Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Na Kagoda je, iundwe tume ya akina nani ili imchunguze Papa Fisadi Rostam Azizi!? Kishapata kiburi sasa anajua Kikwete hawezi akamgusa au kusema lolote baya dhidi ya ya huyu fisadi hivyo kapata nguvu ya kuongea upupu wake. Kigumu chama cha mafisadi! KIGUMU!
 
Ama kweli Rost tamu anatuchezea iundwe tume kwa lipi na hizo hela za hiyo tume atatoa mfukoni kwake na hao majaji ya hiyo tume watatoka wapi kwani tunaelewa Rost tamu ni the Don wa bongo,nani siku anawaamini hawa majaji wetu wapenda utajiri,na EPA nako itaundwa tume ya majaji kuchunguza Kagoda.Jamani akina Rosttamu yametosha tuacheni wananchi tufikirie mengine kama Kilimo Kwanza badala ya kufikiriia wewe mheshimiwa sana usafishwe.
 
Walimtaka kijana wao JK aunde tume kuchunguza kwani kwao hawezi kusema kitu. Hiyo inayoitwa na kudaiwa tume huru itakayoundwa na JK aliyefadhiliwa na kina Rost tamu itatoka wapi? Mbona fadhila wengi washafanyiwa na RA, itakuwa shida kuwa kuiremba inayodaiwa kuwa tume huru?

Eti tume huru!!! zimeundwa ngapi, na matokeo yake ni yepi zaidi ya kushibisha matumbo yao kwa mabilioni ya walipa kodi!

Mbona halizungumzii kagoda kfanyike nini? Basi awaombe majaji pia wapitie ushahidi ulipatikana katika nyaraka za tume ya rais ambayo hadi kesho haijatoa taarifa ili tujue alivyoshiriki kuinajisi Tanzania!
 
Huyu bwana anazidi kupoteza muda, kwanini asijiuzuru? Alivyo fisadi na asivyo hurumia pesa za walipa kodi bado anataka tena zitumike kuchunguza kitu kilichokwisha chunguzwa mara mbili. Hizo hela afadhali zikanunue panadol tunweza kuisifu serikali. Mfa maji haachi kutapatapa
 
Na Mwandishi Wetu

Mbunge huyo alipendekeza pia afukuzwe katika nafasi zote anazoshikilia kwenye chama na Bunge iwapo atabainika kuhusika na ufisadi wowote katika kashfa hiyo ya Richmond.

Source: Mwananchi la kesho

Kwanini aundiwe kamati ya majaji? Nini kazi ya mahakama? Halafu anataka afukuzwe tu CCM sio afungwe jela kwa uhalifu wa ufisadi! Nadhani huyu jamaa anaamini yupo juu ya sheria hapa Tanzania na jela za Tanzania ni za vibaka tu!
 
- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!

- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!

Respect.

FMEs!
 
Ni upumbavu mtupu kusikilza upuuzi wa Rostam. Alipewa nafasi ya kujitetea kwenye kamati ya Mwakyembe lakini akaingia mitini. Huu utetezi anatakiwa autoe akiwa ndani ya mahakama. Hatutaki kusikiliza hizi ngonjera, ushahidi utautoa mbele ya majaji. Kama ukikutwa huna hatia then utaendelea na shughuli zako, kama ukiamua ku-file lawsuit against serikali ni juu yako. Lakini kama ukikutwa guilty lazima ukalinyee debe.
 
He is a king maker; waweza kukuta ameshaandaa majaji, ameshapanga mambo yote halafu anakuja kututishia nyau

Mimi nashangaa sana nchi yetu, mtu anakuja anakuibia, anakutukana halafu anasema nataka akupe hadi mtu wa kumchunguza na kutoa hukumu... na ukikataa anasema eti ataacha mbinu zote na mirija yote anayoitumia kukuibia na kukugawia chenji, who the hell is this guy?

Sh!T
 
Mimi sijawahi kusikiwa mtuhumiwa wa uhalifu anachagua nani amchunguze na amchunguze vipi...kwa nini asiseme waletwe scotland yard?.....Majaji wapi?...wale waliomchunguza Zombe halafu akaachiwa...?
 
- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!
- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!
Respect.

FMEs!
Well said Field Marshal....Ila mimi ninachojiuliza(labda nikuulize nawe pia),ni kama huyu mtu ni mwizi,fisadi,muhujumu uchumi etc etc kwanini 'hamtimui' kwenye chama chenu cha jembe na nyundo???Me Im suprised,kuwa mtu wa namna hii anakuwa na uwezo wa kuingia kwenye vikao vya ndani vya chama,let alone kuwawakilisha wananchi wa Igunga!!!Mtawasaidia sana hawa wananchi kama mtamnyang'anya huyu bwana uanachama,period.Cha ajabu chama hikohiko kinataka kumnyanganya kadi Spika wa sasa,ilhali akina Chenge wapo wanadeal na maadili humohumo chamani.Kwakweli mimi huwa nastaajabu sana inakuwaje wachafu hawa wanaweza kuwa na madaraka huku chama kikiendelea kuwakumbatia???For now I have a clue,in CCM there is ngao/kinga ya uenzetu.
 
Naona Rostam Aziz na Zitto Kabwe wamegongana kimawazo. Maana wazo hili hili la tume ya majaji lilitolewa na Zitto awali; swali la kujiuliza, ni nani wa kuteua hao majaji? Na vipi taarifa ya kamati tuele kuhusu richmond imekuwa tofauti sana na ya TAKURU? Sasa tuuende chombo cha tatu kwa suala hilo hilo?

........ndiyohiyo

Wamegongana kimawazo!...Yani mkuu mpaka leo hujamstukia huyu Zitto kuwa ni CCM Lowasa. Na hapo alipo yupo kwenye ngwe ya mwisho ya kumalizia moja kazi zake kuu alizopewa nayo ni KUIVURUGA CHADEMA ishindwe kutoa credible oposition.

Yani umeona wapi mpigania "maslahi ya taifa" ghafla, akaanza kuwa na mawazo yanayofanana word to word na mafisadi papa?....Kwenye mitambo chakavu ya Dowans alikuja na kutaka sheria ipindishwe mpaka inunuliwe, kwenye nafasi ya bunge kwenye kuisimamia serikali maneno yake ni kama amekua kipaza sauti cha kingunge Ngombale Mwiru Fisadi, kwa kutumia janja ya kuipotosha katiba(MKJJ alimuelewesha vizuri kwenye hili as if alikua hajui kumbe ni mkakati wa kupotosha makusudi), Halafu hili la tume huru ya majaji alikuja nalo hapa(nia ni ileile, hao majaji wanunuliwe halafu watumike kuwasafisha watuhumiwa wa Richmond), wenye akili walistuka, leo Rostam kaja na hio hoja word to word kama Zitto.

Mi namshauri kama yeye ni jasiri kama anavyopenda watu wamuone, atoke kwenye kichaka cha kupigania "maslahi ya taifa" na ajitoe muhanga kama Peter Serukamba. Ule ndio ujasiri wa kifisadi. Mheshimiwa mbunge kijana, please spare us with your cheap "napigania maslahi ya taifa" rhetoric and go collect your CCM Lowasa membership card. Si kosa la jinai kujiunga nao, ila usitake kufanya watanzania ni mabwege!
 
Sober, mimi naomba tujadili kwanza ya huyu rostam... Ya zitoo tuyaweke kwenye ile thread yake; kumchanganya humu zitto ni sawa na kuweka chai kwenye uji!!

we unasemaje?
 
- Unajua this is more than Sodoma and Gomora, I mean mtu alityeiba hela za wananchi badala ya kuwa Segerea, leo yeye tena ndiye anayeshauri nani ndio wawe mahakimu wake tena kwa jeuri ya ajabu sana, ndio maana huwa ninasema kuwa Mkapa na Mangula wana dhambi ya ajabu mno kwa sababu ndio waliotuletea hawa watu kwenye serikali, ninakumbuka ile hotuba yake maarufu sana kwamba nitawashangaza wa-Tanzania kwa kuwachagulia Rais safi na bora sana!

- Only in Tanzania, where mwizi anaweza ku-determine nini kifanyike au kisifanyike dhidi yake!

Respect.

FMEs!

Kama ni kwenda segerea,basi utakuta Rais na wabunge wote watakwenda huko kwani sio wasafi, akiwemo ata baba yako fisadi nyangumi
 
huu ndo upumbavu wa huyu mtu..i take him very low and to me he is like a comedian..they had time to dig and report everything asking to be given another chance si upumbavu huu...

Sijui ni mjinga nan wa kumpa tena huo muda wa kuchezea pesa zetu.Tulimpa tsh 400,leo hii anatuambia alikuja na kazi nusu.Huyu bwana ni komedia
 
Wananchii ndio wadanganyika wakubwa na ripoti ya Richmond!!!

Wanasiasa wanaitumia Ripoti hii (Mwakyembe team na EL team) kujijengaa zaidi kisiasa kwa ummaa.

Tatizoo langu sio EL kuachia ngazi bali ni mfumoo mbovuu wa kiuongozii uliotufikisha katika halii hii ya umaskini hadi wa Kufikirii...

Umaskini wetu sio Richmond, Kagoda, IPTL, TRL, TICTS, nk bali ni ukosefu wa jamii ya kuona mbele kwa masilahi ya wotee...

Vikashfa hivyoo ni matokeo ya michezoo ya kisiasa na ukosefu wa umakini katika jamii hasa wabunge na mediaa katika kuzishabikiaa ndikoo kosa kubwaa zaidiiii!!!

Kwa nn mjadala wa Richmond haufungwi?? wapi nguvu ya Bunge kuufunga kama ilivyoweza kuunda kamati na kutoa mapendekezoo na PM kuachia ngazii lakini utekelezaji wa mapendekezooo unashindikanaaa?????????????????????????????????????????????

Bado naaminii hatuna Bunge imara na lenye meno!! EL alilipa umaarufuu kwa yeye binafsi kuwajibika tuuu kwa hisia zake au ujasiriii wake.
 
hivi huyu Rostam ni nani hasa ktk nchi hii, we should never underestimate his influence in this country, we have not seen anything yet? yaani ameshajitoa kabisa ktk orodha ya watu wa kukanyaga jela...kichwani mwake hilo wazo halipo

nchi kainunua kaitia mfukoni..you can see that clearly from what comes from his mouth

ana practice udikteta akiwa amemlaza chali rais wa nchi aliyechaguliwa "kidemokrasia" na kusimama juu ya kifua chake
 
Kwa kauli anazotoa huyu jamaa, inaonesha wazi kuwa amesha jizatiti na hakuna mtu wa toka serikali wa kumshooshea kidole. Nadhani kiburi chake kinatokana na kuwafahaamu in and out Viongozi wa juu serikalini pamoja na maovu waliyo tenda na wanayo endelea kuyatenda. Imefikia mahali anaona kuwa yuko juu ya sheria na pasipo yeye basi serikali haiwezi kuwepo.
Kauli zake zinazakikisha serikali na mahakama pia, na sijui kwa nini serikali na mahakama ikubali kuburuzwa na jamaa huyu, labda yeye ndo kawaweka na wakimguza tu basi, na wao watakuwa hatarini
 
Jamani niliwahi kusema, sasa tujionee wenyewe. Hili suala la Majaji ni mkakati maalumu, na kwa kuwa kuna uwajibikaji wa kisiasa, na haya ni masuala ya kisiasa zaidi, na kwa kuwa Majaji huwa hawachunguzi wanatoa uamuzi kulingana na facts walizopelekewa (mara nyingi na wachunguzi kama Hosea, Manumba etc) hawatakuwa na uamuzi zaidi ya kuwa hakuna ushahidi. Kama wanataka watake uchunguzi ufanywe na vyombo vya kimataifa na si MAJAJI. Ili kupata facts mpya kama hakuna ukiukwaji wa maadili, kama hakuna rushwa (si lazima pesa zitolewe) hata kama ni ahadi ama maslahi mengine ya baadaye, zabuni zaidi (kama ile ya Caspian na Richmond/Dowans), kama hakuna mahusiano ya kirafiki/kidugu kati ya wahusika na kampuni tajwa, kama hakuna malipo yaliyofanywa na Rostam kwa M.A.Kharafi kuhusiana na ujenzi wa eneo la Richmond na kama Rostam hajawahi kuwatisha Kharafi kwamba "sisi ndio wenye nchi" na kama M.Kaharafi hawajawahi kutaka kufungua kesi mahakamani kuhusu hilo. (Nyaraka zipo).

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/17578-lowassa-anasafishwa-77.html

https://www.jamiiforums.com/habari-...tiza-tulionewaadai-tume-ya-majaji-iundwe.html
 
huyu Rostam hana hadhi hiyo, kinidham na kimtazamo,
kweli Majaji waache kazi zo, waanze kuangaika kuchunguza Fisadi ambaye amethibitishwa na mamlaka zote kupanga na kushiriki kuihujumu Tanzania yetu, aah anataka kupewa hadhi ambayo hana.
Rostam hadhi yake inaweza kuishia kwenye Uchunguzi wa vijana wa DPP basi . na labda kama TAKUKURU ingekua taasisi safi ingemchunguza.
Namshauri aombe radhi kwa madhila yote aliyotusababishia Watanzania, aombe radhi kwa kuendelea kuhamisha mtaji kupeleka kwao Arabuni nasikia IRANI, Aombe radhi kwa usumbufu katika nishati ya Umeme Tanzania.
Aombe radhi kwa familia yake kuhusishwa na biashara ya Utumwa hapa Tanganyika/Tanzania
 
Back
Top Bottom