Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya October 29 inatakiwa kutoka leo

Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya October 29 inatakiwa kutoka leo

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tume hii ilianzishwa na Samia November 18, 2025 na aliipa miezi mitatu
Miezi 3 imetamatika Leo

Au ripoti anapewa Samuya haifiki Kwa jamii
 
Kama itatoka leo, mbona anga la tanzania halioneshi kuwa kuna ripoti itatolewa leo? Hakuna tukio la kushitua lililotokea hadi mchana huu!
 
Tume hii ilianzishwa na Samia November 18, 2025 na aliipa miezi mitatu
Miezi 3 imetamatika Leo

Au ripoti anapewa Samuya haifiki Kwa jamii
labda mpaka aipitie kwanza aone kama inamdis au kumlike ndio aipitishe isomwe kwa wananchi!
 
Kama itatoka leo, mbona anga la tanzania halioneshi kuwa kuna ripoti itatolewa leo? Hakuna tukio la kushitua lililotokea hadi mchana huu!
Siku ya kutoka ni Leo sijui wanagonja nini?
 
Yaani mauaji yameua yenyewe kisha yanajichunguza yenyewe yani kazi kwelimkweli nikiliangalia lile zee lenye mashavu kama bull dog na sigda kabisa kana kwamba linaswali shuwaini lile napata tabu sana yaani unapewa kazi na liuaji unakubali kabusa kwenda kuweka heshima yako rehani kisa vijisenti tu, wazee wanatakiwa kuridhika ,umri wenyewe wa majeruhi huu zee linakubali kutumika kama condom. Kama uneshakua jaji mkuu na umestaafu kwa heshma zote na hela umepewa na unaendelea kupewa yanini kujidhalilisha kisa umeambiwa na jike shupa ukafanya maigizo? Pale hakukuwa na tume bali uhuni tu Matako Yao.
 
Back
Top Bottom