balozi wetu. Kwenye nchi ile hakuna kitu ghali kama nyumba. Bajeti ya ubalozi kwa miaka mingi hawakuwa wanapelekewa maduhuli ya kutosha kuweza kufanya ukarabati wenye hadhi stahili. Balozi wetu option iliyokuwepo ni kukodi/kupanga nyumba ya balozi ambayo over the years imeonekana kuwa ni nyingi. Mapendekezo ya CAG ni kuwa 'bora kufanya ukarabati wa nymba hiyo kuliko kuendelea kukodi. Sasa kwa hili ufisahakuna di upo wapi???? Tafuteni jingine lakini kwa hili mnakosea sana na mnamkosea sana balozi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…