Mkandara
Nitawashukuru sana wakazi wa Houston ambao walitufahamisha mapema kuhusu Richmond na ofisi zake lakini ndio hivyo tena...sikio la kufa halisikii dawa.
PM,
Hili limeshaonekana mapema hapa na kwa wengine sasa hivi ni tik tak tik tak tik tak..... Maneno mengi makali na selective reporting ... watu wanapoa na kisha zinaundwa tume za kuchunguza kamati.... Mheshimiwa sana anaanza kusafiri na anaweza kumpa nafasi Mwakyembe kama bosi mpya wa Tanesco or samthing na life inaendelea!..... tik tak tik tak......
Nilisema kwenye thread zangu mbili..moja ile ya Kikwete kukataa Balali asiletwe,na ile ya serikali kali ishinikizwe!Niliweka wazi kabisa kuwa serikali nzima ni ya kupigwa chini!Wako vijana kizazi kipya,wasomi,ngangari wenye uchungu na maslahi ya nchi yao!WE HAVE TO CHANGE AND START ALL OVER AGAIN..NA KAMA KIKWETE NI MJANJA,THEN ATASIMAMA UPANDE WA WANANCHI NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAPINDUZI HAYA!
"Saa ya Ukombozi ni Sasa"
JK tumia mwanya huu kusafisha utawala wako. Kama ulikuwa unashindwa kufanya hivyo kwa sababu za kulipa fadhila, waambie wafadhili wako kuwa:
- Wewe ndiye mwenye dhamana ya wananchi kama kiongozi mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.
[*]Uliwatunza lakini wamekuanguasha.- Uvundo wao umekithiri kiasi kuwa hauwezi kuvumiliwa
- Unawatakia kila la kheri kwenye jitihada zao za kisiasa.
Tulichukua kila tahadhari tusibanwe na mgongano wowote wa kimaslahi kiasi kwamba mjumbe mwenzetu, Mhe. Eng. Stella Manyanya, mwajiriwa wa muda mrefu wa TANESCO ambaye alikuwa kwenye likizo isiyo na malipo, akaamua kukatisha ajira yake kwa kujiuzuru.
Aidha, tunakuhakikishia Mheshimiwa Spika kuwa hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie Bunge hili tukufu. Mimi na wajumbe wenzangu wa Kamati Teule tuko tayari kuwajibika kisiasa.
AMINA! MWAKYEMBE FOR PRESIDENT
the matter of fact as of dataz hata rais mwenyewe humtumia sana kwa ushauri wa kisheria kwenye shughuli za taifa kwa hiyo kwetu CCM tulijua na tulisema mapema kuwa kwenye rais kumchagua Mwakyembe, kuna moto unakuja, kwa hiyo tunampa tena hongera Mwakyembe kwa kazi safi,