Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

Kuna mtu huko ana kadi tatu za clinic majina tofauti na wala hajali, halafu unaweza kuta mwenye mimba ni msela ambaye hana time na hiyo mimba. Sometimes huwaga na jiuliza hivi wanawake huwaga wanawaza nini?
 
Kwa Hali Ilivyo Tanzania, RITA wanaelekea penyewe.

1. Tanzania Kuna Watoto wameokotwa baada ya mama zao kuwatupa.. Majina huwaje hapa?

2. Tanzania Kuna watoto ambao Baba Zao wamekana Mimba, Je mama aandike jina gani kadi la Clinic?

3. Kuna Utaratibu gani pale mtoto wa ndani ya ndoa anapogundulika si wa Baba mwenye nyumba, majina yanabadilishwaje?

4. Haki Za Hao Watoto Hapo Juu, Jukumu La Malezi Ni La Nani Kisheria?
 
Hivi si kuna watu wanatumia Ubini wa Mama?
Mimi nilikua na rafiki Yangu Anaitwa Eli Rehema (Jina la Baba)..

Ila nilishasikia Kuna watu wanatumia jina la mama Full
 
Kwahiyo kwamfano mtoto baba yake hajulikani aitwe Cocastic Unknown ?
 
Back
Top Bottom