Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Hapana alisema atamuomba Spika ili kusudi avunje kanuni ndio aweze kusoma ripoti yote, angeyaanika iwapo Spika angevunja kanuni na sio anything else!



Huu hapa sio ukweli mkuu kabisaa!

Ahsante mkuu kwa kunisahihisha, nimekuelewa. Kumbe Mwakyembe angeweza kabisa kuyaandika yote waliyoyangundua kwenye uchunguzi wao na kumuomba Spika avunje kanuni za Bunge ili aweze kuyasoma hadharani ili Watanzania wote wayajue badala ya kujipa mamlaka ya kuamua nini cha kuandika.
 
ndio umbrella ya AMANI NA UTULIVU INAYOTUMIKA, kumbe ni nidhamu ya woga na haijashtukiwa kuwa sio umbrella imetufunika bali ni big mushroom! CALL A SPADE a SPADE, no speacial cases.

NITASEMA UKWELI DAIMA; FITINA NA UNAFIKI NI MWIKO!
 
Lakini taka msitake mbali ya wale walio KOLIMBIWA,SOKOINIWA,BALALIWA,NA AMA HATA MALIMALIWA..Ambaye yupo HAI...Na ambaye inawezekana alipewa UZIMA NA MUNGU...NI SIMBA ALIYEJERUHIWA...NI SHUJAA...NI MWENZETU....NI DK HARISSON MWAKYEMBE!
MUNGU NA AMLINDE!
 
...Mama samahani lakini pamoja na kwamba unaonesha uchungu kwa nchi yetu lakini kidogo inanipa shida sana.. Uchungu wako ni ktk kuwapamba Mafisadi na kumfanya Mwakyembe mnafiki, mwongo hivyo report yake yote haina Ukweli...

To me it sound like His testimony has come under attack -He lied under oath, he should not be trusted..So the the convictions he helped must be overturned!..

Only Fisadis would love this!....

Anapenda mafisadi huyu Mama, right? Ni CCM huyu Mama right?

Kwa kuswalisha busara ya Mwakyembe kuficha mambo moyoni mwake ili kulinda heshima ya serikali badala ya kuyaweka kwenye ripoti. Right?

Mama this is what I'm talking about.

Haiwaingii akilini hawa watu kusema "Ni shujaa lakini..."

Hawana hiyo concept kabisa kabisa. Humkosoi Mwakyembe na Kilango na Slaa. Ni mwiko. Vingenevyo wewe mpenda mafisadi. Ndio conventional wisdom hapa. Critical and independence analysis sio mahali pake hapa, tunaambiwa na kina Mukandara na wengine. Mwiko.

Very unfortunate situation.
 
Ndugu yetu MWAKYEMBE...USIKATE TAMAA!
TUKO NYUMA YA MZALENDO BILA A KUJALI CHAMA!
UMETUMIA BUSARA...KAMA NI WAKATI WA SERIKALI KUNJWA...BASI NI HUU.
NA KAMA ULIKUWA NI WAKATI ULIOKUWA SHIDA..MUDA BADO UPO!
UPANDE WA HAKI HAUYUMBISHWI...MAKALI YA HAKI NI KAMA UPANGA UCHOMAO!
PENYE UKWELI...NI PENYE PANGA HILO....KILA KITU AMBACHO SI KWELI...HUJITENGA!
 
Kumbe Mwakyembe angeweza kabisa kuyaandika yote waliyoyangundua kwenye uchunguzi wao

Mkuu Mwakyembe ameandika yote tena wazi yapo, lakini kuna ambayo hawezi kuyasema kwa public kwa sababu ya sheria za siri za serikali.

na kumuomba Spika avunje kanuni za Bunge ili aweze kuyasoma hadharani ili Watanzania wote wayajue badala ya kujipa mamlaka ya kuamua nini cha kuandika.

yote ameyaandika yapo, lakini kuna ambayo hawezi kuayesma wazi mpaka Spika avunje sheria yaani kanuni, ndio anaweza kuyasema, hilo sio kosa lake ni kosa la serikali yenye hiyo sheria, kwa sababu sheria kuna wakati inaweza kutumiwa hata na mafisadi.
 
Basi siku nyingine msianze kumtolea maelezo, ufafanuzi au defence halafu mnamtosa mwenzenu maji ya maswali yakiwafikia shingoni.

Tukianza ku question vitu tu, semeni, "namba hiyooo....mpigie simu."

Halafu mimi Kalagabaho sina access ya kumfikia Mwakyembe kwenye simu mimi. Nitampata vipi kwenye simu Mwakyembe mimi? E-mail zao za Bungeni hawajibu unafikiri ndio wataweza kuongea na mimi kwenye simu? Na mlima kunde wa Gezaulole nae ampigie simu?

Hatutaki maelezo ya kwenye simu, tunataka wawe competent and responsible wanapopewa kazi za Tume na za Wananchi na wanapoongea Bungeni.

Sio kuchemka chemka eti nilitunza heshima ya Serikali, kama ripoti yangu haitoshi na mnaanza kuwatetea hawa watu, niruhusuni nije na ripoti ya pili ya yale niliyo yaficha kutunza heshima ya Serikali. Una integrity wewe kweli kupewa Tume wewe? Unakuwa kama una personal beef za watu JF hapa, Mwenyekiti mzima wa Tume. Ungeyaweka kwenye ripoti hayo unayo yalalamikia sasa hivi.

What incompetence!

don't put yourself down like that... Mwakyembe anajibu simu zake hata kama hajui nani anampigia, nenda kwenye tovuti ya Bunge na umpigie. Hoja mliyonayo ni ya msingi sana, lakini inatosha kumtosa mtu na kusema "hatufai"? I'm a realist, ukinipa uchaguzi wa Chitalilo na Mwakyembe kwenye kuongoza Kamati.. nitamchagua Mwakyembe! No sir, hatuwaachi mashujaa kwa kosa la kauli moja tena baada ya maneno na matendo ya kishujaa.

Nyinyi ambao viongozi kwenu hawakosei na wakikosea hata kwa kujing'ata ulimi tu basi wanatoshwa! Kuna vitu ambavyo tunaweza kutafuta kumhukumu Mwakyembe kwavyo, lakini la kauli hii tufike mahali tumtose tu ili tujithibitishie haki zetu wenyewe, ya kuwa ni jinsi gani sisi ni bora, watu ambao hatujawahi kuwa kwenye position kama hiyo ya kwake, kusimama na kusema yote aliyoyasema, halafu just like that tuyafute hayo yote kwa senteni moja! No sir!

Ni haki yenu kumtosa, na wengine haki yetu kumpa nafasi ya kutengeneza, kufafanua, au hata kufuta usemi wake! Kuna wakati rafiki anakosea tena vibaya, lakini kama kila rafiki akikosea anatoswa tena kosa la ulimi, basi wengi tusingekuwa na marafiki.

No sir, bado sijaona sababu ya kumtosa Mwakyembe sasa!!
 
Sio kuchemka chemka eti nilitunza heshima ya Serikali, kama ripoti yangu haitoshi na mnaanza kuwatetea hawa watu, niruhusuni nije na ripoti ya pili ya yale niliyo yaficha kutunza heshima ya Serikali. Una integrity wewe kweli kupewa Tume wewe? Unakuwa kama una personal beef za watu JF hapa, Mwenyekiti mzima wa Tume. Ungeyaweka kwenye ripoti hayo unayo yalalamikia sasa hivi.


Nafikri sio kazi kubwa kujua anayechemka hapa ni nani, Mwakyembe hawezi kuvunja sheria za serikali ndio maana ameomba Spika avunje kanuni ili aweze kutoa yote, sasa sielewi ni vipi Mwakyembe ndiye anyekuwa wa kulaumiwa hapa, wa kulaumiwa ni serikali yenye hizo sheria,

Mimi ninamtetea tena sana kuwa hana kosa lolote, tena amekuwa hata mstaarabu kuomba Spika avunje kanuni, angekuwa mbunge mwingine angenyamza kimyaa, heshima ya serikali ni lazima itunzwe kwa sababu inalindwa na sheria ndio maana Pinda akasema Meremeta ni ya jeshi m,aneno yakaisha hapo hapo.

Kama ni beef inaonelkana kuna watu hapa wana beef na kila kiongozi, that is pathetic thinking kwa mgongo wa JF, sasa ni kuwatukana viongozi wote wa taifa kuwa ni wajinga na waoga au mafisadi, hiyo sio spirit ya JF hata siku moja, hizo ni spirit za watu wachache hapa, ukweli hapa uko very clear kuwa Spika avunje kanuni then ripoti imaliziwe kama ilivyo, kumchafua Mwakyembe ili kujiweka kifua kuwa tuna akili sana hapana, akili nyingi hapa ni kuishambulia serikali yenye sheria za kulinda siri zake, lakini haiwezekani kuwa kila kiongozi wa taifa hafai that is pathetic mind, kuna viongozi wasiofaa na wanaofaa Mwakyembe ni mmojwapo, period!

Ahsante Wakuu
 
Mkuu Mwakyembe ameandika yote tena wazi yapo, lakini kuna ambayo hawezi kuyasema kwa public kwa sababu ya sheria za siri za serikali.

yote ameyaandika yapo, lakini kuna ambayo hawezi kuayesma wazi mpaka Spika avunje sheria yaani kanuni, ndio anaweza kuyasema, hilo sio kosa lake ni kosa la serikali yenye hiyo sheria, kwa sababu sheria kuna wakati inaweza kutumiwa hata na mafisadi.

Wapi kwenye ripoti?

Kwa hiyo unasema, Field Marshall, Mwakyembe kaandika ripoti mbili. Moja yenye siri, nyingine imekuwa public. Sawa?

Swali langu moja tu, lenye vipengele viwili:

a)Bunge lilipewa ripoti ipi?

b)Ipi ni ripoti official?
 
Sheria Ni Muhimu Kuzingatiwa!
Hivyo Alitumia Busara.
 
Field Marshll Es, Unajua tatizo la sisi Wabongo huwa tunasoma kitu kisha tunachagua vipande tunavyovitaka tukiacha hoja nzito iliyotangulia usemi huo..
Kweli mwakyembe kasema kuna mambo hakuyaweka ktk report na kasema wazi Bunge liondoe sheria inayomzuia......

Mimi nadhani badala ya kumsulubisha shujaa wetu ilibidi tujiulize kuhusu hiyo kanuni ya bunge iliyomzuia Shujaa Mwakyembe not otherwise
 
Wapi kwenye ripoti?

Kwa hiyo unasema, Field Marshall, Mwakyembe kaandika ripoti mbili. Moja yenye siri, kabaki nayo, nyingine iwe kuwa public. Sawa?

Swali langu moja tu, lenye vipengele viwili:

a)Bunge lilipewa ripoti ipi?

b)Ipi ni ripoti official?

1. Ripoti ya Mwakyembe ina kurasa karibu 1000, asingeweza kuisoma yote pale bungeni in one hour and a half, ninazo video za yeye akiisoma hiyo ripoti ni saa moja exctly na nusu, halafu akaongezwa nusu saa hata hivyo alikuwa akiruka ruka kwa sababu hawezi kuisoma yote,

2. Na hata hivyo kanuni za bunge haziruhusu yeye kuisoma ripoti yote pale mbele ya bunge, hata hiyo kusoma kwake ilikuwa ni kupindisha kanuni za bunge.

3. Bunge ina ripoti nzima aliyoiandika Mwakyembe, ingawa kulikuwa na njama kubwa ya mafisadi na wenziwe kujaribu kuizuia ile ya Mwakyembe isisomwe na isomwe yao mpya ya fake waliyoitengeneza dakika za mwisho.

4. Ripoti official anayo Mwakyembe, Spika wabunge na serikali pia, ndiyo ambayo kuna vipengele vimezibwa kwa sababu ya sheria ya serikali kulinda siri zake, sasa ili aisome Mwakyembe ni lazima amuombe Spika avunje kanuni, yaani sheria ili aisome yote ambayo ingetoa siri za serikali.

Sasa hapa kosa la Mwakyembe ni nini hasa? Halafu haya maswali yako mbona hayahusiani kabisa na hukumu zako kwa Mwakyembe maana kama kweli ulikuwa huna majibu ya haya maswali umewezaje kutoa kauli nyingi na nzito sana against Mwakyembe, wakati huna ukweli wote kama unavyoonyesha hapa na maswali yako?

Mkuu haiwezekani kuwa viongozi wote wa taifa letu ni wajinga na mafisadi hapana kuna walio safi na huyu Mwakyembe ni mmojawapo.
 
Mkuu haiwezekani kuwa viongozi wote wa taifa letu ni wajinga na mafisadi hapana kuna walio safi na huyu Mwakyembe ni mmojawapo.

Hakika.

Tena kwenye kupambana na ufisadi huyu Mwakyembe mimi siwezi kufunga kamba za viatu vyake.

Hiyo haina maana, lakini, kwamba hawezi kuchemka.
 
Hakika.

Tena kwenye kupambana na ufisadi huyu Mwakyembe mimi siwezi kufunga kamba za viatu vyake.

Hiyo haina maana, lakini, kwamba hawezi kuchemka.

Kuhani, hivi kweli Mwakyembe hatufai Watanzania kutokana na kauli yake hiyo ya kuchemsha?
 
Kwahiyo Ndugu Zangu Mnao Sema Mwakyembe Akosolewe...na Sisi Tukasema Sawa..maana Kukosolewa Haina Maana Kuwa Ni Fisadi.
Kukosolewa Huko Wengine Tunaona Kuwa Maamuzi Yake Yalikuwa Ya Busara Kwani Alizingatia Sheria Za Nchi Na Sasa Spika Atampa Nafasi Tuliyokuwa Tukiisubiri.
Hivyo Basi..kama Angeamua Kuvunja Sheria Hizo..yangemkuta Yale Ya Kufukuzwa Bungeni Na Ama Hata Kufungwa Jela.
Summerization Ya Ripoti Yake Haijaharibu Ushaihidi Wowote Ule Ambao Unapatikana Ndani Ta Ripoti Hiyo.
Bali Summerization Hiyo Ilizingatia Kanuni Za Bunge Na Sheria Za Nchi.
 
I said before that I will cut Dr Mwakyembe some slack for this, I still maintain my position!! Kama ingewezekana kuruhusiwa mjadala huu tena bungeni nafikiri tungeweza kuwa na a big picture. No matter the case though, nafikiri Mwakyembe is a Hero considering kamati teule zimeishaundwa kila kukicha na hakuna hata moja iliyokuwa na effectiveness kama hii. Najua wengine watauliza natumia vigezo gani kupima effectiveness, simple and clear my consious tells me so!
 
Mimi kuquestion PhD ya Slaa? YOU ARE COMPLETELY PATHETIC! Rudia tena ile thread, hukawii kusema unanijua na utamwaga siri hata za mume wangu. Maana ndio tabia yako ya kutisha watu hapa pale unapoona wanaenda tofauti na unavyotaka wewe, pole sana sio wote wa kuburuzwa na mawazo yako.

Mama,

Utakutana na mengi humu, ndio JF hiyo. Utakuta wanaotumia nguvu za hoja na wanaotumia hoja za nguvu. I love JF.
 
Kuhani,
Anapenda mafisadi huyu Mama, right? Ni CCM huyu Mama right?

Kwa kuswalisha busara ya Mwakyembe kuficha mambo moyoni mwake ili kulinda heshima ya serikali badala ya kuyaweka kwenye ripoti. Right?

Mama this is what I'm talking about.

Haiwaingii akilini hawa watu kusema "Ni shujaa lakini..."

Hawana hiyo concept kabisa kabisa. Humkosoi Mwakyembe na Kilango na Slaa. Ni mwiko. Vingenevyo wewe mpenda mafisadi. Ndio conventional wisdom hapa. Critical and independence analysis sio mahali pake hapa, tunaambiwa na kina Mukandara na wengine. Mwiko.Very unfortunate situation.

Mkuu, usijaribu kabisa kupindisha hoja yangu na ndio maana nimesema nyie kazi yenu ni kuchukua vipande toka ktk maandishi mkaacha kile kilichotangulia...
Nimetanguliza neno - IT SOUND like!..Na hakuna mahala nimesema Mama ni CCM..acha ujinga mkuu..
Sikatai kabisa mtu ku question Mwakyembe, Slaa au mtu yeyote yule isipokuwa nafuata maelezo yenu na hasa pale mnaposema maneno kama haya - Mwakyembe hutufai Watanzania. It's Cowardice...haya ni matusi ya nguoni na Mafisadi tu ndio wanaweza kufaidika.., hivyo angalieni mnachoandika kwa faida ya wananchi sio mafisadi. Hizi ni shtma ambayo ukweli wake hamna mikonnoni isipokuwa usemi wake mnautumia tena kwa kukisia..
Tofauti na Field Marshall Es, binafsi nachoelewa ni kwamba kuna info ambazo hakupata uhakika toka kwa wahusika ambao walikataa kuhojiwa.. Na kisheria hakuwa na nguvu ya kuwalazimisha pamoja na kwamba fununu hizi zimetoka ktk sehemu nyingi tofauti bila kiapo..
Hivyo sio hakuweza kuuweka kk report ile isipokuwa kama angeweza tu kuwabana Rostam Karamagi, na Mwanasheria mkuu ktk vikao vya bunge hawa jamaa wasingeweza kutoka..Na alikuwa na hakika kabisa kuwa kikao hicho kingempaka Lowassa zaidi. Kama alivyosema katika report yake hawezi kumhusisha Lowassa (waziri mkuu) moja kwa moja kwani hiyo sio kazi yake kutoa judgement...
Sasa baada ya hawa jamaa kusafishwa na baadhi Wabunge imeonekana kwamba Mwakyembe hana ukweli wa kuhusika kwao na kwa bahati mbaya Mwakyembe hawezi kutoa ushahidi aliokuwa nao kama hakuna Bunge halitakubali kusikiliza kesi hii wapate kuwapa kibano hao jamaa.. Hawa jamaa wameisha jiuzuru hawapo tena serikalini lakini bado ni wabunge hivyo kisheria kama kweli wabunge wanataka ukweli uonekane wakubali kuondoa kikwazo hicho.... mwongo atajulikana.
Mwakyembe hawezi kuwa mjinga kuingiza vitu ovyo ktk report ambavyo havina uhakika na ni fununu tupu..Na kama mnakumbuka hata Dr. Slaa alipoingiza ile list ya Mafia kina Patel alionekana muongo ku base argument yake ktk report za Mtandaoni hali zilikuwa kweli tupu..Kisheria kuina vikwazo bungeni na huwezi kuviruka..Dr. Slaa alikuwa na ukweli wa mengi kuhusiana na kundi hilo lakini hakusema yote siku ile.. Na nimesema hata Zitto anajua mengi kuhusiana na Buswagi hata kabla ya kuwepo ktk kamati lakini kisheria kama hakupata kuwahoji kina Sinclair hawezi kabisa kumhusisha mathlan Kikwete anahusika.. hata kama kuna report za juu juu ambazo zinamhusisha rais wake.. kisheria hawezi kumtosa rais direct isipokuwa kwa kikao maalum..
Ndivyo nilivyoelewa mimi.....
 
Jamani naanza kwa kukubali kuwa mimi kweli ni mbumbumbu. Lakini naomba tu ufafanuzi kwa swali kidogo. Kanuni aliyoongelea Dr. Mwakyembe ni ya kuruhusu mjadala wa jambo ambalo lilikwishajadiliwa na kutolewa maamuzi na bunge kurudishwa kwa majadiliano zaidi ama kanuni itenguliwe aweze kuanika yale ambayo hakuweza kuyaanika wazi kwa vile kanuni hairuhusu.
 
Back
Top Bottom