Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Labda ausubiri wa Muungano 2015....Huyu mwingine ni wa Kutangatanga mara leo, Mbunge wa Kisarwe mara Kesho Mbunge wa Zanzibar. Asubiri tu Urais wa Visiwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ausubiri wa Muungano 2015....Huyu mwingine ni wa Kutangatanga mara leo, Mbunge wa Kisarwe mara Kesho Mbunge wa Zanzibar. Asubiri tu Urais wa Visiwani.
Waziri Mkuu atakuwa mdada....
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana!
Mafisadi wanajitanua
Wanapodhani wao miungu
Walalapo wanafikiria
Jinsi gani watatuibia
Wakibambwa wanajitetea,
Wapinzani wanawaonea.
Siri zao sasa zafichuka,
Wamebaki wanaweweseka!
Wapinzani huu ndio wakati muafaka wa kufanya maandamano ya kuunga mkono ripoti ya Dr Mwakyembe (regardless yeye ni CCM) na pia kushinikisha Serikali na hasa JK amwajibishe Lowassa, Msabaha, Karamagi na wote waliotajwa kwenye Riport.
mbona leo jina lako halipo kwa maandishi ya KIJANI?
Rostam ni mafia...haongeia sana na wala hajipeleki kimbelembele kwenye haya madudu; yeye anatuma wakina Lowassa, Karamagi pamoja na JK mwenyewe wamfanyie kazi zake chafu. Ameitwa na hii kamati teule amekataaa...inathibisha wazi kuwa RA hagusiki; JK anajua hilo, Lowassa anajua, na wabunge wote wanajua.
Currently Active Users Viewing This Thread: 288 (77 members and 211 guests) kakindomaster said:HIstoria imewekwa, naomba kuwakaribisha MAFISADI wote, Nazir, Aziz, Edward........, waje wachungulie hapa