Ripoti ya Jajiji Chande imewavua nguo na kuwaumbua Digital Sadism Content Creators wote

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Kaa utulie ule matunda ya wizi wa kura jentroman mengine haya ni kuzidisha chuki
 
Nili msikiliza father KITIMA , maoni yake ni kweli TUPU.

KILICHO FANYWA NA HII TUME NI KUN'GARISHA KANIKI wakati RANGI INAJULIKANA.

Ni jambo la MUDA tu siku moja tukiwa hai CHANDE atakuja kuusema ukweriiii..

NB. Chanzo na mzizi wa mauaji na machafuko ni CCM na SERIKALI yake hili Kila mwenye akili timamu analijua
 
Unahisi hajui? Ameamua tu kujizima data
 
Inasikitisha sana . Bado unaendelea kujiaibisha. Akili kisoda.

Maneno yooote hayo. Haujaonyesha report imewaaibisha kivipi?.

Pengne hawa wanaharakat wasingesema idad ya vifo ni 1k+ bas hata tume isingesema hao 500+.

na kwa taarifa yako. Walioandamana na kufa sio Chadema.
Ni watanzania ambao hawana itikad ya vyama. Vijana ambao hawana hata vyama vya siasa. Ila waliona ile ndio njia ya kuikomboa Nchi yao.
 
Kaa utulie ule matunda ya wizi wa kura jentroman mengine haya ni kuzidisha chuki
hakuna poroja za chuki tena,
wale vijana waliobebwa ufala wa kutunga uzushi dhidi ya taifa lao na kuhifadhiwa pale nairobi hawana ajira tena gentleman, dah
 
 
Gentleman,
sidhani kama huyo muungwana atakosa kwenye listi ya wanaharakati uchwara waliotajwa kwenye tume ya jaji chande kupanga na kufadhili matukio ya vurugu na fujo za oct.29.2025.

namuheshimu sana,
ila alihubiri chuki vyakutosha kabla ya uchaguzi na alitamani sana wananchi kuleta fujo, kuharibu miundombinu na kusababisha maafa.

ni suala la muda tu huenda akakimbilia uhamishoni au mkono wa sheria ukamnasa.
 
wewe ni hasara kwa wazazi wako
Gentleman, ambae ni faida kwa wazazi wako,
jitafidi basi walau uwe na mawazo mapya bora zaidi na mbdala dhidi ya hoja mahususi mezani kuliko kumbwelambwela jukwaani na kujiexpose jinsi ulivyo empty head

na kama uko pointless kaa kimya tu,
nonsense ni usumbufu kwa wadau wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…