Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Swali ni moja watu wanalikwepa!Nini kilichofichwa na kamati ya Mwakyembe ili nchi isitikisike?
 
Yaliyopita sindwele tugange yajayo, hata tufanye nini hakuna kinachoweza kubadilika, tunajua vizuri chama chetu.
 
Dah asee tulipigwa sana.

Ukisoma hii taarifa unaweza kulia.So hii Richmond ilikuwa ya Mamvi?
 
Huyu Lowassa sasa kazi imeshamshinda. Yuko busy kuficha madhambi yake. JK amtose haraka sana kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
2015 bado kidogo awe prezidaa.
Ilikuwaje alipata nguvu tena ndabi ya CCM baada ya hii kashfa?
 
Lakini ukiangalia hapo utaona Uongozi wa Tenesco miaka ile ndio ulikuwa unatetea Tanesco isiingie mikataba hewa ila Waziri Nishati ndio anashinikiza mkataba wa Richmond
 
Mpaka leo shirika linajiendesha kwa hasara kwa kulipa madeni kutokana na huu ufisadi wa Lowassa.

wanatokea watu wachache eti wanajifanya kuumizwa na msiba wake.
 
Li
Link haiendi banaaa
Link inaenda.Ila lazima ulilie 500 kusoma hilo gazeti la citizen.
Kwa kifupi hilo gazeti linasema kuwa bora asingejiuzulu mwaka 2008.
Lakini ukisoma ripoti ya mwakyembe hakuna jinsi angepona
 
Mpaka leo shirika linajiendesha kwa hasara kwa kulipa madeni kutokana na huu ufisadi wa Lowassa.

wanatokea watu wachache eti wanajifanya kuumizwa na msiba wake.
Nina swali kwako.
Je ina maana lowassa alikuwa anafanya maamuzi bila kumhusisha Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…