Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Lowassa sasa kazi imeshamshinda. Yuko busy kuficha madhambi yake. JK amtose haraka sana kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Lowassa alishasema mhusika wa Richmond atafahamika October 25,tusubiri na tuone.
Makufuli ana tofauti na rungwe wote wagombea rais ni lowasa
Pole Mzee tulisha sahau hizo VIP hivi lowasa alishinda urais[emoji2] [emoji1]Katika sakata na kashfa ya Kampuni ya Kufua umeme ya Richmond,wapo wa kuwalaumu kwa kutotamatisha sakata hili hadi leo. Si wengine ni Kamati Maalum ya Kibunge iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Dr. Harrison Mwakyembe. Wajumbe wengine walikuwa ni pamoja na Luka Seleli na Stella Manyanya.
Kwa kinywa chake mwenyewe,wakati akiwasilisha Ripoti ya Richmond,Dr. Mwakyembe alisema kuwa Kamati yake imeficha baadhi ya taarifa ili kutolitikisa Taifa. Ni taarifa gani hizo zilizofichwa? Zinamhusu nani? Zinahusu nini? Majibu ya maswali haya ndiyo yaliyofichwa na Kamati ya Mwakyembe.
Kamati ilitulaghai kwa kuficha ukweli kamili. Ndiyo maana hadi leo watanzania wamebaki njiapanda na kwenye sintofahamu kuhusu undani wa Richmond hasa umiliki wake. Kamati ya Dr. Mwakyembe ilipaswa kuwa Kamati ya kitaifa. Ilipaswa kumwaga ukweli wote. Hadi leo,mara anatajwa huyu,mara yule. Tulifichwa!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Pole Mzee tulisha sahau hizo VIP hivi lowasa alishinda urais[emoji2] [emoji1]
Kwa matokeo ya NEC ameshindwa.Mzee mimi ni shabiki wako sana naomba jibu hili mkuu yaliyopita si ndwere Mzee wetu hapa ni km story tu hebu tupe za chumbani
Kwa matokeo ya NEC ameshindwa.
Mzee Tupatupa
Tunatambua Kazi ya ukawa ni kutetea mafisadiKatika sakata na kashfa ya Kampuni ya Kufua umeme ya Richmond,wapo wa kuwalaumu kwa kutotamatisha sakata hili hadi leo. Si wengine ni Kamati Maalum ya Kibunge iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Dr. Harrison Mwakyembe. Wajumbe wengine walikuwa ni pamoja na Luka Seleli na Stella Manyanya.