Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Hivi mheshimwa kabisa mkubwa wa mhimili mmoja wa dola, hivi kila kitu lazima wewe ujibu au useme?

Mkuu ameulizwa yeye, sasa wewe unategemea ajibu nani? Au unataka alete ujinga wa kusema mimi sio msemaji wa bunge.
 
Roma locuta causa finita. Maanake Roma (kwa wakatoliki) ikishatamka ndio mwisho wa mjadala. Sita (speaker) kisha nena Rostam alie na kusaga meno! File closed
 
WAPENDE WASIPENDE SITTA MWANAUME WA KUJIAMINI - SALAMU KWA SOPHIA KONDO a.k.a. SOPHIA SIMBA
 
Kwa mujibu wa sheria. hakuna taasisi yoyote yenye mamlaka ya kuhoji maamuzi ya Bunge. Bunge ni chombo cha uwakilishi wa wananchi. Na bunge lina kanuni zake na taratibu zake.

Kama Rostam amekuwa hakubaliani na maazimio ya Bunge, basi ana haki kabisa kimsingi kutumia taratibu za Bunge kulirudisha suala lake tena Bungeni lijadiliwe.

Vile vile taarifa au ripoti ya Bunge haiwezi hata kidogo kutumika mahakamani kama ushahidi . Ni lazima either PCCB au Polisi wafanye uchunguzi wao ndio upatikane uthibitisho wa kusimamisha kesi.

Nilikuwa najiuliza. hao majaji watasimama katika sakata hili kama nani?
 
Tena apewe Fast track process, moja kwa moja ndani...hakuna purpose ya kuhangaika na process...ni gaidi, should be arrested for treason kwa kuiba mali za wananchi

Mwenye nafasi ya kumwambia JK atusaidie, kwani RA anamfuko mkubwa kiasi gani kuiweka Serikali na watanzania mfukoni mwake?
 
Rostam anapasww kuwa yuko jela muda huu na hata nafasi ya kutaka ahopjiwe na majaji asingeweza kuitoa hapa ,
 
Nimechoka kumsikia... Igunga bila RA inawezekanaaaaa!
waamke, ila kwa wapiga kura hawa, mmh safari bao ndefu, mimi huwa nawaangaliaga Watanzania wenzangu, wasomi na wasio wasomi, waelewa na wasio waelewa, wajinga na waelevu, sijui kitu gani kilituroga, mimi naumia sana, wengi wanaogopa kuwaangusha hawa mapapa wa ufujaji, wanawapigia kura katika lindi kama hili la umasikini, Tanzania ,ni nani aliekuroga ?
 
RA, the king maker of Tanzania politics since 1990s....

Kwa kuwa CCM ni chama kilichochokaa baada ya kuachana na asili yake (jembe na nyundo), na kukumbatia matajiri aina ya RA kubakia madarakani (kuanzia serikali ya mtaa hadi uraisi) ni wakati sasa kuanguaka kwa njia ile ile waliyoacha asili yao...

If we can frustrate RA and go away then CCM should fall the same time to give as NEW HOPE with better nation for ALL.

Utawala uliopo ni zao la RA!!!Alituhadaa wotee kupitia mgombea wake..
Yupi muhimu kuondoa kwa ajili ya MABADILIKO YA KWELI????????
 
Rostam anapasww kuwa yuko jela muda huu na hata nafasi ya kutaka ahopjiwe na majaji asingeweza kuitoa hapa ,


Sitta amenipa raha sana. Hawa mafisadi wanataka kutuvuruga. Huyu RA kama anataka kuchunguzwa au anadhani alionewa aende mahakamani. Vinginevyo akae kimya kwa sababu nafasi ya kujitetea alikuwa nayo wakati kamati inafanya kazi zake au mbele ya bunge zima. Naona anataka kutumia pesa labda kuhonga majaji ili kudhalilisha bunge. Ni upuuzi mtupu kuongelea uchunguzi tena badala ya utekelezaji. Kama siyo upuuzi wake na EL kung'ang'ania walionewa na kumchanganya JK, hili suala lingeshakuwa historia. I am sick and tired with RA na his entire criminal and corrupt syndicate!!
 
People you must be joking. Jamaa amekamata bunge, mahakama na executive. Hata leo hii akisema aachie nyadhifa zote, yaani asiwe mjumbe wa CC, NEC na mbunge, still anaweza kuendelea na influence yake. Kama mnakumbuka Pablo Escobar aliwekwa gerezani lakini aliweza ku-operate effectively kutoka gerezani. Am sure for a person of RA calibre unaweza kushangaa anatengenezewa cell nuzri kuliko chumba cha Movenpick, akawa na simu yenye connection nzuri kuliko hata mimi wa oysterbay na akala chakula kizuri kuliko hata jamaa wa masaki, na biashara zake zikawa zinaendelea vizuri kuliko hata Mengi.

The guy needs to be eliminated from political sphere (not killing him), afanywe kama alivyofanywa Mrema. The question is who will start this, wakati wote wenye madaraka hayo wako mfukoni mwake?
 

Hicho unachosema ni sawa na kumwambia JK ajiweke kizuizini. Hata hivyo ni kitu ni rahisi sana kwa JK kujisweka ndani au hata kujinyonga kuliko kumgusa RA. Ulishawahi kuota umekamatwa na baunsa la miraba minne ya ukweli (a kind of gradiator)?? Hayo ndiyo yaliyomkuta ndugu yetu JK. Inabidi tumuonee huruma na kumuombea. He is restrained from every angle. I wish we could get someone to help and rescue him. May be the USA can ofer a helping hand by applying the Noriega strategy!
 
well.. anatakiwa afunguliwe mashtaka huyu Rostam sijui kwanini wanamremburia macho
 
SIx anamjua fika RA na mafisadi wengine na ninadhani anajua mipango yote inayofanyika kuwasafisha mafisadi, na anajua RA aliposema ahojiwe na majaji ni nini kingelifuata baadaya hapo, ndo maana amepuuza hoja za RA. Yawezekana majaji walishapangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…