Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.
Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania
Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa
Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.
Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha
"Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea zaidi ya dola trilioni moja za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.
Hii inafanya kuwa Deni la Tanzania kuwa kubwa zaidi kuliko la Malawi, Burundi, na Namibia, hali inayodhihirisha kuwa Tanzania inakopa kwa kasi zaidi ikilinganishwa na nchi hizo.
LIST & LINK BELOW
View attachment 3462764
Just in July alone, the International Monetary Fund (IMF) is reported to be looking into the disbursements of loans to Egypt and Ethiopia, raising new worries about Africas growing reliance on IMF financing
africa.businessinsider.com
#DeadAid