Milio ya risasi yasikika ndani kwenye hafla ya chakula cha usiku, Trump aondolewa ukumbini na wanausalama

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,818
Kuna tukio la kushtua ambalo limetokea usiku wa leo (mida ya Tanzania) nchini Marekani. Rais Donald Trump, Mkewe Melania Trump, Makamu wa Rais J.D. Vance na viongozi wengine waandamizi wamelazimika kuokolewa kwa dharura na kikosi maalum cha ulinzi (Secret Service) baada ya milio ya risasi kusikika kwenye hoteli ya Washington Hilton.

Tukio hili limetokea wakati wa dhifa kubwa ya kila mwaka ya Wanahabari wa Ikulu ya Marekani (White House Correspondents' Dinner) iliyokuwa imehudhuriwa na zaidi ya wageni 2,600 wakiwemo waandishi wa habari mashuhuri, mastaa, na maafisa waandamizi wa serikali.

trump-evacuation.jpg

Hapa chini ni dondoo muhimu za jinsi tukio hili lilivyojiri:

1. Taharuki na Kuokolewa kwa Rais

Wakati wageni wakiwa wanasubiria hotuba ya Rais Trump, ghafla milio mikubwa ya risasi ilisikika kutoka eneo la kuingilia la ukumbi huo. Taharuki kubwa ilizuka ukumbini, watu walianza kupiga kelele "Laleni chini! (Get down!)" huku waalikwa waliovalia suti za kifahari na magauni wakijificha mvunguni mwa meza. Maafisa wa Secret Service walimrukia Trump na kumfunika haraka, kisha kumkimbiza nje kupitia pazia la nyuma kuelekea eneo salama.

2. Mshambuliaji na Silaha Alizokuwa Nazo

Mamlaka zimemkamata mshambuliaji huyo aliyetambuliwa kwa jina la Cole Tomas Allen (31), mkazi wa Torrance, California. Inaripotiwa kuwa jamaa huyu alivamia kizuizi cha usalama (checkpoint) cha Secret Service kwa kasi akiwa amejihami kwa silaha nzito ikiwemo bunduki ya Shotgun, bastola, pamoja na visu kadhaa.

3. Majeruhi

Mshambuliaji huyo alifyatua risasi na kumpiga afisa mmoja wa usalama. Lakini bahati nzuri sana, afisa huyo alikuwa amevaa fulana ya kuzuia risasi (bullet-resistant vest) ambayo imeokoa maisha yake. Mshambuliaji hakupigwa risasi, bali alidhibitiwa nguvu na kutiwa mbaroni mara moja. Hakuna taarifa za majeruhi wengine kwa sasa.

4. Kauli ya Rais Trump Baada ya Tukio

Muda mfupi baada ya hali kutulia, Rais Trump alitumia mtandao wake wa Truth Social kuthibitisha kuwa yeye na viongozi wote wako "salama salimini". Aliwasifu sana maafisa wa Secret Service na vyombo vya dola kwa kazi ya kishujaa walioifanya kumdhibiti mshambuliaji huyo. Trump alimwelezea mshambuliaji huyo kuwa alikuwa "na kasi sana," na kuahidi kuwa dhifa hiyo sasa itapangwa upya na kufanyika ndani ya siku 30 zijazo.

Kwa rekodi tu:

Wakuu, jambo la kushangaza ni kwamba hoteli hii hii ya Washington Hilton ndipo alipowahi kupigwa risasi Rais wa zamani Ronald Reagan mwaka 1981, na sasa historia inataka kujirudia.

Je, mnaonaje hali ya usalama wa viongozi nchini Marekani kwa sasa ukizingatia matukio haya ya 'Lone Wolf' (Washambuliaji wa kujitegemea) ambayo yamekuwa yakijirudia? Nini kiko nyuma ya pazia kwa matukio haya ya kutisha nchini humo?

Karibuni kwa mjadala!

Huyu mpumbavu hamalizi muda wake lazima azimishwe kenge huyu
========

Suspected gunshots heard at White House correspondents' dinner - Trump evacuated​

Suspected gunfire shots have been heard at the White House correspondents' dinner being attended by Donald Trump.

The US president has been evacuated from the event.

We'll bring you further updates as they come in

CHANZO: Sky News
 
Ndugu zangu hali sio nzuri kiusalama lakini rais trump yuko salama kabisa tuzid kumuomba Mungu . Mtuhumiwa amekamatwa na vyombo vya usalama baada ya kupiga risasi ladhaa wakati rais trump akihutubia. Makamu wa rais nayeye akihudhuria shughuli hiyo yuko salama kabisa. Tukio hilo limetokea kwenye sehemu ile ile ambayo miaka 40 iliyopita rais Reagan alipigwa risasi na kunusurika. Trump is in a secure location, senior administration official says
Kevin Liptak
By Kevin Liptak
President Trump is in a secure location and has told officials that he intends to return to the dinner, according to a senior administration official.

2 min ago

Incident happened at same hotel where Ronald Reagan was shot over 40 years ago
Zoe Sottile
By Zoe Sottile
The security incident that saw President Donald Trump rushed from the stage happened at the same hotel where more than 40 years ago, another sitting president almost lost his life.

Ronald Reagan was shot by John Hinckley Jr. in an attempted assassination while leaving the Washington Hilton on March 30, 1981. He was seriously injured by a gunshot wound that punctured a lung and caused serious internal bleeding An alleged shooter is in custody after shots were fired as US President Donald Trump attended a press dinner in Washington, witnesses and reporters confirm after the president was evacuated.

Loud bangs were heard and guests at the black-tie White House Correspondents’ Dinner scrambled to hide under tables.

Tactical teams with guns drawn took position on the stage where Trump had been sitting before he was evacuated.

Police are swarming the Washington Hilton Hotel where the event was taking place, and helicopters hover overhead.

The pool report says the alleged shooter is in custody, citing the Secret Service.

Both Trump and Vice President JD Vance are unharmed, reports say ata President Donald Trump was swiftly escorted off the stage by Secret Service at the White House Correspondents’ Dinner in Washington, DC, on Saturday.

• Trump and his Cabinet members are safe, sources told CNN.

4 Posts

1 min ago

Trump, cabinet rushed out as suspected gunman reported entering WHCD venue
Zachary Cohen
By Zachary Cohen
The cabinet was evacuated and the scene was locked down, amid a report of a suspected gunman entering the White House Correspondents’ Dinner Venue.

There’s no indication of any more shooters at this time, according a source briefed on the the initial reports from the U.S. Secret Service
 
walinzi wa rais mara hii wanayo kazi tena sio ndogo, mara ya pili sasa trump anakoswakoswa huyu rais hajakaa kabisa katika mioyo ya watu hata katika nchi yake, inaonekana hawapendi kwa baadhi ya maamuzi anayoyachukua si dalili nzuri hii litamtesa hili swala watu wameamua kwenda na mwendo anaoenda nao nguvu kwa nguvu..
 
Kuna kitu natamani kitokee, sema basi tu...
Nisitaje kitu chenyewe wala mahali ninapotaka kitokee.
 
walinzi wa rais mara hii wanayo kazi tena sio ndogo, mara ya pili sasa trump anakoswakoswa huyu rais hajakaa kabisa katika mioyo ya watu hata katika nchi yake, inaonekana hawapendi kwa baadhi ya maamuzi anayoyachukua si dalili nzuri hii litamtesa hili swala watu wameamua kwenda na mwendo anaoenda nao nguvu kwa nguvu..
Ni mara ya tatu sasa.
 
Ndugu zangu hali sio nzuri kiusalama lakini rais trump yuko salama kabisa tuzid kumuomba Mungu . Mtuhumiwa amekamatwa na vyombo vya usalama baada ya kupiga risasi ladhaa wakati rais trump akihutubia. Makamu wa rais nayeye akihudhuria shughuli hiyo yuko salama kabisa. Tukio hilo limetokea kwenye sehemu ile ile ambayo miaka 40 iliyopita rais Reagan alipigwa risasi na kunusurika. Trump is in a secure location, senior administration official says
Kevin Liptak
By Kevin Liptak
President Trump is in a secure location and has told officials that he intends to return to the dinner, according to a senior administration official.

2 min ago

Incident happened at same hotel where Ronald Reagan was shot over 40 years ago
Zoe Sottile
By Zoe Sottile
The security incident that saw President Donald Trump rushed from the stage happened at the same hotel where more than 40 years ago, another sitting president almost lost his life.

Ronald Reagan was shot by John Hinckley Jr. in an attempted assassination while leaving the Washington Hilton on March 30, 1981. He was seriously injured by a gunshot wound that punctured a lung and caused serious internal bleeding An alleged shooter is in custody after shots were fired as US President Donald Trump attended a press dinner in Washington, witnesses and reporters confirm after the president was evacuated.

Loud bangs were heard and guests at the black-tie White House Correspondents’ Dinner scrambled to hide under tables.

Tactical teams with guns drawn took position on the stage where Trump had been sitting before he was evacuated.

Police are swarming the Washington Hilton Hotel where the event was taking place, and helicopters hover overhead.

The pool report says the alleged shooter is in custody, citing the Secret Service.

Both Trump and Vice President JD Vance are unharmed, reports say ata President Donald Trump was swiftly escorted off the stage by Secret Service at the White House Correspondents’ Dinner in Washington, DC, on Saturday.

• Trump and his Cabinet members are safe, sources told CNN.

4 Posts

1 min ago

Trump, cabinet rushed out as suspected gunman reported entering WHCD venue
Zachary Cohen
By Zachary Cohen
The cabinet was evacuated and the scene was locked down, amid a report of a suspected gunman entering the White House Correspondents’ Dinner Venue.

There’s no indication of any more shooters at this time, according a source briefed on the the initial reports from the U.S. Secret Service
Umuombee anakuhusu nin
 
Wata
Huyu mpumbavu hamalizi muda wake lazima azimishwe kenge huyu
========

Suspected gunshots heard at White House correspondents' dinner - Trump evacuated​

Suspected gunfire shots have been heard at the White House correspondents' dinner being attended by Donald Trump.

The US president has been evacuated from the event.

We'll bring you further updates as they come in

CHANZO: Sky News
Watamla kichwa
 
Back
Top Bottom