Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Kama thats the case then sawa...Kwani nilidhani ni mambo ya kamati nyingine.
Ila kama anataka isomwe upya..Then isije ikawa ni mpya ya changa la macho.
Watueleze ni sababu gani za kurudia upya na kwanini.
Kwasababu unaweza kufikiri labda haki ndio itatendeka.
cha kujiuliza ni kwamba...Inakuwaje kuwepo na ripoti zote hizi ambazo kisheria zinatosha kabisa kuwafungulia mashtaka watuhumiwa lakini watu ni mwakyembe tu?
Kwani hata Mwakyembe mwenyewe si aliandika ripoti base on the government records?
hata ripoti zote zimezingatia rekodi za serikalini na ripoti za ukaguzi!
Kwa hiyo bado hamja niconvince!
 
Sababu nyingine kubwa inayofanya tukubaliane na kauli ya Dk. Mwakyembe ya kutaka Spika avunje kanuni na kurejesha suala la Richmond bungeni ni kuwa watayaanika hata yale ambayo walibaki nayo moyoni kwa ajili ya kuinusuru serikali.

Mkuu wangu maneno uliyoyaleta mwenyewe yanajisema wazi kuwa Mwakyembe hana kosa kabisa na haya mashambulizi yenu, ili isomwe ripoti yote inabidi Spika avunje kanuni, kwa sababu kuna siri za serikali ambazo Mwakyembe asingweza kuzigusa bila ya kanuni yaani sheria kuvunjwa, sasa hii debate exactly ni ya nini hasa?
 
We utatumbiaje ulificha vitu kulinda heshima ya Serikali?

Kipi muhimu, kupambana na uhujumu wa mali ya Umma au kutunza heshima - heshima ambayo kwanza haipo. Kuna heshima katika hii administration ya Kikwete?
 
We utatumbiaje ulificha vitu kulinda heshima ya Serikali?

Kipi muhimu, kupambana na uhujumu wa mali ya Umma au kutunza heshima - heshima ambayo kwanza haipo. Kuna heshima katika hii administration ya Kikwete?

Kuhani, mpigie simu kesho na utake maelezo ya kauli yake hiyo, ufafanuzi au defense. Don't just be harsh.
 
Tunachoweza kufanya hapa...Ni ku double check ili kuona kama ripoti ya MWAKYENBE inaendana na vyanzo vya uchunguzi huo..Kama vile govt. records na ripoti zote za ukaguzi.
Ni lazima alikuwa na primary source of information!
Information ambazo hata sisi tukipewa hapa jf..Basi tunaweza kujuwa nani ni nani,aliplay role gani,kwa madhumuni gani et etc.
 
Ama Watu Hamjui Ripoti Zinavyoandaliwa?
Kauli Kwamba Hakusema Yote..haina Maana Kwamba Ripoti Haijayaanika Yote Wazi.
Na Ndio Maana Badala Ya Kuanza Kumpaka..tusubiri Yatakayojiri Huko Bungeni.
 
`Don`t use confidentiality to silence MPs`

2008-07-02 10:25:58
By Lydia Shekighenda


Attempts to stop MPs from presenting documents related to dubious and corrupt deals under the guise of confidentiality amount to abuse of power which violate the country`s laws. In a cross-section interview, Dr. Sengondo Mvungi, lecturer with the University of Dar es Salaam (Faculty of Law), said government documents linking senior public officials with corruption and embezzlement of state resources should be unveiled for public interest.
The don criticised the current laws that prohibited the exposure of state documents containing such information as outdated.

``Elements of secrecy as provided in the law largely contribute to the absence of transparency and openness in the operations of the government. Such statutes should be reviewed,`` he said. Mvungi was commenting on recent statements made by the Minister of State in the Prime Minister�s Office (Parliament Affairs), Philip Marmo in the National Assembly that it was a criminal offence for a person to possess confidential government documents. Marmo questioned how the Karatu legislator, Dr. Wilbrod Slaa (Chadema), had obtained confidential government documents and used them as evidence to implicate government officials in corruption scandals during House debates.

However, Mvungi said there must be some limitations and specifications on prohibiting the possession of top secret papers. He called on the government to avoid generalisations. ``A government document may be treated as secret if and only if its disclosure may threaten security and peace of the country, but documents on corrupt transactions cannot be described as such,`` he said.

Mvungi, who is also a senior official with the opposition NCCR-Mageuzi, said legislators had legal rights and immunities that allowed them to access the documents for official use. ``MPs have the right to claim such documents they fail to access them because of excessive bureaucracy in the government circles. We need strong and aggressive legislators to challenge these systems,`` he said. Professor Mwesiga Baregu, also of the University of Dar es Salaam, decried the said confidentiality as being contrary to principles of good governance.

``Talking of good governance implies removing unnecessary secrecy in the daily operations of the government. Confidential documents related to massive corruption should be assessed to weigh their importance in the context of public interest,`` he said. The government, he said, should not blindly treat documents as confidential but go beyond that and evaluate significance of issues being raised from the documents. Prof Baregu said confidentiality was an outdated system of running the government, except on issues which might endanger the security and peace of the country.

``Corruption is not only about people stealing money. It also involves the whole system of handling government issues. A good example is the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), which cleansed the dubious Richmond contract, but later on, the Mwakyembe Select Committee unveiled corruption motives in the tender awarding process,`` he clarified.
Clement Mashamba, a lawyer and Executive Director of National Organisation for Legal Assistance (NOLA), described the attempts to silence legislators as abuse of law and an infringement of freedom of expression. ``Yes. It is criminal offence to possess certain confidential government documents, but these documents are usually classified as confidential for the sake of public interest,`` said Mashamba.

He said discretionary powers of the relevant ministers were grossly abused so as to protect interests of a few corrupt people within the state system at the expense of millions of Tanzanians. ``A report on Bank of Tanzania board of directors meeting cannot be classified as confidential because BoT is a public institution,`` he said. Another lawyer who opted for anonymity, said the possession of the ``so-called confidential government documents`` must be categorically mentioned as a criminal offence; otherwise a mere declaration by the minister that certain documents are confidential was irrelevant
 
Off course, angeomba sheria iwekwe pembeni kwanza ili aweze kusema, ni bunge peke yake ndilo linaweza kubadili sheria au kuiweka pembeni lakini Mwakyembe ahwezi on his own capacity kama mbunge aamue kuiweka sherria pembeni.



Wabunge hawahoji Meremeta ila wana-generalize kuwa ilikuwa ni wizi, wangekuwa wanahoji basi wangewataja wahusika wa Meremeta kwani Zitto hawajui wanaohusika na huo wizi? Hata mimi ninawajua lakini inaeleweka wazi kuwa Waziri Mkuu amesema ni mali ya jeshi, basi kisheria hakuna majadiliano tena.

Mwakyembe amefanya anayoweza kama mbunge na mwenyekiti wa kamati, kule ndani ya bunge hakuna mbunge hata mmoja wa ccm wala upinzani aliyedai hayo kwani hawakuiona kuwa ripoti ina sehemu imezibwa?

Bunge liwe na haki ya kusikia uozo wa ndani ya serikali lakini Wananchi tunaowachagua wabunge hao na Rais hatuna haki ya kusikia uozo huo. Kwani hayo mabilioni yaliyofisadiwa ni ya Wabunge au ya Wananchi?

Zitto hakuwemo (hajawahi kuwemo) serikalini wakati mkataba kati ya Meremeta na jeshi/sirikali unasainiwa hivyo kuna uwezekano mkubwa naye hajui lolote ndiyo maana ana hoji kulikoni?

Kama unawajua hao wezi wa meremeta kwanini usiwaanike hapa hadharani, hapa ni JF bwana where we dare to talk openly...mwaga viti tuvijadili hakuna siri mpaka tuwashinde mafisadi wote bila kujali utajiri wao au nyadhifa zao.

Hatukatai kama Mwakyembe amefanya makubwa, lakini yeye kuamua nini kiandikwe au kisiandikwe pamoja na kutopewa mamlaka ya maamuzi hayo ni makosa makubwa vinginevyo angejiuzulu kwenye kamati ile na kutwambia Watanzania kwamba ameyaona mengine ambayo yeye anaona hayastahili kuandikwa katika ripoti ile na hana mamlaka ya kuamua nini kinastahili kuwemo au kutukuwemo kwenye ripoti ile badala ya kujipa madaraka ambayo hakupewa
 
The don criticised the current laws that prohibited the exposure of state documents containing such information as outdated.

Mkuu Bubu soma hapo juu kwanza uuone ukweli wetu ulipo, na Haya ndiyo tunayoyasema, kuwa Mwakyembe hakukosea kwa kutii sheria za serikali yetu ya kutotoa siri za serikali kwa sababu zipo na anazijua sana kwa sababu yeye ni mwanasheria aliyebobea na ndio maana hata bunge likampa ile kamati.
 
``MPs have the right to claim such documents they fail to access them because of excessive bureaucracy in the government circles. We need strong and aggressive legislators to challenge these systems,``

Mkuu Wangu unaona wananchi wenye akili nyingi na wanaojua kulichotokea wanavyokata ishu, wanataka sheria zibadilishwe, lakini hawamlaumu mbunge yoyote yule, wanasema sheria zibadilishwe ili wabunge wawe na access kwa habari zote, lakini so far wanazuiwa na sheria iliyomzuia pia Mwakyembe.
 
Hapa juu unaona wananchi vichwa hakuna anayemlaumu Mwakyembe, anayelaumiwa ni serikali.

Sisi wengine siyo vichwa lakini tunafahamu fika kwamba aliyepewa jukumu la kuchunguza mkataba wa Richmond ni Mwakyembe na kamati yake na siyo serikali. Aliyesimama ndani ya bunge na kutamka kwamba atayaanika mengine ambayo hawakuyaandika katika ripoti ile ili 'kulinda heshima ya serikali' ni Mwakyembe na si serikali hivyo sisi ambao siyo vichwa tunaona anayestahili kukosolewa hapa kwa kuandika ripoti nusu nusu ni Mwakyembe na kamati yake na si serikali
 
halow halow, halafu ufisadi uishe "nji" hii na katiba ibadilishwe! sio kwa mtaji huu.

baeleze baeleze bajuwe kuwa ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
Mkuu Bubu soma hapo juu kwanza uuone ukweli wetu ulipo, na Haya ndiyo tunayoyasema, kuwa Mwakyembe hakukosea kwa kutii sheria za serikali yetu ya kutotoa siri za serikali kwa sababu zipo na anazijua sana kwa sababu yeye ni mwanasheria aliyebobea na ndio maana hata bunge likampa ile kamati.

Mkuu, Lakini Mwakyembe huyo huyo mtiifu alikuwa tayari kuyaanika yale ambayo 'sheria ilikuwa haimruhusu' kuyaanika hadharani!!! Huoni undumila kuwili uliokuwepo hapa!!!? Sheria hizo ambazo Mwakyembe alikuwa anazitii sheria za serikali 110% zilifutwa lini hadi atishie kuyaanika hadharani yale yale ambayo hayakustahili kuanikwa hadharani?
 
Quote:- Bubu

Sisi wengine siyo vichwa lakini tunafahamu fika kwamba aliyepewa jukumu la kuchunguza mkataba wa Richmond ni Mwakyembe na kamati yake na siyo serikali. Aliyesimama ndani ya bunge na kutamka kwamba atayaanika mengine ambayo hawakuyaandika katika ripoti ile ili 'kulinda heshima ya serikali' ni Mwakyembe na si serikali hivyo sisi ambao siyo vichwa tunaona anayestahili kukosolewa hapa kwa kuandika ripoti nusu nusu ni Mwakyembe na kamati yake na si serikali

Quote;- Tanzania Daima

Sababu nyingine kubwa inayofanya tukubaliane na kauli ya Dk. Mwakyembe ya kutaka Spika avunje kanuni na kurejesha suala la Richmond bungeni

Mkuu wangu hizi zote ni kauli zako mwenyewe, au ulizozileta mwenyewe si unaona zinavyogongana, juu unasema ni makosa ya Mwakyembe na chini inasema Mwakyembe inabidi aombe ruhusa kwa Spika avunje kanuni, sasa hapa sielewi lawama zako wka Mwakyembe zinatoka wapi hasa?
 
Field Marshll Es, Unajua tatizo la sisi Wabongo huwa tunasoma kitu kihsa tunachagua vipande tunavyovitaka tukiacha hoja nzito iliyotangulia usemi huo..
Kweli mwakyembe kasema kuna mambo hakuyaweka ktk report na kasema wazi Bunge liondoe sheria inayomzuia... Mathlan, nitarudia tena kuwafahamisha sheria ambazo zinaweza kufanana na kisa hiki..
Mama wa mtuhumiwa haruhusiwi kuwa shahidi ila anaweza kutoa maelezo yake Polisi...lakini jinsi kesi inavyoendelea na pengine kuitwa yeye muongo anaweza kuoema wazi kuwa ondoeni sheria ya kunizuia mimi nitoe ushihidi, nitayasema yote ambayo sikuyasema ktk statement yangu..
Hii haina maana kuwa kaficha vitu isipokuwa ni baadhi ya hoja zinazodadisi uhalali wa kauli yake sii lazima iwe majina ya watu bali kuiweka kauli yake ktk nafasi nzuri zaidi kama ushahidi wa wale waliohusika..
leo hii ndani ya Bunge na hayop masifa wanayopewa kina Lowassa na Rostam inaonekana wazi kuwa Mwakyembe kawaonea na inaamini ka hivyo, wakati report yenyewe imesema wazi kuwa kazi iliyobaki ni ya Bunge kuwaita wahusika na kuwahoji zaidi kuhsusiana na sakata hilo. Bunge limeshindwa kufanya hayo baada ya viongozi hao kujiuzuru, Mwakyembe hakupewa muda wala nafasi ya kujenga hoja zake kisheria.
Mkono wa Lowassa na Rostam ktk sakata hili ulitakiwa uthibitisho zaidi na Mwakyembe angeweza kabisa kusema mengi kama angepewa nafasi kisheria ya mumwita Rostam, Karamagi, Lowassa, Mwasheria Mkuu ambao wote walikuwa wajeuri pamoja na kwamba likuwa na FUNUNU zinazohusiana na wao.. FUNUNU kama hizi hawezi kuziweka ktk report ataonekana mjinga hivyo zilityakiwa kudhihirishwa Bungeni ambako jamaa walichomoa!..
Wakuu kama kweli mnaipenda nchi yenu ni wakati wa kusisitiza yale aliyo yaomba..Bunge lifungue hoja ya Richmond na watuhumiwa wote waitwe kisha hapo tutafahamu nani mkweli!..
Mama samahani lakini pamoja na kwamba unaonesha uchungu kwa nchi yetu lakini kidogo inanipa shida sana.. Uchungu wako ni ktk kuwapamba Mafisadi na kumfanya Mwakyembe mnafiki, mwongo hivyo report yake yote haina Ukweli...

To me it sound like His testimony has come under attack -He lied under oath, he should not be trusted..So the the convictions he helped must be overturned!..

Only Fisadis would love this!....
 
This thread doesn't reflect intellectuals we really need to push our country forward! It's making me sick! We could have used this time in a better thread (or even work if you have nothing constructive to discuss) than discussing the "has been issue" accompanied with a lot of personal attacks. Grow up guys, the country needs you more than you think. Something is fishy about some of you guys, you ain't real....but just do JF a favour by not turning it into a nonsense-after/don't have job chat room. It's my off day, I would better go out for some few pints! Damn, you shat on my day! Sorry for those offended.
 
Mkuu, Lakini Mwakyembe huyo huyo mtiifu alikuwa tayari kuyaanika yale ambayo 'sheria ilikuwa haimruhusu' kuyaanika hadharani!!!

Hapana alisema atamuomba Spika ili kusudi avunje kanuni ndio aweze kusoma ripoti yote, angeyaanika iwapo Spika angevunja kanuni na sio anything else!

Huoni undumila kuwili uliokuwepo hapa!!!? Sheria hizi ambazo Mwakyembe alikuwa anazitii sheria za serikali 110% zilifutwa lini hadi atishie kuyaanika hadharani yale yale ambayo hayakustahili kuanikwa hadharani?

Huu hapa sio ukweli mkuu kabisaa!
 
Kuhani, mpigie simu kesho na utake maelezo ya kauli yake hiyo, ufafanuzi au defense. Don't just be harsh.

Basi siku nyingine msianze kumtolea maelezo, ufafanuzi au defence halafu mnamtosa mwenzenu maji ya maswali yakiwafikia shingoni.

Tukianza ku question vitu tu, semeni, "namba hiiiyoo....mpigieni simu."

Halafu mimi Kalagabaho sina access ya kumfikia Mwakyembe kwenye simu mimi. E-mail zao za Bungeni hawajibu unafikiri ndio wataweza kuongea na mimi kwenye simu? Na mlima kunde wa Gezaulole nae ampigie simu?

Hatutaki maelezo ya kwenye simu, tunataka wawe competent and responsible wanapopewa kazi za Tume na za Wananchi na wanapoongea Bungeni.

Sio kuchemka chemka eti nilitunza heshima ya Serikali, kama ripoti yangu haitoshi na mnaanza kuwatetea hawa watu, niruhusuni nije na ripoti ya pili ya yale niliyo yaficha kutunza heshima ya Serikali. Una integrity wewe kweli kupewa Tume wewe? Unakuwa kama una personal beef za watu JF hapa, Mwenyekiti mzima wa Tume. Ungeyaweka kwenye ripoti hayo unayo yalalamikia sasa hivi.

What incompetence!
 
Back
Top Bottom