Ripoti ya Jajiji Chande imewavua nguo na kuwaumbua Digital Sadism Content Creators wote

Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
🚮
 
Report imejaa uharo ndio maana hata msomaji mwenyewe kuna mda alikuwa anatetemeka
 
relax gentleman,
hakuna tena nafasi kwa digital sadism content creators kutamalaki nchini.
mmedanganya sana, mmezusha sana aise
 
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kula nyama nyamaza. Usitufanye sisi hatuna akili kama wewe.
 
Babaako anafahamu hili?
wababa wote wa wadau wa JF hawahusiki kabisa na porojo za oct.2025,
sidhani kama ni busara kuwahusisha wababa wa watu kwenye mjadala huu.

kama huna point kaa kimya tu na itapendeza sana gentleman
 
Kula nyama nyamaza. Usitufanye sisi hatuna akili kama wewe.
sasa ndugu mwenye akili,
mbona unaexpose empty head yako kwa mihemko nonsense tu jukwaani?

si uweke hapa mawazo yako mapya, bora zaidi yangu na mbadala dhidi ya hoja iliyoko mezani?

Gentleman,
huna haja ya kumbwelambwela nonsense jukwaani hali ya kua unajua kabisa uko pointless.
 
Relax gentleman, we unatetea ulaji wako huko unakofanyia kazi!
ripoti ya jaji chande ni maoni ya wananchi walioathirika na vurugu zilizopangwa na vibaka wa kisiasa nchini na wanaharakati uchwara ambao kwa namna moja ama nyingine walihusika kupanga na kuchochea hasia hizo, ulaji uko upande gani na watu wameharibiwa mali na kupoteza maisha kwa uzushi na uongo wa hawa sadism content creators?
 
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Macho Mdiiko na mwenzake Carlos the Jackal wanakuja na mikwara mingi kwamba vurugu za October 29 bado hazijaisha, nimewaambia wajipange vizuri zaidi halafu waje wakiwa tayari kwa mapambano.
 
Baada ya jaji Chande kufanya uchunguzi,uliowashilikisha wanasayansi waliopewa maelekezo
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kama wanabisha walete vyombo huru vya kimataifa vikafanye forensic hapo kondo.Majibu ya mwenyekiti wa makaburi na mwanasayasi wa CCM hayawezi kuwa ushahidi.Tunaamini maiti ambazo ndugu zao wanazitafuta zimefukiwa hapo.
 
ripoti ya jaji chande ni maoni ya wananchi walioathirika na vurugu zilizopangwa na vibaka wa kisiasa nchini na wanaharakati uchwara ambao kwa namna moja ama nyingine walihusika kupanga na kuchochea hasia hizo, ulaji uko upande gani na watu wameharibiwa mali na kupoteza maisha kwa uzushi na uongo wa hawa sadism content creators?
kumbuka kuwa hao ni wananchi wenzako pia, wana uchungu na nchi yao. Hata wao wanataka kuona nchi yao ikipata mabadiliko ya kisiasa kupitia chaguzi huru. Wakiona hakuna uchaguzi ulio huru na haki kwa kipindi chote ndio unaona yaliyotokea. Fanyeni chaguzi za haki na wazi gentleman
 
ripoti ya jaji chande ni maoni ya wananchi walioathirika na vurugu zilizopangwa na vibaka wa kisiasa nchini na wanaharakati uchwara ambao kwa namna moja ama nyingine walihusika kupanga na kuchochea hasia hizo, ulaji uko upande gani na watu wameharibiwa mali na kupoteza maisha kwa uzushi na uongo wa hawa sadism content creators?
Kuna wajinga wanategemea ICC ije imshtaki SSH, kana kwamba waliochomewa biashara zao sio watanzania!.

Kana kwamba waliokatwa vidole sio watanzania, vifo siku zote huleta mkosi kwenye nchi lakini sio kila kifo kinahalalisha mkuu wa nchi kushtakiwa kwa mauaji huko The Hague, ujinga mwingi unatusumbua.
 
inafedhehesha sana aise,
yaani mtu anachochea ghasia mwenyewe, aathirika mwenyewe halafu anakuja kulaumu wasiohusika baadae,

but yaliyotokea ni shule na darasa muhimu mno hasa kwa wafuata mkumbo
 
Gentleman, ambae ni faida kwa wazazi wako,
jitafidi basi walau uwe na mawazo mapya bora zaidi na mbdala dhidi ya hoja mahususi mezani kuliko kumbwelambwela jukwaani na kujiexpose jinsi ulivyo empty head

na kama uko pointless kaa kimya tu,
nonsense ni usumbufu kwa wadau wa JF
Yeyote mwenye akili timamu hawezi kutetea mauaji yale.
Watoto waliouliwa kosa lao lipi?
 
Back
Top Bottom