Kufurahia maafa ya mtu huo sio nzuri eti kiss ushabiki wa chama Pascal Mayalla alikushauri usipende kuendekeza ushabiki kwenye mahala ambapo hapa hitaji ushabikiwawapi kwanza huyo gentleman,
na alikua wapi,
ughaibuni au mamtoni?
Kufurahia maafa ya mtu huo sio nzuri eti kiss ushabiki wa chama Pascal Mayalla alikushauri usipende kuendekeza ushabiki kwenye mahala ambapo hapa hitaji ushabikiwawapi kwanza huyo gentleman,
na alikua wapi,
ughaibuni au mamtoni?
Gentleman,Kufurahia maafa ya mtu huo sio nzuri eti kiss ushabiki wa chama Pascal Mayalla alikushauri usipende kuendekeza ushabiki kwenye mahala ambapo hapa hitaji ushabiki
Kwanza hujajibu hoja Polepole Katekwa kwasababu ya kimapenzi au madeni?Gentleman,
huna haja ya kuhamisha mjadala,
kudeka au kumsumbua mwalimu paskali, wala kutafuta huruma yake kwa hoja iliyokulemea baada ya kufikia ukomo wako wa mawazo mapya au fikira mbadala bora zaidi ya hoja iliyoko mezani.
yakikushinda unakaa kimya tu
Na hao watoto walipanga ujambazi😀Gentleman,
upange ujambazi na fujo kisha uuawe kwenye ujambazi huo halafu utegemee kutetewa? labda na majambazi wenzako
Walienda na matokeo yao uwanjani, wamekula Chuma wamebaki kung'oa viti aise.Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.
Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,
Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.
Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kweli nimeaamini ili uwe ccm unatakiwa usiwe na akilihao wameuawa na AZAKI kwa makusudi tu ili waonewe huruma na wafadhili wao na wapewe pesa mingi zaidi
Kama mtu mwenye fikra mbadala ndo weww Bora nisiwe na hizo fikra mbadala.sasa muerevu mbona unaonekana uko empty head tu?
huna wazo jipya wala fikra mbadala na unambwelmbwela kwa mihemko nonsense tu jukaani?
Mimi ni muerevu sababu sitetei mauaji ya October 29.Gentleman,
sasa mbona unarudia nilichoandika hali yakwamba unajidai wewe ni muerevu?
ndio gentleman,Mimi ni muerevu sababu sitetei mauaji ya October 29.
Sasa weww sababu ya njaa zako una amua kujitoa ufahamu
Na Samia na genge lake wakawaua nadhani hata weww umeyafurahia Yale mauajindio gentleman,
AZAKI na baadhi ya vyama vya saiasa walipanga, waliratibu, walifadhili na kwa ustadi mkubwa walitekeleza uhuni huo ambao nadhani unaufurahi sana, right?