Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
Ibara ya Katiba au ya nini?
Ibara ya Katiba ndiyo, swali hapo ni katiba gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibara ya Katiba au ya nini?
Date::11/16/2009Rostam:
........................ "Ninachotaka ni haki itendeke... suala la njia ipi itatumika ni jingine kama ya majaji ni ngumu." ..............
Kwa nini isiwe adhabu toka kwa msajili wa vyama? yule mwanasheria Tendwa?CCM kupitia NEC ikifanya hivyo itakuwa imetenda kosa la UHAINI na inastahili adhabu kali toka kwa wananchi.
"Mbona Caspian ilijenga Mwananchi (jengo la Mwananchi Communications linalochapisha gazeti hili), hapa tatizo la mawasiliano linatoka wapi? (Du the so called kingmaker anaweza kuwa na argument za kipumbavu namna hii?? Mbona hajiulizi kwa nini hakuhusishwa na mkataba wa Buzwagi ilhali Caspian ilikuwa na tenda ya kufanya civil works kubwa kubwa pale?????
"Kama barua pepe ni ushahidi wa kuhusika na kampuni, je tusemeje kuhusu yeye (Sitta) aliyekuwa na mawasiliano na hata kupendekeza kudhamini utambulisho wa Richmond?" (Du kwa hiyo kumbe source ya hii hoja ni wewe Rostam aiming at neutralizing ishu yako????? But it is so weak and so low....... try another one)
Rostam alihoji kwanini Spika hakuwahi kulieleza bunge hata siku moja kuitambua Richmond iwe kwa uzuri au ubaya kwani ndiye aliyewahi kuileta. And therefore wewe huna makosa hata baada ya ujambazi huu maana Kampuni ililetwa na Sita.......only in Tz.
"Kwa kuongoza bunge lililoambiwa Richmond ilikuwa kampuni hewa na ya kitapeli ya akina Rostam wakati yeye akijua kuwa hayo hayakuwa ya kweli kwa maana, ni mtu aliye karibu nao (wamiliki wa Richmond) - Hivi kuwajibika katika nafasi yako kikazi tayari unakuwa karibu na watu wanaohitaji huduma ofisini kwako????? na kutosema kuwa hayo si kweli, hakuwatendea haki wananchi," (Toka lini Rostam ukawa na huruma na watanzania??????)
Dawa yao imeshatimia,......ki kutowachagua Mafisadi wote...na wala kutorudisha majina yao.....hivi jeshi na vyombo vya usalama vinafanya nini??wanaangalia tu ujinga wa wanasiasa???wanafanya wanavyotaka??inasikitisha sana.....hawajui wajibu wao kama vyombo vya dola...na usalama pia....corrupt....
Haka kawimbo ni katamu sana kanaonekana "Richmond" Kila kukicha kamo! ila mie nimekachoka kabisa
Huu wimbo (Richmond) utaisha pale mdundo (utekelezaji wa maazimio 23 ya Bunge) utakapoisha! That's the only and final solution!
Mwisho wake ni baada ya Uchaguzi 2010
JK akichaguliwa tena 2010 hali itakuwa mbaya zaidi kuliko ilivyo sasa!
Kivipi? Na kwani sasa hivi ni hali gani mbaya?
mbona imefanya makosa mengi ya uhaini na hamna adhabu yeyote kutoka kwa wananchiii...!!!!CCM kupitia NEC ikifanya hivyo itakuwa imetenda kosa la UHAINI na inastahili adhabu kali toka kwa wananchi.