Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
😂😂😂 Kweli kama mambo hayajakufika huwezi elewa kilio Cha Hawa watu. Hizi thread za malalamiko ya Rita nilikua nazipita naona watu wazembe. 😂Sasa hivi Nipo namsaidia last born wetu zoezi limekwama hapo kwenye Verification Rita ni Mashetani