Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwa hiyo Dr Slaa amezitia mfukoni kwake hizo pesa? CAG katoa ushauri wakarabati nyumba ili kupunguza gharama hajasema kuna mtu kafisadi pesa za serikali.Shetani hana rafiki , Dr Slaa tulimuonya sana lakini akatupuuza , atavuna alichopanda
Ulitaka wapambane vipi wakati bwana wako kahodhi bunge, kaua Uhuru wa habari na sasa vyombo vyote vya habari vipo mfukoni kwake.Waulize CHADEMA Kama bado wanapambana na ufisadi
Great! Makapi ya bongo
Nyumbu bwana hata hii ni hoja ya kudandiaKwa hiyo Dr Slaa amezitia mfukoni kwake hizo pesa? CAG katoa ushauri wakarabati nyumba ili kupunguza gharama hajasema kuna mtu kafisadi pesa za serikali.
He will be back to Canada Aliko Josephine! Not that stupid! Hata akirudi Karatu bado ataheshimika.Very soon Babu Slaa atarudi Mbulu kula kwantee.
Ni vizuri.He will be back to Canada Aliko Josephine! Not that stupid! Hata akirudi Karatu bado ataheshimika.
Jibu maswali acha mipasho ya kishamba,ripoti imehusisha Dk moja kwa moja? Je kama alipoteuliwa alikuta tayari wizara imeshapanga hilo jengo?Nyumbu bwana hata hii ni hoja ya kudandia
Ungekuwa na busara ungesubiri kamati ya bunge ipitue hizo queries na itow majibu kuliko kukurupuka kama unawashwa washwa, unamtuhumu mtu hata kamati hazijaidili ripoti.Nyumbu bwana hata hii ni hoja ya kudandia
Huyo unayemsema inaonekana alikuwa bwana wako Ila baada ya kuachika wivu umekujaaUlitaka wapambane vipi wakati bwana wako kahodhi bunge, kaua Uhuru wa habari na sasa vyombo vyote vya habari vipo mfukoni kwake.
Kila siku zinatungwa sheria za kukomoa na kuwashughurikia wanaoibua ufisadi.
Vita ya ufisadi inafanikiwa pale ambapo kuna bunge lenye meno, vyombo huru vya habari na mahakama huru.
Acha propaganda. CHADEMA wanaweza kuleta sera mbadala, lakini mwenye uwezo na dhima ya kupambana na ufisadi ni chama kilichoko madarakani, ambacho kinashikilia vyombo vya dola kama TAKUKURU, DPP, Polisi na magereza na pia ndio kina dhamana ya kutumia fedha za kodi. Kwa kiwango ambacho serikali ya CCM inatumia dhamana hiyo, ndio tunaweza kupima wanapambana na ufisadi kwa kiwango gani. Kusema CHADEMA wanapambana vipi na ufisadi, tena katika mazingira ambayo hata ile silaha pekee waliyonayo ya kupiga kkelele, umedhibitiwa na serikali ya CCM, ni maneno yasiyokuwa na maana yoyoteWaulize CHADEMA Kama bado wanapambana na ufisadi
Dk Slaa amekua fisadi?Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.
My take: Njaa ni mbaya sana.
Kama ulifanyika miaka ya nyuma basi ungekuwa kwenye ripoti za CAG Assad, na hii ripoti ungeeleza kwamba hili lilishaoneshwa huko nyuma lakini halijafanyiwa kazi.Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Punguza wivu dadaUlimuonya kama nani!acha ujuaji we popoma
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama wangekarabati nyumba zao za makazi.
My take: Njaa ni mbaya sana.
Wewe ni wa kwanza kwa upumbavu, kisha tunafuata siye watz wenzakoAcheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Waachie wenye uhakika ndio waongee, wakimbiza bk 7 mko wengi mno.Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.
Acheni ujinga, ufisadi inaweza kuwa ulifanyika miaka 3 hadi 5 nyuma na huyo Slaa inawezekana ndiye mpuliza kipenga (whistle blower) wa hiyo issue. Mnadandia treni kwa mbele bila kusoma undani wa reporti. Watanzania wengi wapumbav sana.