Ripoti ya Jajiji Chande imewavua nguo na kuwaumbua Digital Sadism Content Creators wote

Yeyote mwenye akili timamu hawezi kutetea mauaji yale.
Watoto waliouliwa kosa lao lipi?
Gentleman,
upange ujambazi na fujo kisha uuawe kwenye ujambazi huo halafu utegemee kutetewa? labda na majambazi wenzako
 
Inasikitisha sana . Bado unaendelea kujiaibisha. Akili kisoda.

Maneno yooote hayo. Haujaonyesha report imewaaibisha kivipi?.

Pengne hawa wanaharakat wasingesema idad ya vifo ni 1k+ bas hata tume isingesema hao 500+.

na kwa taarifa yako. Walioandamana na kufa sio Chadema.
Ni watanzania ambao hawana itikad ya vyama. Vijana ambao hawana hata vyama vya siasa. Ila waliona ile ndio njia ya kuikomboa Nchi yao.
acha upotoshaji nonsense gentleman,
hapakua na maamdamano Oct.29.2025 bali kulikua na vurugu, fujo na matukio ya kigaidi yaliyoleta maafa miongoni mwa majambazi na waporaji mali siku hiyo.
 
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa mujibu wa tume ya Jaji Chande waliotekwa ni kwasababu ya mapenzi na madeni na sio sababu za kisiasa kuwa mkweli unaamini kuwa Poleple katekwa kwa hizo sababu?
 
unyapie kwa siri na kumendea mke wa wenyewe halafu wenye mke wakusanukie na kupita na wewe halafu uje kutafuta kiki na public sympathy mitandaoni? ndezi kweli wewe, acheni dhuluma za kijinga kuna watu hawaongeagi kwa maneno bali vitendo ukijichanganya kwenye 18zao.
 
Kwahiyo Polepole Katekwa kwa sababu ya mapenzi?
 
relax gentleman,
hakuna tena nafasi kwa digital sadism content creators kutamalaki nchini.
mmedanganya sana, mmezusha sana aise
Kwa kifupi unawaongelea hawa jamaa wa propaganda wanaoshirikiana na kina Mange, Nuruvazi, Recho Dangwa na wanaharakati wengine wa umri wa Gen Z.

Imeungua yard ya magari mitaa ya Kinondoni wanasema ilikuwa ya Abdul halafu wanampongeza yoyote aliyeiwasha moto, sina uhakika na umiliki wa hiyo yard.
 
Yes,
uko sahihi,

tazama sasa kwamfano hiyo yard,
yaani muhusika anapata hasara, halafu wao wanajaribu kupotosha kanakwamba hakuna hasara na ni jambo jema
 
Ndio sadism wanayojaribu kuipandikiza kwenye mioyo ya vijana wa kitanzania, hawajui madhara ya kutengeneza chuki ni lazima yajionyeshe kivitendo kama sio leo basi kesho.

Yaliyotokea October 29 mwaka jana ni matunda ya hao content creators waliojaa instagram.

Siku zote fitina lazima iwe na majibu malipo ya dhambi ni mauti.
 
Wale watoto waliouwawa majumbani...umewaweka kwenye kundi gani?
maskini ya Mungu,
magaidi waliojipanga kwa silaha za jadi,
katika harakati zao za kijambazi za kupora makazi ya wananchi wakaangamiza wote waliowakuta katika makazi walimokua wakiporo.

hii ikimanisha fujo, vurugu na vita havina macho.
R.I.P watoto wasio na hatia kuangamizwa na magaidi Oct.29.2025
 
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
Screenshot_20260427-082911~2.png
 
Porojo zote, usushi wote, stori nonsense na uongo wote wa hata baadhi ya wadau wa JF kuhusu Oct.29.2025 umefutwa na kuzikwa rasmi na ripoti maalumu ya tume ya jaji chande, iliyojaa ukweli na uhakika wa kilichotokea Oct.29.2025.

Mathalani
Kuna yule mbibi mTanzania ambae pia ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaeishi Nairobi na ambae mara nyingi huwafadhili viongozi wa Chadema,

Lakini pia kuna yule muandishi uchwara wa cnn mkalenjini lary madow na mipichapicha yake fake, nae ameumbuliwa vizuri sana na wataalamu wa kimataifa wa picha ambao tume ya jaji chande waliwatumia kuthibitisha picha hizo.

Hongera Jaji Chande kwa kutufunulia maadui wa Taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
acha upotoshaji nonsense gentleman,
hapakua na maamdamano Oct.29.2025 bali kulikua na vurugu, fujo na matukio ya kigaidi yaliyoleta maafa miongoni mwa majambazi na waporaji mali siku hiyo.

Unawajua Magaidi wewe?.😎😎😎

Yaaan bro. Kama ukiwa na miaka juu ya 20 na ukawa na akili hizi tunazoziona. Utateseka sana.
 
Siku zote huwa nasisitiza kuwa hakuna chawa mwenye akili and you've just proved my point, for your information si kila anayepinga uharamia, ubagazaji, ubakaji wa demokrasia, ufiraji unaofanywa na polisi na uuaji kwamba yuko affiliated na chama chochote cha siasa ila kila anayekuwa kwenye njia sahihi ataungwa mkono tu regardless yuko kwenye mrengo upi.
All in all let me give you the test of your own medicine.
👇🏾
IMG_20260427_161817.jpg
IMG_20260427_161846.jpg
 
Unawajua Magaidi wewe?.😎😎😎

Yaaan bro. Kama ukiwa na miaka juu ya 20 na ukawa na akili hizi tunazoziona. Utateseka sana.
sasa gentleman,
ikiwa huna point si ukae kimya tu kuliko kumbwelambela jukwaani na ramli nonsense kama hizo?
waliopanga ghasia za Oct.29.2025 na kusababisha uharibifu na maafa walikua magaidi na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi, unachobisha nini?

huenda nawe ulikua miongoni mwa wale malofa waliobebwa ufala wa kifikra na kufuata mkumbo kama manyumbu.

usirudie hiyo nonsense tena,
okey?
 
Back
Top Bottom