πππ Kweli kama mambo hayajakufika huwezi elewa kilio Cha Hawa watu. Hizi thread za malalamiko ya Rita nilikua nazipita naona watu wazembe. πSasa hivi Nipo namsaidia last born wetu zoezi limekwama hapo kwenye Verification Rita ni Mashetani