Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Mkandara

Nitawashukuru sana wakazi wa Houston ambao walitufahamisha mapema kuhusu Richmond na ofisi zake lakini ndio hivyo tena...sikio la kufa halisikii dawa.

Wana JF ambao mko huko Houston nafikiria ingekuwa jema mkiwapa local media hiyo scandal ya Richmond...kumbuka ile scandal ya Bulayankulu...ni local media ya Canada ilitoa ikafanya hata SUTTON ika filisika....
 
PM,

Hili limeshaonekana mapema hapa na kwa wengine sasa hivi ni tik tak tik tak tik tak..... Maneno mengi makali na selective reporting ... watu wanapoa na kisha zinaundwa tume za kuchunguza kamati.... Mheshimiwa sana anaanza kusafiri na anaweza kumpa nafasi Mwakyembe kama bosi mpya wa Tanesco or samthing na life inaendelea!..... tik tak tik tak......

MwK:
Mimi ningeshukuru sana kama Kikwete angempa miezi sita tu Dk. Mwakyembe na wasaidizi ambao yeye Mwakyembe angewateua, ili afanye kazi ya kuifumua TAKUKURU na uchafu wake wote; halafu na kuisuka upya kabisa.

Baada ya kuifanya kazi hiyo, apewe kazi nyingine yoyote inayomfaa na kumstahili.
 
Tulichukua kila tahadhari tusibanwe na mgongano wowote wa kimaslahi kiasi kwamba mjumbe mwenzetu, Mhe. Eng. Stella Manyanya, mwajiriwa wa muda mrefu wa TANESCO ambaye alikuwa kwenye likizo isiyo na malipo, akaamua kukatisha ajira yake kwa kujiuzuru.

Aidha, tunakuhakikishia Mheshimiwa Spika kuwa hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie Bunge hili tukufu. Mimi na wajumbe wenzangu wa Kamati Teule tuko tayari kuwajibika kisiasa.


AMINA! MWAKYEMBE FOR PRESIDENT
 
"Saa ya Ukombozi ni Sasa"

JK tumia mwanya huu kusafisha utawala wako. Kama ulikuwa unashindwa kufanya hivyo kwa sababu za kulipa fadhila, waambie wafadhili wako kuwa:
  1. Wewe ndiye mwenye dhamana ya wananchi kama kiongozi mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.
  2. Uliwatunza lakini wamekuanguasha.
  3. Uvundo wao umekithiri kiasi kuwa hauwezi kuvumiliwa
  4. Unawatakia kila la kheri kwenye jitihada zao za kisiasa.
 
Nilisema kwenye thread zangu mbili..moja ile ya Kikwete kukataa Balali asiletwe,na ile ya serikali kali ishinikizwe!Niliweka wazi kabisa kuwa serikali nzima ni ya kupigwa chini!Wako vijana kizazi kipya,wasomi,ngangari wenye uchungu na maslahi ya nchi yao!WE HAVE TO CHANGE AND START ALL OVER AGAIN..NA KAMA KIKWETE NI MJANJA,THEN ATASIMAMA UPANDE WA WANANCHI NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAPINDUZI HAYA!
 
Aisee najisikia kuua mtu kutokana na hii ripoti! maana hawa jamaa wakiongozwa na huyu fisadi mkubwa,Lowassa wametuua kabisa,ndio maana hata mwalimu Nyerere alikuwa hampendi kabisa huyu mwizi,alijua undani wake. eeh mungu tusaidie uvumilivu usituishie tukaamua kujikomboa wenyewe! nasubiri kwa hamu hao jamaa huko Dodoma watasemaje, na huyu fisadi Lowassa asipojiuzulu au kung'olewa, sijui watatuambia nini wananji!!
 
Nilisema kwenye thread zangu mbili..moja ile ya Kikwete kukataa Balali asiletwe,na ile ya serikali kali ishinikizwe!Niliweka wazi kabisa kuwa serikali nzima ni ya kupigwa chini!Wako vijana kizazi kipya,wasomi,ngangari wenye uchungu na maslahi ya nchi yao!WE HAVE TO CHANGE AND START ALL OVER AGAIN..NA KAMA KIKWETE NI MJANJA,THEN ATASIMAMA UPANDE WA WANANCHI NA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAPINDUZI HAYA!

Sidahni hilo jambo ni rahisi....uelewe kuwa ni kuanzia ngazi ya chini mapaka juu ni ulaji mtupu hebu jaribu asubuhi uende kwenye ofisi yeyote ile ya serikali na una shida kama unaweza kumaliziwa shida yako bila kupenyeza...wasomi?angalia TRA wako wangapi pale wasomi?na ni mahala mojawapo ambako kumechafuka kwa rushwa.

Unless tufanye kama China fisadi akatwe shingo...which is very brutal...but i can't see any solution here.
 
Unfortunately, yanayotokea sasa hivi huko Bungeni hayanishangazi kabisa kwa vile nilikuwa nayajua tangu mwaka juzi. Nilikuwa nakosa specifics tu.

L.O. Washa is a bogus material; Nyerere said then, and I believed him. Nyerere might have been wrong on many issues but not on this one about L. O. Washa.
 
Quote:- Mwakyembe



tumeshuhudia pilikapilika za usiku na mchana za kujipanga na kuwashawishi baadhi ya Mawaziri na Wabunge kuikana taarifa hii na mapendekezo yake kiasi cha wengine wetu kujiuliza: kulikoni mtu asiye na hatia kuweweseka?



Mwakyembe For President!
 
"Saa ya Ukombozi ni Sasa"

JK tumia mwanya huu kusafisha utawala wako. Kama ulikuwa unashindwa kufanya hivyo kwa sababu za kulipa fadhila, waambie wafadhili wako kuwa:
  1. Wewe ndiye mwenye dhamana ya wananchi kama kiongozi mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.

    [*]Uliwatunza lakini wamekuanguasha.
  2. Uvundo wao umekithiri kiasi kuwa hauwezi kuvumiliwa
  3. Unawatakia kila la kheri kwenye jitihada zao za kisiasa.

Nilianza kudhani Mhe JK ni laini...kumbe Mhe anafikiria mbali sana.

Dhana yangu ni kwamba PM alishaanza kujipanga kuwa next president na alikuwa na mtandao ndani ya CCM na wao ndo walimlazimisha Jk ampe u PM...sasa JK ameona ni bora amchafue kabisa PM na kubaki bila political future...welldone JK now naanza kidogo kukuaminia nakuunga mkono kwa 1%.
 
Tulichukua kila tahadhari tusibanwe na mgongano wowote wa kimaslahi kiasi kwamba mjumbe mwenzetu, Mhe. Eng. Stella Manyanya, mwajiriwa wa muda mrefu wa TANESCO ambaye alikuwa kwenye likizo isiyo na malipo, akaamua kukatisha ajira yake kwa kujiuzuru.

Aidha, tunakuhakikishia Mheshimiwa Spika kuwa hatukupokea senti tano ya mtu wala baiskeli yake. Mwenye ushahidi tofauti, basi alithibitishie Bunge hili tukufu. Mimi na wajumbe wenzangu wa Kamati Teule tuko tayari kuwajibika kisiasa.


AMINA! MWAKYEMBE FOR PRESIDENT

Mwakyembe kafanya kazi nzuri sana kuhusu hili sakata la Richmond na kweli amenitia moyo sana kuhusu kujenga transparency kwenye system yetu na kuimarisha mtengano wa mihimiri mitatu ya utawala. Hata hivyo, yeye binafsi hajaniridhiswa kuwa ni presidential material kwa vile ana garbage nyingine nyingi za kusafisha tangu alipokuwa kwenye bunge la Afrika Mashariki.
 
Bado kabisa hatujafikia robo ya Ufisadi ulokwisha tokea hasa nikikumbuka Mada zilizokwisha kuwa raised hapa JF...kwa uchache tu NBC, Air Tanzania, TTCL, IPTL, Bandari, TRC, Fire, TRA, Tanganyika Packers, UDA n.k - Kwa uchache..
Kote watu wamekula kishenzi....
Ama kweli kama madai ya mchungaji Munishi - Misingi aliyojenga Nyerere ibomolewe!...
Na imebomolewa kweli.....
 
I thought we should say a few words of thanks to our hero, Dr Harrison Mwakyembe.

Fellow Tanzanians, it is beyond reasonable doubt that he is a rare sort of politician in modern Tanzania.I dare say this guy has balls of steel.I can't be sure if he is for real, but I'm satisfied with his job so far - it's never been done before in the history of country[kindly remind me if i've forgotten].Of course we need to acknowledge the contribution of other commitee members who worked in his team and those who we ready to put their lives on the line as witnesses.

How many of our toothless MPs can brave threats and the financial prowess of big shots like Edward Lowassa and Rostam Aziz to come up with such a scientific report?

PCCB is as corrupt as the corrupt politicians it is pretending to be investigating.In fact Hosea [the head of PCCB] and company have promoted more corrupt practices than they are mandated to stop.

Imagine, Lowassa has been telling other people to avoid corruption while he is the master of them all.!!?Seriously, he [Lowassa and other official thieves] will never be untouchable forever.

Now the ball is on the court of the man holding the highest office in the land -the President.He needs to maximise on this opportunity, to put the kero of wananchi out of his way once and for all - and set a precedence.

However, more work needs to be done to root out corrupt government officials.But,again let's not forget to protect our heroes, we need them for the sustainability of our nation.
 

Attachments

  • mwakyembe.jpg
    mwakyembe.jpg
    27.2 KB · Views: 42
""Nakumbuka huu wimbo"

"""NAKILA MTU ATUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE....NAWE LOWASSA UTAUCHUKUA MZIGO WAKO MWENYEWE"""
 
Baada ya hii ripoti ambayo kwa kweli ni kazi nzuri ya kizalendo yenye nia njema kabisa, Rais Kikwete anategemewa kuonyesha na kudhibitisha kwamba ana nia ya dhati ya kupigana na ufisadi.Sasa ni mda mzuri wa kumjua vizuri kiongozi wetu wa nchi; ni kweli mzalendo kama anavyojidai? Zipo tuhumu nyingi sana kwamba rais in "laini' sana..nadhani hii scandal ndio itatupa ukweli kama tuna Rais nyanya au mpiganaji. nilipokuwa O-level tulikuwa na mwalimu wetu wa nidhamu ambaye alikuwa naweza kukuadhibu addhabu kali huku akichekelea..yaani fimbo sita matakoni(zilijulikana kama "super six") huku akiwa anakuchekelea kana kwamba mu marafiki wakubwa...Je, Rais wetu mwenye tabasamu murua always, anaweza kuwapa kibano jamaa hawa huku akitabasamu?
JK TUTOE KIMASOMSO...wamwage mafisadi wote waliotajwa....pia muondoe na Andrew Chenge, huyu jamaa ni jeuri mpindisha sheria na corrupt..kajichokea..in short huyu mzee huwa ana jeuri tangu alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali.

Baada ya sakata hili nita review imani yangu na JK..maana sijui ni kwa nini 1995 na 2005 nilikuwa "die hard' supporter wake! Akifanya vituzi vinavyotarajiwa
nitafarijika sana.
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MPE HEKIMA RAIS WETU AFANYE LIPASALO. Amen
 
the matter of fact as of dataz hata rais mwenyewe humtumia sana kwa ushauri wa kisheria kwenye shughuli za taifa kwa hiyo kwetu CCM tulijua na tulisema mapema kuwa kwenye rais kumchagua Mwakyembe, kuna moto unakuja, kwa hiyo tunampa tena hongera Mwakyembe kwa kazi safi,


Dr. Mwakyembe for PM
 
Mnaomlaumu Mwakyembe kuwa hakudeliver huko Kyela na East Africa...Binafsi nina mtazamo tofauti. kama mtindo wetu humu JF kurekebisha watu, that means wabunge wabadilike. Wabunge ni wanaadam kama wanadam wengine, hawawezi kuwa perfect all the time. Kwa hili Mwakyembe na Timu yake wamejitahidi, ni ujasiri wa Hali ya Juu.

Hii ripoti sio sehem ya kupendekezwa kuwa Wazir, bali ni vitu vinavyomjengea Profile nzuri ktk siasa. Anaweza pia kupewa Tume ingine kuiongoza.its a Team, sio Mwakyembe pekee.
 
Tangu Tanganyika ipate uhuru. kwa mara ya kwanza naona mwenge wa uhuru umeanza kuwamulika wadhalimu na mafisadi kwa ukaribu zaidi. na sio kule mlimani kilimanjaro ulopowekwa na kepten Nyirenda kwa ajili ya kumulika thaluji na kuiyeyusha
 
Mwakyembe kanifurahisha sana kwa kujenga ukuta imara kuonyesha mipaka baina ya serikali na kuu na legislature. Kamkoma nyani gladi kweli kweli. Nadhani ES, Mkandara, MKJJ na ma-alwatani wa wote JF watanisaidia kama nimekosea kuhusu hiyo Nyani Giladi
 
Nawapongeza kamati nzima kwa kazi nzuri mliyofanya,angalieni hizo nyama choma mtakazo pewa hapo mnadani na marafiki zenu au misosi mtakayokula kwenye tafrija zitakazoandaliwa msije mkapigwa ddt mkafa kabla hamjamaliza kazi.Sisi huku Tunduru bado tunawahitaji.
 
Back
Top Bottom