Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #41
Kwenye magari mabovu yawezekana wanasubiri ripoti ya Mthamini Mkuu wa Serikali (Chief Stock Verifier) ili ayaondoe kwenye vitabu kisha yawe tayari kwa mnada.Jumla ya magari mabovu ya Serikali 547 yaliegeshwa katika karakana za Wakala hadi kufikia Septemba 2022
TEMESA Magari 176, TTCL (86), Wizara ye Fedha (51), NIDA (44), Wizara ya Mambo ya Nje (39), TANROADS (37), Mahakama ya Tanzania (23), TBC (19), Halmashauri Jiji la Tanga (18),… twitter.com/i/web/status/1…View attachment 2584010