Wanaolamba asali nao ni ufisadi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaolamba asali nao ni ufisadi tu
Wakati wenu huu waganga wa kienyejiNi kipindi cha waganga wa kienyeji pia kupiga hela ndefu
Sidhani kama hawajui zilipo, ni suala la taratibu tu. Nigeria walirudishiwa mahela ambayo Sani Abacha aliwekeza huko Ulaya/ MarekaniKama hamjui zilipo ni uzembe wa waliopo, maana hayupo ambaye huzikwa na pesa.
Kama unalamikia mifumo mibovu ya kudhibiti wizi wa Mali ya umma kama TAKUKURU nk nk, unataka nasi tulalamike?Mfuate kaburini Chato akakupe u DC wa wilaya ya kuzimu.
Wakati wenu huu waganga wa kienyeji
Kama nakuona unavyopiga chapaa
Magufuli alikuwa na characters hizo lakini aliishia kujilimbikizia yeye na koikundi chake kidogo. Wao akina Magufuli, Biswalo Mganga, Makonda, Sabaya, Kabudi, Dotto James, Polepole ndiyo walikuwa wanaruhusiwa kufanya UFISADI.Ni sawa kabisa, tukiletewa Rais mkali,Asiye na haya usoni, mwenye udiriki kuchukua hahatua.m
Ongezea Tisi, poliki, tukururu. Sasa fikiria yule wa mil 40 ushee usd, yule ukikomaa naye anakuua. Kipi bora uchukue rushwa upindishe au ukomae jamaa akutafutie wauaji darkweb wakuue tena kwa sumu????? We’re the generation ya wezi na mafisadi, wizi na ufisadi tanzania ni sifa, ukiuzuia na kuwashughulikia unaonekana adui mkubwa kama naadhi ya mafisadi na wezi walioshughulikiwa na Dkt Magufuli wanaoonekana hawaamini kama walibanwa na sasa wanatanua. Kwa ufupi hata kama ningekuwa mi mshikilia hizo kesi ningekula rushwa kupindisha ili niendelee kulea watoto wangu. Wizi na ufisadi Tanzania tunahitaji aje mtu kama Dkt Magufuli mwingine au Rais Dkt Samia amalizane nao kimya kimya.Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga.
Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia nchini kwa sasa National Audit Office iliyo chini ya CAG ikawa ni ya pili kwa umahiri baada ya TPDF.
Ninachotaka kuwatahadharisha Watanzania wenzangu ni kwamba MSITEGEMEE makubwa yeyote kutoka hii TAASISI ya TAKUKURU kwa hao wanaotuhumiwa na CAG. Kwa kiasi kikubwa watuhumiwa wa ufisadi kwenye ropoti ya CAG ya 2021/22 watakwenda kugawana UFISADI na Maafisa wa TAKUKURU.
Wanaofikishwa Mahakamani na TAKUKURU ni wale wenye kesi za rushwa ndogo kama Mapolisi, Mahakimu, Manesi au Waalimu. Na hawa wanapokea kati Tsh 50,000 hadi Tsh 1,000,000.
Hawa wenye mabilioni wanagawana na maofisa TAKUKURU halafu ushahidi unavurugwa kwa kunyofoa nyaraka muhimu kwenye majalada au kupoteza jalada zima.
Kuna principle ya 'Quis custodiet ipsos custodes?' kwa Kiingereza who watches the watcher. Ni nani anayemchunguza TAKUKURU kwa Tanzania?
Ni wakati sasa Serikali kupitia Bunge likaweka chombo cha kuikagua TAKUKURU, kinyume cha hapo ni kutoitendea haki CAG na timu yake.
Au Serikali kupitia Bunge ibadili sheria ili CAG mwenyewe awafikishe Mahakamani watuhumiwa wake. Assuming kuwa anajengewa uwezo wa ku prosecute.
Tusijeshangaa hapo baadaye naye CAG akaacha kuripoti hizi kashafa kwa KUMALIZANA na watendaji huko huko, kwa kuwa kazi yake inaishia kuwatajirisha maafisa TAKUKURU
Magufuli alikuwa anafanya KAZI alotumwa na wananchi ya kuhakikisha PESA za wananchi zimerudi.Magufuli alikuwa na characters hizo lakini aliishia kujilimbikizia yeye na koikundi chake kidogo. Wao akina Magufuli, Biswalo Mganga, Makonda, Sabaya, Kabudi, Dotto James, Polepole ndiyo walikuwa wanaruhusiwa kufanya UFISADI.
Waliunda mifumo ya dhuluma kupitia TRA Task force, Plea Bargain na kikundi cha WASIOJULIKANA kwa ajili ya kunyan'anya fedha za matajiri.
Waafrika hatuhitaji watu wenye nguvu bali tunahutaji Taasisi zenye nguvu kupitia Katiba Nzuri
…. Dkt Magufuli voice, siyo rahisi kumnyang’anya mtu kitu alichozoea kukipata bure. Just imagine ukimkuta paka kadokoa nyama jikoni halafu utake kumnyang’anya hilo songombingo itakayotokea ni balaa, usipokuwa makini paka atakutoboa macho au kukuua wakati ni mali yako kaiba. Na ndivyo walivyo wezi wa mali za umma. Rais Dkt Samia alidhani unaweza ukaongea nao wakaogopa maana alikuwa anasema eti kuleni hela za umma mtanitambua, sasa wameiba na bado hapo wanatamani afe ili kesi ziishe hahahaha Tanzania bado mbali sana kupata maendelea yaani mpaka kizazi hiki kinachotukuza rushwa kife choteMagufuli alikuwa anafanya KAZI alotumwa na wananchi ya kuhakikisha PESA za wananchi zimerudi.
Na alifanikiwa, tukaona miradi mikubwa ya Matrilioni ikifanyika Nchi nzima.
Mifumo corrupt kuihuisha ifanye KAZI inahitaji uthubutu, ujasiri nk nk.
Utaona hivi sasa zimekopwa zaidi ya tr 30 bt cag anasema hakuna Barabara ilojengwa, wameiba.
China imewanyoga mafisadi wengi sana kuitiisha watu wake kuogopa kuiba pesa za Umma.
Mifumo IMARA inatakiwa iendane na Rais imara, Si legelege mwenye haya ya uso.
Kwa wizi huu ukiokithiri,…. Dkt Magufuli voice, siyo rahisi kumnyang’anya mtu kitu alichozoea kukipata bure. Just imagine ukimkuta paka kadokoa nyama jikoni halafu utake kumnyang’anya hilo songombingo itakayotokea ni balaa, usipokuwa makini paka atakutoboa macho au kukuua wakati ni mali yako kaiba. Na ndivyo walivyo wezi wa mali za umma. Rais Dkt Samia alidhani unaweza ukaongea nao wakaogopa maana alikuwa anasema eti kuleni hela za umma mtanitambua, sasa wameiba na bado hapo wanatamani afe ili kesi ziishe hahahaha Tanzania bado mbali sana kupata maendelea yaani mpaka kizazi hiki kinachotukuza rushwa kife chote
Tumshauri Rais Dkt Samia. Ni kweli haingii kabisa kila hela kujenga madarasa wakati vijana wanahitaji ajiraKwa wizi huu ukiokithiri,
Rais ajaye atapata taabu sana, maana ataachiwa hazina tupu na rundo la madeni ya mikopo na Riba.
Kumpa mamlaka makubwa mtu mmoja na asiyatumie kulinda raslimali na uadilifu katika Nchi ni kujiletea taabu Kwa vizazi na vizazi.
Imagine TOZO zinajenga madarasa hayo hayo,
Pesa za COVID MKOPO ujenge madarasa hayo hayo,
Na pesa za akiba za kigeni tena zikachotwa kujenga madarasa na matundu ya vyoo Yale Yale.
Tukiruhusu utawala huu kuendelea, tutakuwa na taabu sana mbele yetu,
ATUPISHE TU!!!
Kwa hiyo fedha inayojenga JNHEP Dam kule Rufiji na SGR Makutopora -Tabora-Kigoma inatoka kule kwenye kaburi la Chato?Utaona hivi sasa zimekopwa zaidi ya tr 30 bt cag anasema hakuna Barabara ilojengwa, wameiba.
CAG asema pesa zikizotengwa tanroads zijenge Barabara hazijulikani zilipo na hakuna Barabara ilojengwa wewe unaongelea JNHEP!!!!Kwa hiyo fedha inayojenga JNHEP Dam kule Rufiji na SGR Makutopora -Tabora-Kigoma inatoka kule kwenye kaburi la Chato?
Una argue kama headless chicken
Duuuu wewe jamaa walishakutekenya nini mbona hivyo? Maana wakikupa wito usingizi hauji mamaaeeeNilitarajia ktk report ya CAG isomeke kuwa;Takukuru ni Taasisi inayotakiwa kufutwa kabisa!
Kwa ujumla TAKUKURU katika kupiga vita rushwa, ni janga tu. Wengi wa maofisa wao ni wala rushwa wakubwa. Yaani ni watu ambao huwa wanafurahia kukiwa na kashfa kwa sababu inawapa nafasi wao ya kumtisha mtuhumiwa ili atoe rushwa kwao. Ni taasisi ya kueneza rushwa badala ya kuzuia rushwa.Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga.
Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia nchini kwa sasa National Audit Office iliyo chini ya CAG ikawa ni ya pili kwa umahiri baada ya TPDF.
Ninachotaka kuwatahadharisha Watanzania wenzangu ni kwamba MSITEGEMEE makubwa yeyote kutoka hii TAASISI ya TAKUKURU kwa hao wanaotuhumiwa na CAG. Kwa kiasi kikubwa watuhumiwa wa ufisadi kwenye ropoti ya CAG ya 2021/22 watakwenda kugawana UFISADI na Maafisa wa TAKUKURU.
Wanaofikishwa Mahakamani na TAKUKURU ni wale wenye kesi za rushwa ndogo kama Mapolisi, Mahakimu, Manesi au Waalimu. Na hawa wanapokea kati Tsh 50,000 hadi Tsh 1,000,000.
Hawa wenye mabilioni wanagawana na maofisa TAKUKURU halafu ushahidi unavurugwa kwa kunyofoa nyaraka muhimu kwenye majalada au kupoteza jalada zima.
Kuna principle ya 'Quis custodiet ipsos custodes?' kwa Kiingereza who watches the watcher. Ni nani anayemchunguza TAKUKURU kwa Tanzania?
Ni wakati sasa Serikali kupitia Bunge likaweka chombo cha kuikagua TAKUKURU, kinyume cha hapo ni kutoitendea haki CAG na timu yake.
Au Serikali kupitia Bunge ibadili sheria ili CAG mwenyewe awafikishe Mahakamani watuhumiwa wake. Assuming kuwa anajengewa uwezo wa ku prosecute.
Tusijeshangaa hapo baadaye naye CAG akaacha kuripoti hizi kashafa kwa KUMALIZANA na watendaji huko huko, kwa kuwa kazi yake inaishia kuwatajirisha maafisa TAKUKURU.
Kama ngazi za juu shida tupu watu wenye makesi ya uhujumu wanaachiwa na wao nadhani wanaona bora liende tu upuuzi mtupu...Kwa ujumla TAKUKURU katika kupiga vita rushwa, ni janga tu. Wengi wa maofisa wao ni wala rushwa wakubwa. Yaani ni watu ambao huwa wanafurahia kukiwa na kashfa kwa sababu inawapa nafasi wao ya kumtisha mtuhumiwa ili atoe rushwa kwao. Ni taasisi ya kueneza rushwa badala ya kuzuia rushwa.
Watakuonyesha fedha zilipo kwani unadhani wameweka mfukoni? Siyo kila anayejuwa kusoma ba kuandika anaweA kuelewa CAG reportCAG asema pesa zikizotengwa tanroads zijenge Barabara hazijulikani zilipo na hakuna Barabara ilojengwa wewe unaongelea JNHEP!!!!
Are u serious?