Kuhani,
Anapenda mafisadi huyu Mama, right? Ni CCM huyu Mama right?
Kwa kuswalisha busara ya Mwakyembe kuficha mambo moyoni mwake ili kulinda heshima ya serikali badala ya kuyaweka kwenye ripoti. Right?
Mama this is what I'm talking about.
Haiwaingii akilini hawa watu kusema "Ni shujaa lakini..."
Hawana hiyo concept kabisa kabisa. Humkosoi Mwakyembe na Kilango na Slaa. Ni mwiko. Vingenevyo wewe mpenda mafisadi. Ndio conventional wisdom hapa. Critical and independence analysis sio mahali pake hapa, tunaambiwa na kina Mukandara na wengine. Mwiko.Very unfortunate situation.
Mkuu, usijaribu kabisa kupindisha hoja yangu na ndio maana nimesema nyie kazi yenu ni kuchukua vipande toka ktk maandishi mkaacha kile kilichotangulia...
Nimetanguliza neno - IT SOUND like!..Na hakuna mahala nimesema Mama ni CCM..acha ujinga mkuu..
Sikatai kabisa mtu ku question Mwakyembe, Slaa au mtu yeyote yule isipokuwa nafuata maelezo yenu na hasa pale mnaposema maneno kama haya - Mwakyembe hutufai Watanzania. It's Cowardice...haya ni matusi ya nguoni na Mafisadi tu ndio wanaweza kufaidika.., hivyo angalieni mnachoandika kwa faida ya wananchi sio mafisadi. Hizi ni shtma ambayo ukweli wake hamna mikonnoni isipokuwa usemi wake mnautumia tena kwa kukisia..
Tofauti na Field Marshall Es, binafsi nachoelewa ni kwamba kuna info ambazo hakupata uhakika toka kwa wahusika ambao walikataa kuhojiwa.. Na kisheria hakuwa na nguvu ya kuwalazimisha pamoja na kwamba fununu hizi zimetoka ktk sehemu nyingi tofauti bila kiapo..
Hivyo sio hakuweza kuuweka kk report ile isipokuwa kama angeweza tu kuwabana Rostam Karamagi, na Mwanasheria mkuu ktk vikao vya bunge hawa jamaa wasingeweza kutoka..Na alikuwa na hakika kabisa kuwa kikao hicho kingempaka Lowassa zaidi. Kama alivyosema katika report yake hawezi kumhusisha Lowassa (waziri mkuu) moja kwa moja kwani hiyo sio kazi yake kutoa judgement...
Sasa baada ya hawa jamaa kusafishwa na baadhi Wabunge imeonekana kwamba Mwakyembe hana ukweli wa kuhusika kwao na kwa bahati mbaya Mwakyembe hawezi kutoa ushahidi aliokuwa nao kama hakuna Bunge halitakubali kusikiliza kesi hii wapate kuwapa kibano hao jamaa.. Hawa jamaa wameisha jiuzuru hawapo tena serikalini lakini bado ni wabunge hivyo kisheria kama kweli wabunge wanataka ukweli uonekane wakubali kuondoa kikwazo hicho.... mwongo atajulikana.
Mwakyembe hawezi kuwa mjinga kuingiza vitu ovyo ktk report ambavyo havina uhakika na ni fununu tupu..Na kama mnakumbuka hata Dr. Slaa alipoingiza ile list ya Mafia kina Patel alionekana muongo ku base argument yake ktk report za Mtandaoni hali zilikuwa kweli tupu..Kisheria kuina vikwazo bungeni na huwezi kuviruka..Dr. Slaa alikuwa na ukweli wa mengi kuhusiana na kundi hilo lakini hakusema yote siku ile.. Na nimesema hata Zitto anajua mengi kuhusiana na Buswagi hata kabla ya kuwepo ktk kamati lakini kisheria kama hakupata kuwahoji kina Sinclair hawezi kabisa kumhusisha
mathlan Kikwete anahusika.. hata kama kuna report za juu juu ambazo zinamhusisha rais wake.. kisheria hawezi kumtosa rais direct isipokuwa kwa kikao maalum..
Ndivyo nilivyoelewa mimi.....