Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #101
Hii ni kauli nzito sana umeitoa. Unaweza kutuletea ushahidi kwamba hakuna uhusiano? Unafahamu Ben Saanane alipotea kwasababu gani?Narudia tena, suala la PhD ya Magufuli kuwa fake, au kutokuwa fake, halina uhusiano wowote na kupotea kwa Ben.
Nina mashaka kama utakuwa na akili timamu. PhD kwa mtu anayefanya full time ndio miaka inaweza kuwa mitatu mpaka mitatu na nusu hapo lazima ukomae haswa.Lakini sio kusema tu muda aliotumia ulikuwa mfupi, au wengine sijui nini ..... kwangu mimi, mtu yeyote anayejitambua hawezi kutumia sababu za jumla kuhukumu kitu specific, kwasababu vitu hutofautiana, sijui unanielewa?
Ukiwa unafanya part time ndio inachukua miaka zaidi. Sasa wewe unajifanya mjuaji hapa wakati magufuli amemaliza PhD kwa miaka mitatu kamili akiwa anafanya part time huku ni mbunge na waziri. Acha kuleta ujuaji na upumbavu.
Hizi kauli unazotumia hapa ndio zinatafuta public sympathy. Udhaifu wako unaudhihirisha kwa kujitahidi kuutafuta ndani ya watu wengine.Nakuona tena unatafuta "public sympathy" ili kutafuta uungwaji mkono wa hoja yako nyepesi uliyoianzisha kama tetesi.
Haya mambo naona yamekuzidi kimo, huujui udhaifu wako wewe unauona strength, na bahati nzuri kwako kuna wenye mihemko ya kishabiki kama yako huku watakuunga mkono, lakini wewe bado sana.