Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

Mkuu hapa ndipo unaposhindwa kuelewa, kuna sheria zilizomsimamisha kutosema yote zipo tena zipo wazi, ndio maana juzi Pinda alisema kuwa Meremeta ni ya jeshi, ukawa ndio mwisho wa habari mbona hujawalaumu wabunge kwa kuwa kimyaa baada ya hapo?



Hakuna sheria inayolinda mafisadi, lakini ipo sheria inayoilinda serikali na siri zake.


Sasa mbona juzi bungeni alitishia kuyazungumza hayo ambayo hakuyaandika katika ripoti ile? Je angeomba hizo sheria zifutwe kwanza ili ayazungumze halafu akishamaliza kuyazungumza zirudishwe vitabuni? au angeamua tu kuzidharau sheria hizo?

Kwani hujasikia au kusoma baadhi ya wabunge bado wanahoji kuhusu Meremeta pamoja na kuwa Pinda kasema kuwa Meremeta ni ya jeshi? Na bado wabunge hao hawajakubali kwamba kauli ya Pinda ndiyo imefunga mjadala huo? Soma hapa chini


BREAKING: Zitto asema Meremeta ni wizi

--------------------------------------------------------------------------------

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ameliambia Bunge kwamba, suala la Meremeta ni wizi na halina uhusiano na mambo ya ulinzi na usalam. Anaendelea kunguruma. Amesema USALAMA wa TAIFA HAINA MENO


Re: BREAKING: Zitto asema Meremeta ni wizi

--------------------------------------------------------------------------------

MEREMETA: The inside story


-Plus the questions that just won't go away


THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE involvement of the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) in the controversial Meremeta Limited formally ceased in 2005/06 after the joint venture company between the government and South African investors was officially dissolved, impeccable sources have revealed to THISDAY.

Insiders familiar with the whole saga say that, contrary to Prime Minister Mizengo Pinda’s claims in the National Assembly last week that the now-defunct company was a classified military project, the army was never involved in subsequent deals involving TANGOLD and Deep Green Finance.

According to these sources, Meremeta Ltd was initially registered in the Isle of Man, United Kingdom in April 1997, and received certificate of registration number 3424504.

Going by official government records, Meremeta was registered as a 50-50 joint venture project between the Tanzanian government and Triennex (PTY) Limited of South Africa.

However, other strong evidence indicates the presence in Meremeta�s affairs from the outset of at least two British legal firms, London Law Services Ltd and London Law Secretarial Ltd, both described as ’nominal shareholders.’

In October 1997, the company was given certificate of compliance number 32755 by the Business Registration Licensing Authority (BRELA), allowing it to formally operate in Tanzania.

Working in collaboration with the TPDF at the Buhemba open pit gold mine in Mara Region, Meremeta officially began gold mining operations in February 2003, with its operations being heavily financed by Tanzanian taxpayers through the Bank of Tanzania (BoT).

In 2005, the Meremeta company announced it had produced 2,075 kilogrammes of gold at a cash cost of $384 per troy ounce of gold.

Apart from the Buhemba gold mine, Meremeta also held the Kilamongo and Mwizi deposits, both located south of Buhemba, and the Nyasanero deposit.

But then in 2006 - only a year after officially beginning gold production the company declared bankruptcy, and was formally dissolved.

’’With the dissolution of Meremeta, both the TPDF and the South African company (Triennex) formally pulled out of gold mining activities at Buhemba,’’ said one of our well-informed sources, adding: ’’So officially, any military involvement in the Meremeta project ended in 2006 when the company was declared bankrupt.’’

Insiders further say the initial involvement of the TPDF in the Buhemba gold mining operations was aimed at raising funds to finance its cash-strapped vehicle manufacturing division - Tanzania Automotive Technology Centre, better known as the Nyumbu project.

It is understood that Meremeta was also set up to assist in developing the country’s informal gold mining sector.

Official government records show that as Meremeta Ltd was winding up its operations, the BoT paid more than $118m (approx. 150bn/-) to Nedcor Trade Services Limited after having guaranteed a loan from the South African firm to Meremeta.

The BoT raised the funds to pay off the loan to Meremeta through a controversial 155bn/- Treasury bond, in a transaction that raised serious queries from auditors.

Following the liquidation of Meremeta Ltd, the Ministry of Energy and Minerals announced in Parliament that a wholly-owned government company, TANGOLD Limited, had been formed and assumed all Meremeta company assets, including the Buhemba gold mine.

Investigations by THISDAY have already established that the BoT paid another $13.34m (approx. 17bn/-) to TANGOLD through an account at the National Bank of Commerce Limited’s Corporate Branch in Dar es Salaam.

TANGOLD was initially registered as an offshore company in Mauritius in April 2005, with its address listed as Suite 520, Barkly Whart, Le Caudan Waterfront, Port Louis.

In February 2006, the company was registered in Tanzania, with its local shareholders including former BoT governor Daudi Ballali (now deceased); the then Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge; and the Permanent Secretary in the Ministry of Finance, Gray Mgonja.

Other TANGOLD shareholders are the current PS in the Ministry of Water and Irrigation, Patrick Rutabanzibwa; and the then permanent secretary in the Ministry of Livestock Development, Vincent Mrisho.

Although the Ministry of Energy and Minerals claimed that TANGOLD was 100% owned by the government, it has failed to explain why the company was registered in Mauritius and not Tanzania, and why its articles of association give the listed shareholders permission to transfer all or part of their shares to their next of kin.

TANGOLD is also not listed at the Treasury Registry among companies partly or wholly-owned by the government, and has thus not been subjected to statutory auditing by the Controller and Auditor General (CAG).

When addressing the National Assembly in Dodoma last Friday, premier Pinda appeared evasive to the point of fumbling in his attempts to answer queries from opposition members of parliament regarding Meremeta, TANGOLD and Deep Green Finance Limited.

His reference to the controversial Meremeta question as a ’’military affair and therefore one of national security’’ in particular only served to raise more questions rather than provide any answers to the mystery.
 
Na kama kuna wananchi wanufuatilia mjadala huu...Nataka niwaambie hiki..
Hawa watu wanaosema MWAKYEMBE alificha kitu wana yao.
Ina maana wanataka kusema ripoti ni BATILI...Na hivyo waunde nyingine!
Ni upotevu wa pesa!
Na mkitaka kusema kuwa MWAKYEMBE SI SAFI...THEN NA MIMI NITASEMA ZITTO SI SAFI!
ALIKUWA KWENYE KAMATI YA MADINI NA FISADI LA EPA!
MJADALA UANZE...
 
Mimi binafsi sioni sababu ya mabishano na kuanza kuoungukiwa na imani kuhusu Dr Mwakyembe, yeye ni mtanzania na nina imani amelelewa katika mazingira ya heshima za kiafrika. Kwahiyo kwa kutosema yote kwenye kamati inawezekana ni katika kuendeleza yaale maadili ya uafrika wetu, mfano, katika familia, mtoto umeona baba kaiba pengine kuku wa jirani au jumuiya mnayoishi, na watu wanauliza eti nani kaiba kuku, utasema mwizi ni baba yangu????? tusimlaumu sana Mwakyembe, pengine baba wa familia au mama yumo pia, katika kulinda heshima akajikuta amewataja indirect, (maana sidhani kama walificha issue nzima).
Pili, kwanini tusisubiri mpaka tupate wasaa wa kumsikia Mwakyembe mwenyewe akieleza sababu za kutosema yote, kuliko kumuhukumu kuwa nae ni fisadi, hii itaonyesha kama hatuna shukrani watanzania, alijitahidi kumfunga paka kengele, ndio maana sasa tunaongea haya tunayoyaongea. Jamani mara moja moja tuonyeshe appreciations!!!
Go Go Mwakyembe, ila fafanua tafadhali kwanini hamkusema yote.
 
... mwakyembe mara Kilango. They are doing a good job but checks and balances cant exclude them.

Mama you are on a hot streak here.

Hiyo concept ya "Shujaa but..." haieleweki hapa.

Haieleweki kabisa. Utaitwa Mrs. Chiligati!
 
Si Nilikuuliza Nani Ni Safi Ukasema Nikamwulize Babu Yangu?
Kimeniuma..sana..babu Yangu Alipokufa Nilishindwa Kumzika!
Alikuwa Kipenzi Changu!
Alimpiga Mkoloni Kisawa Sawa!
 
Na kama kuna wananchi wanufuatilia mjadala huu...Nataka niwaambie hiki..
Hawa watu wanaosema MWAKYEMBE alificha kitu wana yao.
Ina maana wanataka kusema ripoti ni BATILI...Na hivyo waunde nyingine!
Ni upotevu wa pesa!
Na mkitaka kusema kuwa MWAKYEMBE SI SAFI...THEN NA MIMI NITASEMA ZITTO SI SAFI!
ALIKUWA KWENYE KAMATI YA MADINI NA FISADI LA EPA!
MJADALA UANZE...

Alisema mwenyewe kwa mdomo wake, hakuna aliyemzulia. Akanushe kwamba hajasema kwamba kuna mambo ambayo hajayasema katika ile report. Sema Mwakyembe, I salute you elite.
 
Nani kasema hajafanya kazi nzuri?

Kwa nini haingii akilini kwa wengi kusema shujaa kakosea?

Kwani ye Nyerere mpaka asikosee?[/QUOTE]


Ina maana Nyerere hakukosea?! This's childish!
 
Na Zitto Unayemwita Safi..mwambie Na Yeye Adai Ripoti Aliyopewa Sinclair!
Aidai...mwakyembe Keshatoa Ya Kwao..tunataka Ya Madini..ili Tuanze Mjadala Upya!
Mwakyembe Keshawasilisha Kazi Yake!
Ni Shujaa!
 
Mama you are on a hot streak here.

Hiyo concept ya "Shujaa but..." haieleweki hapa.

Haieleweki kabisa. Utaitwa Mrs. Chiligati!

kwi kwi kwi, mwakyembe and the team wametayarisha ile report na akaisoma pale. Thats a good job. I commend it as before.

The question comes to the elite guy as why he didnt say it all, and why mentioning that he didnt say it all four months after it was read to the members Parlmt?
 
Na kama kuna wananchi wanufuatilia mjadala huu...Nataka niwaambie hiki..
Hawa watu wanaosema MWAKYEMBE alificha kitu wana yao.

That is almost ridiculous. A bunch of hooey.

Mwakyembe said that, not us!

Did you follow it?

Wewe ulifuatilia huu mtafaruku huu kweli?

Tafadhali Mushi!

Mwakyembe himself said that. Please!
 
Na Zitto Unayemwita Safi..mwambie Na Yeye Adai Ripoti Aliyopewa Sinclair!
Aidai...mwakyembe Keshatoa Ya Kwao..tunataka Ya Madini..ili Tuanze Mjadala Upya!
Mwakyembe Keshawasilisha Kazi Yake!
Ni Shujaa!

mwambie mwenyewe,mfyuuuu usinipangie kazi.
 
NA ZITTO ALISEMA NINI?
SI ALISEMA JUZI KUWA KULIKUWA NA WAFANYA BIASHARA KAMATINI NA HIVYO TARATIBU KUKIUKWA..HAKUONA HILO?
HAKUJUA KUWA IDDI SIMBA NDIYE FISADI LA EPA KWA KUTUMIA CHEO CHAKE CHA ccm WAZAZI?
YOU GIMME A BREAK..
 
Si Nilikuuliza Nani Ni Safi Ukasema Nikamwulize Babu Yangu?
Kimeniuma..sana..babu Yangu Alipokufa Nilishindwa Kumzika!
Alikuwa Kipenzi Changu!
Alimpiga Mkoloni Kisawa Sawa!

Uliponiita changudoa ulidhani haikuniuma sana! mkuki kwa nguruwe tu, ila akichomwa binadamu unauma.
 
Nani Alimpa Sinclair Ripoti Ya Madini?
Nyie Badala Ya Kuulizia Issue Nyeti Mnaleta Mambo Hayo!
 
Nani Alimpa Sinclair Ripoti Ya Madini?
Nyie Badala Ya Kuulizia Issue Nyeti Mnaleta Mambo Hayo!

Kwani hilo hatujauliza?

Si lilifumuliwa hapa hilo sakata la Sinclair, au?

Mwakyembe asikosolewe kwa sababu Sinclair kapewa siri ya ripoti na Ikulu ya Kikwete
 
kwi kwi kwi, mwakyembe and the team wametayarisha ile report na akaisoma pale. Thats a good job. I commend it as before.

The question comes to the elite guy as why he didnt say it all, and why mentioning that he didnt say it all four months after it was read to the members Parlmt?
The elite guy didn't say it all!
SOMEBODY SAID NOTHING!
WAPI NA WAPI?
SI AFADHALI YAKE IMESOMWA?
YA ZITTO IKO WAPI ZAIDI YA KWA SINCLAIR?
 
Kama Mwakyembe Didn't Say It All...so As Somebody Else...matter Of Fact...somebody Said Nuttin!
 
Tunakubaliana na Mwakyembe
Tanzania Daima~Sauti ya Watu

TUMEGUSWA sana na kauli ya Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM), aliyoitoa mwishoni mwa wiki hii bungeni, akitakata Spika wa Bunge aruhusu kuvunjwa kwa kanuni za Bunge ili kutoa fursa kwa wabunge kulijadili kwa kina sakata la Richmond.

Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe ina uzito wa pekee kulingana na mwenendo wa mambo ulivyo sasa nchini, kuhusu jinsi suala hilo lilivyoshughulikiwa na Kamati Teule ya Bunge iliyoteuliwa kuchunguza utata wa mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura kati ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Kampuni ya Richmond ya Marekani. Dk. Mwakyembe alikuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.

Tangu kusomwa kwa ripoti ya kamati hiyo iliyosababisha kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, pamoja na mawaziri wengine - Nazir Karamagi, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini; na Dk. Ibrahim Msabaha, aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Dk. Msabaha alikuwa Waziri wa Nishati na Madini wakati mkataba wa Richmond unasainiwa mwaka 2006.

Haja ya suala hili kuwa na mjadala mpana zaidi, ilianza kuonekana baada ya Dk. Mwakyembe kumaliza kusoma ripoti yake. Lowassa aliyetajwa katika ripoti hiyo na kutakiwa kupima mwenyewe uzito wa yaliyoelekezwa kwake, aliamua kujiuzulu huku akilalamika kuwa amedhalilishwa sana, amesononeshwa sana pia kuonewa na ripoti hiyo.

Karamagi naye hakukubaliana moja kwa moja na ripoti hiyo na hadi sasa hakubaliani nayo na amekwishatamka kuwa anatamani suala hilo lichunguzwe na majaji na ikibainika kuwa alihusika kwa namna yoyote na kashfa ya Richmond, ataachia wadhifa wa ubunge.

Mbali na hao, kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na malumbano makali bungeni yanayowahusisha wabunge, baadhi wakipinga jinsi suala hilo lilivyoshughulikiwa hadi kuwalazimisha baadhi ya vigogo kuachia nyadhifa zao, na wengine wakikubaliana na ripoti ya kamati na hatua ya vigogo hao kuaachia madaraka waliyokuwa wakishikilia.

Haya yote yanaonyesha kuwa wapo wananchi, wabunge na mawaziri ambao hawakuridhiki na ripoti ya kamati na hata uamuzi wa bunge, jambo lililoonyesha ulazima wa suala hilo kurejeshwa bungeni ili lijadiliwe upya.

Sababu nyingine kubwa inayofanya tukubaliane na kauli ya Dk. Mwakyembe ya kutaka Spika avunje kanuni na kurejesha suala la Richmond bungeni ni kuwa watayaanika hata yale ambayo walibaki nayo moyoni kwa ajili ya kuinusuru serikali.

Hapa ni dhahiri kuna madudu mengine katika suala hili yaliyogunduliwa na kamati ambayo hayakuwekwa katika ripoti iliyosomwa na Dk. Mwakyembe.

Katika hali tuliyo nayo sasa ya viongozi wa nchi yetu kuandamwa na kashfa za ufisadi na matumuzi mabaya ya madaraka, tunadhani si jambo jema kuficha ukweli wa jambo lolote kwa ajili ya kumsuru mtu au serikali.


Aidha, inawezekana pia hata waliotajwa wanalalamika kwa sababu wanajua kuwa ripoti hiyo ilitoa upendeleo kwa baadhi ya wahusika wa kashfa hiyo, ambao haikuwataja na hadi sasa wanaendelea kula raha kana kwamba ni wasafi kuliko hao wanaolalamika kuonewa na kamati.

Tunaamini alichokisema Dk. Mwakyembe ndicho kinachotakiwa kufanyika, ili ipatikane fursa ya kujua nani mkweli na kumaliza hali tete iliyopo sasa kuhusu ripoti ya kamati na uamuzi wa Bunge.
 
Sasa mbona juzi bungeni alitishia kuyazungumza hayo ambayo hakuyaandika katika ripoti ile? Je angeomba hizo sheria zifutwe kwanza ili ayazungumze halafu akishamaliza kuyazungumza zirudishwe vitabuni? au angeamua tu kuzidharau sheria hizo?

Off course, angeomba sheria iwekwe pembeni kwanza ili aweze kusema, ni bunge peke yake ndilo linaweza kubadili sheria au kuiweka pembeni lakini Mwakyembe ahwezi on his own capacity kama mbunge aamue kuiweka sherria pembeni.

Kwani hujasikia au kusoma baadhi ya wabunge bado wanahoji kuhusu Meremeta pamoja na kuwa Pinda kasema kuwa Meremeta ni ya jeshi? Na bado wabunge hao hawajakubali kwamba kauli ya Pinda ndiyo imefunga mjadala huo? Soma hapa chini

Wabunge hawahoji Meremeta ila wana-generalize kuwa ilikuwa ni wizi, wangekuwa wanahoji basi wangewataja wahusika wa Meremeta kwani Zitto hawajui wanaohusika na huo wizi? Hata mimi ninawajua lakini inaeleweka wazi kuwa Waziri Mkuu amesema ni mali ya jeshi, basi kisheria hakuna majadiliano tena.

Mwakyembe amefanya anayoweza kama mbunge na mwenyekiti wa kamati, kule ndani ya bunge hakuna mbunge hata mmoja wa ccm wala upinzani aliyedai hayo kwani hawakuiona kuwa ripoti ina sehemu imezibwa?
 
Kwahiyo naomba munieleweshe hapa...Ina maana MWAKYEMBE ANATAKA IZUNGUMZIWE UPYA BUNGENI?
 
Back
Top Bottom