Ama kweli Rost tamu anatuchezea iundwe tume kwa lipi na hizo hela za hiyo tume atatoa mfukoni kwake na hao majaji ya hiyo tume watatoka wapi kwani tunaelewa Rost tamu ni the Don wa bongo,nani siku anawaamini hawa majaji wetu wapenda utajiri,na EPA nako itaundwa tume ya majaji kuchunguza Kagoda.Jamani akina Rosttamu yametosha tuacheni wananchi tufikirie mengine kama Kilimo Kwanza badala ya kufikiriia wewe mheshimiwa sana usafishwe.
Well said Field Marshal....Ila mimi ninachojiuliza(labda nikuulize nawe pia),ni kama huyu mtu ni mwizi,fisadi,muhujumu uchumi etc etc kwanini 'hamtimui' kwenye chama chenu cha jembe na nyundo???Me Im suprised,kuwa mtu wa namna hii anakuwa na uwezo wa kuingia kwenye vikao vya ndani vya chama,let alone kuwawakilisha wananchi wa Igunga!!!Mtawasaidia sana hawa wananchi kama mtamnyang'anya huyu bwana uanachama,period.Cha ajabu chama hikohiko kinataka kumnyanganya kadi Spika wa sasa,ilhali akina Chenge wapo wanadeal na maadili humohumo chamani.Kwakweli mimi huwa nastaajabu sana inakuwaje wachafu hawa wanaweza kuwa na madaraka huku chama kikiendelea kuwakumbatia???For now I have a clue,in CCM there is ngao/kinga ya uenzetu.- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!
- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!
Respect.
FMEs!
Naona Rostam Aziz na Zitto Kabwe wamegongana kimawazo. Maana wazo hili hili la tume ya majaji lilitolewa na Zitto awali; swali la kujiuliza, ni nani wa kuteua hao majaji? Na vipi taarifa ya kamati tuele kuhusu richmond imekuwa tofauti sana na ya TAKURU? Sasa tuuende chombo cha tatu kwa suala hilo hilo?
........ndiyohiyo
Wamegongana kimawazo!...Yani mkuu mpaka leo hujamstukia huyu Zitto kuwa ni CCM Lowasa. Na hapo alipo yupo kwenye ngwe ya mwisho ya kumalizia moja kazi zake kuu alizopewa nayo ni KUIVURUGA CHADEMA ishindwe kutoa credible oposition.
Yani umeona wapi mpigania "maslahi ya taifa" ghafla, akaanza kuwa na mawazo yanayofanana word to word na mafisadi papa?....Kwenye mitambo chakavu ya Dowans alikuja na kutaka sheria ipindishwe mpaka inunuliwe, kwenye nafasi ya bunge kwenye kuisimamia serikali maneno yake ni kama amekua kipaza sauti cha kingunge Ngombale Mwiru Fisadi, kwa kutumia janja ya kuipotosha katiba(MKJJ alimuelewesha vizuri kwenye hili as if alikua hajui kumbe ni mkakati wa kupotosha makusudi), Halafu hili la tume huru ya majaji alikuja nalo hapa(nia ni ileile, hao majaji wanunuliwe halafu watumike kuwasafisha watuhumiwa wa Richmond), wenye akili walistuka, leo Rostam kaja na hio hoja word to word kama Zitto.
Mi namshauri kama yeye ni jasiri kama anavyopenda watu wamuone, atoke kwenye kichaka cha kupigania "maslahi ya taifa" na ajitoe muhanga kama Peter Serukamba. Ule ndio ujasiri wa kifisadi. Mheshimiwa mbunge kijana, please spare us with your cheap "napigania maslahi ya taifa" rhetoric and go collect your CCM Lowasa membership card. Si kosa la jinai kujiunga nao, ila usitake kufanya watanzania ni mabwege!
- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!
- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!
Respect.
FMEs!
huu ndo upumbavu wa huyu mtu..i take him very low and to me he is like a comedian..they had time to dig and report everything asking to be given another chance si upumbavu huu...