Ripoti ya Jajiji Chande imewavua nguo na kuwaumbua Digital Sadism Content Creators wote

Kufurahia maafa ya mtu huo sio nzuri eti kiss ushabiki wa chama Pascal Mayalla alikushauri usipende kuendekeza ushabiki kwenye mahala ambapo hapa hitaji ushabiki
Gentleman,
huna haja ya kuhamisha mjadala,
kudeka au kumsumbua mwalimu paskali, wala kutafuta huruma yake kwa hoja iliyokulemea baada ya kufikia ukomo wako wa mawazo mapya au fikira mbadala bora zaidi ya hoja iliyoko mezani.

yakikushinda unakaa kimya tu
 
Kwanza hujajibu hoja Polepole Katekwa kwasababu ya kimapenzi au madeni?
 
Walienda na matokeo yao uwanjani, wamekula Chuma wamebaki kung'oa viti aise.
 
Kweli nimeaamini ili uwe ccm unatakiwa usiwe na akili
sasa muerevu mbona unaonekana uko empty head tu?
huna wazo jipya wala fikra mbadala na unambwelmbwela kwa mihemko nonsense tu jukaani?
 
sasa muerevu mbona unaonekana uko empty head tu?
huna wazo jipya wala fikra mbadala na unambwelmbwela kwa mihemko nonsense tu jukaani?
Kama mtu mwenye fikra mbadala ndo weww Bora nisiwe na hizo fikra mbadala.
 
Gentleman,
sasa mbona unarudia nilichoandika hali yakwamba unajidai wewe ni muerevu?
Mimi ni muerevu sababu sitetei mauaji ya October 29.
Sasa weww sababu ya njaa zako una amua kujitoa ufahamu
 
Mimi ni muerevu sababu sitetei mauaji ya October 29.
Sasa weww sababu ya njaa zako una amua kujitoa ufahamu
ndio gentleman,
AZAKI na baadhi ya vyama vya saiasa walipanga, waliratibu, walifadhili na kwa ustadi mkubwa walitekeleza uhuni huo ambao nadhani unaufurahi sana, right?
 
ndio gentleman,
AZAKI na baadhi ya vyama vya saiasa walipanga, waliratibu, walifadhili na kwa ustadi mkubwa walitekeleza uhuni huo ambao nadhani unaufurahi sana, right?
Na Samia na genge lake wakawaua nadhani hata weww umeyafurahia Yale mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…