Risasi zinarindima Kigamboni darajani

Hata kama!!!
Acha kutetea upumbavu

Kigamboni ni open space, sio mapori kama ya mdaula au mbalali

Umejuwaje upumbavu kama hawuko hivywo? Ungetumia akili usingeandika huo upupwu kama unapajuwa unavyodai.
 
Uwenda Wanachukua tozo zao
Hapana, hawakufuata tozo

walikuwa wanavuka na moto wakashindwa kupitiliza, manake darajani huwa kuna wazee wako cocked, locked and ready to roll muda wote
 
Sijui nini kimetokea

Tumeinama muda huu
...ila umeweza kuinua kichwa na kuandika haya! SI ungoje risasi ziishe kurindima ndipo utujulishe Kwa Kituo kinachoendelea??
 
Wanaume wa Dar vilisasi viwili vitatu mmeshakimbilia JF, badala ya kutoa msaada huko. Hovyo kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa anaitwa Hamis askari wa kituo cha polisi kigamboni huyu jamaa anatumia bastola yake vibaya akishalewa tu kazi ni kupiga risasi hovyo hovyo tu.Jinga sana hili jamaa
Khaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…