Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.

Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.

Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea matrilioni ya dola za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.

Tusipo kuwa makini Nchi hii itapigwa mnada ---> "In Ndugai Voice"

LIST & LINK BELOW

View attachment 3462764

#DeadAid
Moja ya eneo ambalo wananchi hawana uelewa nalo ni hili. Ukubwa wa Deni sio shida ,shida ni unit/entity ya ukubwa wa Uchumi wako mfano Deni letu ni 116 Trillion lakini GDP yetu 84B USD so ikifika mahala GDP ikawa ndogo over Deni means utatumia mikopo kulipa Mikopo au usifanye maendeleo Ili ulipe madeni.

Kenya ni above 120B GDP USD na ni industrial economy compared to Tanzania whose economy is rooted from Agriculture, Minerals
in terms of raw materials. Hapa kwa Kenya ugumu wao ni kwenye base ya uchumi wao ni too liberal of which depression is inevitable.

Tatizo lipo kwenye kufanya investment huwezi kukopa unajenga Madarasa, unajenga nyumba za askari hii just for fundraising is enough.

Kama tunakopa tunajenga flyovers, rapid transit road, SGR, MABWAWA YA UMEME n.k
Hapa tutarudisha pesa kirahisi sana kwa sababu ni productive & payable.
 
Naelekea Sumbawanga kununua radi, nikirudi utasikia majibu yake
Kila la heri, lakini mchunguze sana huyo atakayekuuzia radi maana anaweza kuwa ni wa chama chetu akakugeuzia kibao ukashangaa radi inapiga gereza flani! Ahahahahaha!!!
 
Tumpe mitano tena atatupeleka top three
Tufanye namba moja itapendeza mbona deni kidogo tu ilo tukiuza serengeti linalipika msijali wadau nchi bado mbichi hii mi 5 tena au katiba irekebishwe apige 10 kabisa
 
Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha.

Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na kufikia kiasi cha shilingi za Kitanzania Tril 107.7 katika muda mfupi wa uongozi wa Raisi Samia Suluhu Hassan huku kukiwa hakuna mnyambulisho na mchanganuo bora juu ya matumizi ya mkopo huo kwa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Mkopo ukiwa umefunikwa na Giza zito la wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.

Mtaalamu wa uchumi mzaliwa wa Zambia na Master's Graduate katika chuo cha Havard University, Dambisa Felicia Moyo, anapinga vikali dhana hii, akiwa na uzoefu mkubwa katika taasisi za kifedha kama World Bank na Goldman Sachs. Kupitia kitabu chake cha "Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa", Anaweka bayana kwamba licha ya Afrika kupokea matrilioni ya dola za misaada katika kipindi cha zaidi ya miaka hamsini, bado bara hili limeendelea kuwa masikini, tegemezi, na lenye migogoro ya kijamii na kisiasa.

Tusipo kuwa makini Nchi hii itapigwa mnada ---> "In Ndugai Voice"

LIST & LINK BELOW

View attachment 3462764

#DeadAid
Ninyi Wadanganyika na vizazi vyenu kumi vijavyo,, lipeni deni la watu.

Haijalishi aliyekopa ni nani, mtalipa au mtauzwa na hamna nguvu ya kumzuia ama kukataa asikope.

Chagua nchi waliyokopa ukajikabidhi mapema kama mtumwa wa hiari. Uarabuni, ulaya Marekani au Uchina.
 
Hata wewe pia, niwakupuuzwa tu.
 
Kwa ninavyojua Watanzania hii kwao si habari wako bize kukata viuno kwenye mikutano ya CCM
Unafikiri tunapenda basi? 😀 Nyie wenye akili ndio hamfanyi kitu, mnatupanga tukomaenyie hamji mbele...sisi tuvunjwe miguu, wakati nyie mna bima, biashara na ajira.

I am joking, lakini huwa najiuliza huyu mwananchi wa kawaida afanye nini bila kuumia na akiumia je gurantee ni ipi kuwa wengine watakaokuwa hapo katika utawala hawatatupeleka mwendo huu huu wa mikono juu?
 
Sidhani kama dhamira ikiwepo,, kuna atakayekuwa maskini hapa Tanzania. Rasilimali lukuki, ila nia ikiwa sifuri hadi Yesu arudie hamna kitu. Ardhi, maji, misitu, utalii, madini, wanyama wote ama wa kufugwa au porini, nguvu kazi nk

Ni kweli tunakubali tangu uhuru 1961 kuna mambo yamefanyika, ila bado saaaana ukilinganisha na mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom