Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Kama vile ambavyo hukawii kubadili majina ukishaona umezidiwa, ulipoona kwenye dini kuna mtoto tu uakanza, hata mimi mkuu si unajua kuwa hujawahi kuniburuza ingawa unaburuza wnengi sana hapa, pole sana sio mimi.

Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, jamani watu weweeeeeeeeee...... you have to prove hayo majina mengine ninayotumia, mention them. Haiwezekani ujue watu wanabadili majina hapa , labda iwe ndio mchezo wako wa kawaida! unamanage vipi hiyo kitu?

Mwakyembe kwa hili ni blunder, especially kwa profession yake ya uanasheria he should have known better the implication of his statements.
 
Kubobea kwenye uanasheria bado hakumpi haki ya kuamua nini cha kuandikwa/kutoandikwa. Alitakiwa aitoe ripoti kamili na siyo nusu nusu au robo robo. Sheria ipi iliyomruhusu Mwakyembe kuamua kwamba kuna baadhi ya mambo hayastahili kuandikiwa ili 'kulinda heshima ya serikali' vimwage vipengele vyake hapa tuvijadili.

Mkuu hapa ndipo unaposhindwa kuelewa, kuna sheria zilizomsimamisha kutosema yote zipo tena zipo wazi, ndio maana juzi Pinda alisema kuwa Meremeta ni ya jeshi, ukawa ndio mwisho wa habari mbona hujawalaumu wabunge kwa kuwa kimyaa baada ya hapo?

Hakuna sheria yoyote inayolinda ufisadi unaofanywa na mafisadi wachache dhidi ya Watanzania.

Hakuna sheria inayolinda mafisadi, lakini ipo sheria inayoilinda serikali na siri zake.
 
Hivi Sasa Tukishakubali Mwakyembe Ni Fisadi..whats Next?
 
Majina...anza Kuhani Na Mama Na Bubu...weka Majina Ya Wale Ambao Si Mafisadi Huko Serikalini.

ungekuwa mstaarab ungeanza kuwataja wewe, haya "Anne Kilango", wa pili "Kimaro", wa tatu "Mwakyembe", wa nne "Kikwete", wa tano "Marehemu Ballali", "Chenge" , "Mkono" nae karibuni atapewa note of confidence.....haya endeleza list
 
Mwakyembe kwa hili ni blunder, especially kwa profession yake ya uanasheria he should have known better the implication of his statements.

Naona umeanza kucheka kama kawaida yako, mimi huwa sicheki kwenye ishu uhimu kama hii ya taifa, Mwakyembe anajua wazi sheria inapoanzia na kuishia, hajafanya kosa lolote kwa sababu kuna record nyingi sana za kutoa siri za serikali na implication zake kwa serikali, ndio maana Mwandishi Balinagwe alifungwa kule Mtwara kwa kutoa siri za serikali,
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, jamani watu wewe...... you have to prove hayo majina ninayatumia. Haiwezekani ujue watu wanabaidili majina hapa, labda iwe ndio mchezo wako!

Mwakyembe kwa hili ni blunder, especially kwa profession yake ya uanasheria he should have known better the implication of his statements.

Mimi siku hizi naanza ku doubt ma "Johny Cochran" wa Tanzania. Nimemsikiliza huyu Mwakyembe, Tundu Lissu, Nimrod Mkono, na ma prominent lawyer wa Bongo wengine kina Chenge na kina Sitta, Bomani, Jaji Ramadhani mwenyewe, yani unamsikiliza unasema....kama wamarekani wanavyosema...'he is allright!

By the way, eenhe tumbie, mchezo wa kutumia majina mengi umeanza lini? Au wewe ndio Mzee Mwanakijiji? LOL!
 
ungekuwa mstaarab ungeanza kuwataja wewe, haya Anne Kilango, wa pili Kimaro, wa tatu Mwakyembe, wa nne Kikwete, wa tano Marehemu Ballali.....haya endeleza list

Sasa kama unayajuwa hayo yote huu mjadala una kazi gani sasa.
 
Naona umeanza kucheka kama kawaida yako, mimi huwa sicheki kwenye ishu uhimu kama hii ya taifa, Mwakyembe anajua wazi sheria inapoanzia na kuishia, hajafanya kosa lolote kwa sababu kuna record nyingi sana za kutoa siri za serikali na implication zake kwa serikali, ndio maana Mwandishi Balinagwe alifungwa kule Mtwara kwa kutoa siri za serikali,

Lazima nicheke mtoto wa kike to know how dumb and pathetic you are, I must question your credibility also. Mtu jambo moja linamfanya shujaa kiasi asiguswe!!!! You are a damn fool flag.
 
Hakuna haja kuzunguka round about kama wenda wazimu.
Mijadala ya ufisadi haijaanza leo hapa jf!
Wengine naona mmepewa kazi lakini tunawajuwa kwa midomo yenu!
kazi ya kusutana tunaifahamu ndio professional!
Aliyewatuma amekosea!
Hamwendi kwa data...Malengo yenu ni ya kisiasa na wala si kutafuta ukweli.
 
Mimi siku hizi naanza ku doubt ma "Johny Cochran" wa Tanzania. Nimemsikiliza huyu Mwakyembe, Tundu Lissu, Nimrod Mkono, na ma prominent lawyer wa Bongo wengine kina Chenge na kina Sitta, Bomani, Jaji Ramadhani mwenyewe, yani unamsikiliza unasema....kama wamarekani wanavyosema...'he is allright!

By the way, eenhe tumbie, mchezo wa kutumia majina mengi umeanza lini? Au wewe ndio Mzee Mwanakijiji? LOL!

kwi kwi kwiiii, Call me mwanakijiji, "lula wa nzela mwanzali", madela wa madilu, Yournameismine, Sam, Kuhani na nani mwingine vile. With due respect mwanakijiji and others.
 
I must question you credibility also. Mtu jambo moja linamfanya shujaa kiasi asiguswe!!!! You are damn fool flag.

Mama ona incoherence ya huyo mtu.

Yani jamaa ana ma issueeeeeeeees ya ajabu. Yani sijui nini tatizo la huyo Mkuu.

Hawezi kujadili kitu bila kukwambia anakujua. Ha haa aaaa

Halafu usithubutu kumkosoa. Kisa, analeta mi 'dataz' hapa. Amazing!
 
Mama,
Hivi kweli mnafahamu jinsi report inavyotayarishwa?... Kuna mtu kawambia kuwa hiyo tume ilikuwa kutafuta watu waliohusika na mkataba wa Richmond au?... Kwanza ni vizuri mfahamu utaratibu kabla hamjarukia mambo.. nakuombeni someni tena report ya Mwakyembe mtaona kwamba vitu vingi kaviacha ili korti (Bunge) lipate kujadili..
Swala lilikuwa uhalali wa Mkataba wa Richmond....
Hata report ya Zitto kuhusiana na Buzwagi kuna watu wengi wengine wanahusiaka amabo Zitto anaweza kuwa anawafahamu lakini hawezi kuwataja bila kuwepo na sheria itakayo ruhusu Upelelezi kuhisiana na wahusika...
Mwakyembe ktk mapendekezo yake ni wazi aliweka vitu wazi na ilikuwa ni kazi ya serikali kuamua kusuka ama Kunyoa.
Tazameni report ya wahasibu wa Ernst and Young ilitaja watu waliohojiwa na kuhusika na mahojiano lakini hakuna hata sehemu moja wamewataja watu wote waliohusika kuhujumu.. Sii kazi yao na ndio maana Kikwete akawakabidhi kina Said Mwema..

Sasa imekuwaje serikali ktk swala hili la Richond wamekataa kabisa kulizungumzia tena Bungeni kwa kuweka kanuni chafu halafu hata Kikwete hakuchagua timu maalum ya kuhakikisha fedha zetu zinarudi kama alivyofanya ktk sakata la EPA..
Kwa sababu kule EPA kuna samaki wadogo kina Johnson ambao wamaweza kutumiwa kama chambo cha kufuta madhambi, lakini ktk sakata la Richmond, Buzwagi, IPTL, Rada na kadhalika kuna ma Sangara!..
Hivyo wakuu report ni report ya kile kilichotokea haina maana wahusika ndio kweli wenye deal.. Mimi kama karani naweza kupitisha kitu ambacho nimepewa amri na fulani.. Tulimsikia Msabah akisema yale ya Bangusilo.. tumemsikia Mwakyembe akimtaja Lowassa na Rostam wazi wazi.. mlitaka aseme kipi zaidi ikiwa report yenyewe haitakiwi kuwekwa wazi bungeni ikajadiliwa kama wanavyofanya Marekani kuunda tume (ktk senate) kusikiliza kesi nzima tena mahojiano huwa LIVE!
Kumbukeni kwa sababu Mwakyembe na watu wake hawakuwa na sheria, watu kama Rostam alikataa kuhudhulia wala kusema chochote na hakuna sheria inayomlazimu kwa sababu ile ni kamati tu ya uchunguzi, lakini kama ni kikao cha wakulu Bungeni na wamepewa baraka za rais au Spika, Rostam lazima atakuja kujieleza..Ndicho alichoomba Mwakyembe na hakika Mwakyembe angeweza kusema mengi zaidi kwa sababu yupo under orth na Bungeni! ....Hakuna mkubwa pale sheria inakuwa msumeno.
 
Hakuna haja kuzunguka round about kama wenda wazimu.
Mijadala ya ufisadi haijaanza leo hapa jf!
Wengine naona mmepewa kazi lakini tunawajuwa kwa midomo yenu!
kazi ya kusutana tunaifahamu ndio professional!
Aliyewatuma amekosea!
Hamwendi kwa data...Malengo yenu ni ya kisiasa na wala si kutafuta ukweli.

Malengo yenu na nani, simo mimi huko kwenye malengo yenu ya kisiasa, mimi niko kwa malengo ya ukweli. Hizo siasa za uongo na kulindana ndizo zinazopelekea umaskini kila siku kwa sababu hamtaki ukweli. Damn na siasa zenu zisizo na ukweli! Data my ...t, I am not a professional data collector.
 
Mama,
Hivi kweli mnafahamu jinsi report inavyotayarishwa?... Kuna mtu kawambia kuwa hiyo tume ilikuwa kutafuta watu waliohusika na mkataba wa Richmond au?... Kwanza ni vizuri mfahamu utaratibu kabla hamjarukia mambo.. nakuombeni someni tena report ya Mwakyembe mtaona kwamba vitu vingi kaviacha ili korti (Bunge) lipate kujadili..
Swala lilikuwa uhalali wa Mkataba wa Richmond....
Hata report ya Zitto kuhusiana na Buzwagi kuna watu wengi wengine wanahusiaka amabo Zitto anaweza kuwa anawafahamu lakini hawezi kuwataja bila kuwepo na sheria itakayo ruhusu Upelelezi kuhisiana na wahusika...
Mwakyembe ktk mapendekezo yake ni wazi aliweka vitu wazi na ilikuwa ni kazi ya serikali kuamua kusuka ama Kunyoa.
Tazameni report ya wahasibu wa Ernst and Young ilitaja watu waliohojiwa na kuhusika na mahojiano lakini hakuna hata sehemu moja wamewataja watu wote waliohusika kuhujumu.. Sii kazi yao na ndio maana Kikwete akawakabidhi kina Said Mwema..

Sasa imekuwaje serikali ktk swala hili la Richond wamekataa kabisa kulizungumzia tena Bungeni kwa kuweka kanuni chafu halafu hata Kikwete hakuchagua timu maalum ya kuhakikisha fedha zetu zinarudi kama alivyofanya ktk sakata la EPA..
Kwa sababu kule EPA kuna samaki wadogo kina Johnson ambao wamaweza kutumiwa kama chambo cha kufuta madhambi, lakini ktk sakata la Richmond, Buzwagi, IPTL, Rada na kadhalika kuna ma Sangara!..
Hivyo wakuu report ni report ya kile kilichotokea haina maana wahusika ndio kweli wenye deal.. Mimi kama karani naweza kupitisha kitu ambacho nimepewa amri na fulani.. Tulimsikia Msabah akisema yale ya Bangusilo.. tumemsikia Mwakyembe akimtaja Lowassa na Rostam wazi wazi.. mlitaka aseme kipi zaidi ikiwa report yenyewe haitakiwi kuwekwa wazi bungeni ikajadiliwa kama wanavyofanya Marekani kuunda tume maalum inayosikiliza kesi nzima...
Kumbukeni kwa sababu Mwakyembe na watu wake hawakuwa na sheria, watu akam Rostam alikataa kusema chochote na hakuna sheria inayomlazimu lakini kama ni bungeni na wamepewa baraka za rais au Spika, Rostam atakuja kujieleza..

I have been to the retreats preparing reports, so dont ask how the reports are written. Mwenyekiti wa kamati anainfluence kubwa kwenye what has to be written, kama mabadiliko yanatakikana Tanzania, basi ukweli lazima usemwe, sio kuwa na double standards. Watu wote wawe responsible for their actions, sio kuchagua mara mwakyembe mara Kilango. They are doing a good job but checks and balances cant exclude them.
 
Bottom line hapa ni KIKWETE AMBAYE KESHAPEWA RIPOTI!
AIFANYIE KAZI NA HAYA YOE YATAJULIKANA MAHAKAMNI!
HAPA NAONA NI LOWASSA ANASAFAISHWA KIAINA!
 
Back
Top Bottom