Ripoti ya Upambanaji wa rushwa na Ufisadi kimataifa - Tanzania yang'ara

Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Good Sana
 
Kazi na iendelee
 
Nimeshtuka kuona eti Tanzania yang'ara. Kwa alama hizo ni bado kazi ni kubwa sana. Badala ya kusema yang'ara ulitakiwa kusema mapambano dhidi ya rushwa yameimarika
 
Ni hatua nzuri tulikofikia
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
Hoja za msingi sana,
 
Kazi iendelee Mama
 
Safi sanaaa,
 
Safi Sana Tanzania
 
Viva Tanzania
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Tuendelee kuchapa kazi tuko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…